Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Ooooh, ebu tuone utimamu wako wa akili hapa chini.

Hiki ulichokiandika hapa kinathibisha kuwa na wewe ni mmoja kati ya wagonjwa wa akili.
Ndio nini sasa?
Aaah kobaz umefika?🤣
 
kwan Iran hata yeye si anafanya chini ya Urusi? yeye kama yeye ana jeuri hata ya kurusha jiwe kwa manati?
Ngoja panoge jeshi namba 6 duniani liende likatie backup huko Iran kisha tuone labda linaweza likaimaliza vita hio
 
Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.

Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...

Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Mkorofi ni Iran siyo Israel. Irani anaingilia vita isiyomhusu akijifanya mwamba mashariki ya kati ! Acha apigwe.
 
Mkuu nikupongeze kwa kuandaa thread iliyojitosheleza. Hujakurupuka unapaswa kupigiwa mfano kwa member wanaonzisha thread hapa jf.
 
s
waliziacha kwa sababu anga lao lilikuwa lina ndege za abiria na waisrael walitumia huo muda kutuma ndege na kuondoka kwa haraka kabla ya irani kufunga anga ...sasa baada ya iran kufunga anga mwambie Israel atume ndege sasa uone kama zitarudi .
sasa lengo lilikua ninkufanya mashambulizi mzee..wewe ulitaka watume ndege muda gani umekaa na bando lako la jero unawapangia watu?
 
Ayattolah sijakuzoea hivi ,uliahidi dakika kumi na tano tu,F35 zitakuwa zinapishana na missiles.Au ndio kuufyata mkia ?! Sikuelewi mjomba wangu .
 
Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.

Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...

Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
unahisi USA atasema direct anahusika mkuu? Hivyoo vyombo vya USA vilitoka germany kuingia israel ndo kuhusika kwenyewe hukoo. Ukishaona mgogoro Urusi ikitia pua jua USA lazima aweka mkono wake.
 
Iran mkubwa wewe , hapo ndio utaona israel hana uwezo 😀 😀 😀

Iran yaani mashia wana huruma ila wakiamua wanafanya atrocities pale Israel mpaka mtabaddilisha maandiko kweny vitabu vyenu .
Wasingesaporti ujinga ule kwa hamas ningeelewa kuwa Wana huruma.
 
Ayattolah sijakuzoea hivi ,uliahidi dakika kumi na tano tu,F35 zitakuwa zinapishana na missiles.Au ndio kuufyata mkia ?! Sikuelewi mjomba wangu .
Ndege 200 zote zinashusha mvua ya mawe utazuia ipi utaacha ipi mawe lazima yanyeshe tu hakuna namna hapo Mzee Ayatolah fasta ageuke Yahaya akajifiche Chini ya ardhi maana kifuatacho kwenye vyombo vya habari kitawashangaza wengi
 
Mbona mnakimbia kenge nyie? Acheni kuwatesa wenzenu kwa kuwafunga magerezani hata nyumba ya Ntenyulu kachukua ya mpalestina kama sio dhulmat .
Ngoja inyeshe kwanza baadae usije ukabadirika maelezo kwa Hamas uliweka mpaka bendera yao kwenye avatar sasa kiko wapi sasa weka bendera ya Iran halafu mwisho utajikana mwenyewe wewe na nafsi yako, kile unachokidharau ndicho kitakachokuua
 
unahisi USA atasema direct anahusika mkuu? Hivyoo vyombo vya USA vilitoka germany kuingia israel ndo kuhusika kwenyewe hukoo. Ukishaona mgogoro Urusi ikitia pua jua USA lazima aweka mkono wake.
Subiria panoge sisi hatutaki kusikia The USA sijui NATO kufanya nini tunachotaka nani kadundwa, Hamas chali akaingia Hezboloh nae chali sasa kabakia kaka yao mkubwa nae tusubirie kuona anatupa taulo chini huku Qatar, Saudia wamesema hio vita haiwahusu maana wanajua wakitia pua zao tu na wao wanachakazwa
 
Back
Top Bottom