Kwa taarifa yakoNetanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Kwa anayeijua hulka ya Israel ktk mashambulizi ya visasi.... Atakubaliana na Mimi kwamba kang`ang`aniwa na kulazimishwa asipige kwa hasira kama ilivyo kawaida yake.Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Ikumbukwe yeye aliapa KULIPA mitambo ya Nuclear na visima vya mafuta.
Any way, cha kujiuliza ni;... Israeli aliapa kumpiga adui yake na kweli kampiga. Safari ya ndege kutoka Israel Hadi Iran zikapiga na kurudi salama... Inafikirisha na kwamba kwa hali hii, hakuna namna zaidi ya kuweka tofauti zao chini na kuitafuta Amani. Wakikaziana msuli, ya Gaza na Lebanoni nayaona yakitokea Iran. Mungu aepushie mbali
Mashambulizi ya Angani ya IDF Yalenga Maeneo Nyeti Iran, Yamegonga pia Makao Makuu ya Jeshi la Iran IRGC, Milipuko Mingi ya Yatetemesha jiji la Tehran