pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Wapumbavu tu, hamna watu wapumbav kama usa na wenzie akina uk na wapumbav wengine kama.ufaransa na wengineo, yan mtu ashambulie nchi yako aweke maisha ya wnaanchi hatarini halaf unaenda mbio mbio kwake kumuomba asirudishe majibu kwa hasira au kwa namna anavyotaka yeye, eti unampangia shambulia kwa kidogo tu huku ukiweka na huruma.kidogo, nchi nyingine za kipumbav kama uk anatoka kiongoz anasema tunawaomba mlioshambuliwa msirudishe majibu tunawaomba sana eti mtarefusha matatizo zaid upumbav tu, mbona kabla ya vita kuanza au chanzo cha haya yote walikua wapi kuzuia, siasa ni upumbav...ayatolah kasema anarudisha majibu, nataka sana arudishe ili taifa la israel lipate sababu kuntu ya kuiangamiza iran na huyo gaidi ayatolahunahisi USA atasema direct anahusika mkuu? Hivyoo vyombo vya USA vilitoka germany kuingia israel ndo kuhusika kwenyewe hukoo. Ukishaona mgogoro Urusi ikitia pua jua USA lazima aweka mkono wake.