Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Ndege 100 halafu hawajalenga hata nzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] matumizi mabaya ya pesa za misaada!!
 
Madhara ya kupikwa ili kuendeleza ile kauli ya wanaoamini ni taifa la Mungu ila kwa ground halina kitu ...Twitter hiyo imeonesha video ya kupikwa ...Kwa nn msiwe wazi mnatembelea propaganda?

Mnaleta picha za Beirut, halafu hata mods humu ndani wanafuta .
Screenshot (515).png
 
Kuna hatari ya mtu kupanic na kumpiga mwenzake Nuklia.

USA kama Baba wa dunia yeye ndio anapaswa kuweka busara mezani na kutatua tatizo la mashariki ya kati lakini nayeye anachukua upande na kumsaidia mmoja wao.

Mashariki ya kati inataka suluhu itakayohusisha mataifa yoote ya mashariki ya kati ili Palestina wapate Taifa Lao nao waishi kama wanadamu wengine.
Marekani analazimisha kuongoza mashariki ya kati ..kwa lazima ili aweze kuishape atakavyo lakin anasahu kuwa hayo mambo yameshaapitwa na wakati
 
Ayatollah wakimuua na Netanyahu anahama Israel anakwenda kuishi Washington DC, kwa sababu lazima watamla kichwa tu, kama migambo wa Hebollah wamemkosa na drone kwake, unafikiri Iran itashindwa...

Haya mashambulizi ya Israel ni ya uoga, vyanzo mbali mbali vina report hali ni shwari Tehran, Israel inajibu kama kutokubali unyonge mbele ya Iran, na mimi nasema hata kama wamejibu kwa uoga Iran siwaonee huruma, iwatandike kweli kweli mpaka wakome.

Sema yule mwehu Trump akiingia, kuna uwezekano huu mgogoro uka escalate zaidi...

Kuna mambo yanaendelea nyuma ya pazia kuzima huu mvutano, na mwenyekiti wa kikao ni USA....
Ayatollah sidhani kama Christmas itamkuta hai maana hawa mossad wako very strategic kwenye jambo lao
 
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu.

Shambulizi hilo kutoka kwa Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita vya kikanda.

Jeshi la Israeli limesema lililenga "maeneo ya kijeshi" ya uhakika nchini Iran, huku vyombo vya habari vya serikali ya Iran vikiripoti milipuko kadhaa.

Chanzo cha jeshi la Israeli kiliiambia CNN kwamba malengo ya kulipiza kisasi hayakujumuisha miundombinu ya nishati. Iran imesema Israeli ilishambulia vifaa vya kijeshi kote nchini humo, na kusababisha “uharibifu mdogo” katika baadhi ya maeneo.

Uamuzi wa Israeli kushambulia kile ilichokiita malengo ya kijeshi ya Iran ulifanywa baada ya wiki kadhaa za mashauriano ndani ya baraza lake la usalama kuhusu aina na upeo wa shambulizi hilo, kulingana na maafisa wa Israeli.

Soma Pia: Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa
=============

Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.

The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
View attachment 3135394
Source: CNN
Hilo limlipuko kuna kenge zinasema hakuna madhara
 
1000042818.png

Iran wao wanasema wamepoteza Askari, mvaa kobazi humu anasema hakukuwa na kitu, Iran sasa yuko njia Moja na Hezbollah
 
Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora

Kumbe shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Badala yake zilienda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran

[emoji298]️ATTENTION:

[emoji1130][emoji1134] According to our estimates, Israeli warplanes did not enter Iranian airspace. Instead, they launched missiles from outside Iran’s borders, possibly from Iraq, Syria, or Saudi Arabia.

This approach may have been chosen to avoid risking their aircraft.
 
Israel kupitia AIPAC ndio inatawala na kuicontrol America. America amejitia madeni - wamarekani hawana sauti yoyote. Ndo maana wameshalipa zaidi ya billion 20 dollars kuwapa Zionist Israel free . WamRekani raia Walipa deni mpaka wataenda upande. wananchi wa marekani hawana sauti wamelazwa na uteule na wanaogopa kufungua midomo yao 😂. Wamellazwa kama Kondoo lakini siku wakiamka usingizini ndio itakuwa kipogo tena cha wateule feki kama walivyochapika tena na tena enzi za zamani
Hili jambo lina ukweli kabisaa, US ndio mtumwa wa Israel, na sio US hata UK ni mtumwa pia
 
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu.

Shambulizi hilo kutoka kwa Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita vya kikanda.

Jeshi la Israeli limesema lililenga "maeneo ya kijeshi" ya uhakika nchini Iran, huku vyombo vya habari vya serikali ya Iran vikiripoti milipuko kadhaa.

Chanzo cha jeshi la Israeli kiliiambia CNN kwamba malengo ya kulipiza kisasi hayakujumuisha miundombinu ya nishati. Iran imesema Israeli ilishambulia vifaa vya kijeshi kote nchini humo, na kusababisha “uharibifu mdogo” katika baadhi ya maeneo.

Uamuzi wa Israeli kushambulia kile ilichokiita malengo ya kijeshi ya Iran ulifanywa baada ya wiki kadhaa za mashauriano ndani ya baraza lake la usalama kuhusu aina na upeo wa shambulizi hilo, kulingana na maafisa wa Israeli.

Soma Pia: Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa
=============

Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.

The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
View attachment 3135394
Source: CNN
Mchawi wa Israel ni Pantasirs za Russia 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBk-NQkq6zN/?igsh=MXQzZGpnd253cWNpZQ==
 
Kumbe ndege za Israel hazikuingia Iran zilitumia anga la Iraq kurusha makombora

Kumbe shambulizi la Israel dhidi ya Iran ndege za Israel hazikuingia Iran kupiga!! Badala yake zilienda hadi anga la Iraq na Syria kisha kurusha makombora kuelekea Iran

[emoji298]️ATTENTION:

[emoji1130][emoji1134] According to our estimates, Israeli warplanes did not enter Iranian airspace. Instead, they launched missiles from outside Iran’s borders, possibly from Iraq, Syria, or Saudi Arabia.

This approach may have been chosen to avoid risking their aircraft.
Ngoja tusubiri taarifa kamili ila kwa Saudi Arabia nakataa kwasababu wamekuwa watu wa mwanzoni kulaani Israel
 
Hivi kuna IRAN mbili...?
Maana Iran nayoifahamu ipo shwari.

Naona video na mapicha ya kubumba ya miaka ya nyuma ndiyo zimezagaa.

Je...ni IRAN ya wapi iliyo shambuliwa na IsraelU.S.A.UK...?
 
Hivi kuna IRAN mbili...?
Maana Iran nayoifahamu ipo shwari.

Naona video na mapicha ya kubumba ya miaka ya nyuma ndiyo zimezagaa.

Je...ni IRAN ya wapi iliyo shambuliwa na IsraelU.S.A.UK...?
Fungua TV yako uangalie Al Jazeera utajionea ,,usikae huko vichakani
 
Back
Top Bottom