Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.

Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...

Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Kwa taarifa yako
Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.

Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...

Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Kwa anayeijua hulka ya Israel ktk mashambulizi ya visasi.... Atakubaliana na Mimi kwamba kang`ang`aniwa na kulazimishwa asipige kwa hasira kama ilivyo kawaida yake.
Ikumbukwe yeye aliapa KULIPA mitambo ya Nuclear na visima vya mafuta.
Any way, cha kujiuliza ni;... Israeli aliapa kumpiga adui yake na kweli kampiga. Safari ya ndege kutoka Israel Hadi Iran zikapiga na kurudi salama... Inafikirisha na kwamba kwa hali hii, hakuna namna zaidi ya kuweka tofauti zao chini na kuitafuta Amani. Wakikaziana msuli, ya Gaza na Lebanoni nayaona yakitokea Iran. Mungu aepushie mbali
 
Kama haya ndio majibu tuliyokua tunasubiri basi Israel imefeli. Kile kipigo cha October 1 kilikua zaidi ya hii drama ya leo
Alifanya nini? Iran Alileta taharifa za kimalaya tu.lakini kiuhalisia hazikuwa na madhara yoyote kwa Israel.
 
Kwa taarifa yako

Kwa anayeijua hulka ya Israel ktk mashambulizi ya visasi.... Atakubaliana na Mimi kwamba kang`ang`aniwa na kulazimishwa asipige kwa hasira kama ilivyo kawaida yake.
Ikumbukwe yeye aliapa KULIPA mitambo ya Nuclear na visima vya mafuta.
Any way, cha kujiuliza ni;... Israeli aliapa kumpiga adui yake na kweli kampiga. Safari ya ndege kutoka Israel Hadi Iran zikapiga na kurudi salama... Inafikirisha na kwamba kwa hali hii, hakuna namna zaidi ya kuweka tofauti zao chini na kuitafuta Amani. Wakikaziana msuli, ya Gaza na Lebanoni nayaona yakitokea Iran. Mungu aepushie mbali
Wengi hawajui Hilo mkuu Ila ushabiki ni mwingi wa kipumbavu. Fikikia Israel alisema atalipa na majuzi waziri wa ulinzi alisema atapiga Iran ijiandaye na mtu anaenda kweli anapiga kwa ndege alafu anarudi kwa wenye akili wanatafakari kwa upana sana Jambo Kama hili.
 
2024-10-01t212137z-1176242950-rc2rbaank5sr-rtrmadp-3-israel-palestinians-lebanon-iran.jpg

Hii picha ni mashabulizi ya Iran Oct 1 nchini Israel, wananchi wamejificha kwenye mahandaki wanaona kama mwisho wa dunia umefika...
Picha za kutengenezwa na akili mnemba. Porojo tu. Tatizo mmekalisha mapumbu nyuma ya keyboard, kama mnaichukia sana israel muende iran leo ama gaza huko mkapewe silaha muingie front line
 
Iran kumbe walitaarifiwa mapema and wakaonywa kuwa wakirudisha basi vita kamili more strikes and oil and nuclear ni next kwa maana hiyo dah.
 
waliziacha kwa sababu anga lao lilikuwa lina ndege za abiria na waisrael walitumia huo muda kutuma ndege na kuondoka kwa haraka kabla ya irani kufunga anga ...sasa baada ya iran kufunga anga mwambie Israel atume ndege sasa uone kama zitarudi .
Hahaha mnajifariji, si wangezidungua zikiwa mpakani
 
25 October 2024

Shalom Shalom

:FIRE: Mashambulizi ya Angani ya IDF Yalenga Maeneo Nyeti Iran, Yamegonga pia Makao Makuu ya Jeshi la Iran IRGC, Milipuko Mingi ya Yatetemesha jiji la Tehran

Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limethibitisha kufanya mashambulizi ya anga ya kulipiza kisasi katika maeneo yaliyolengwa nchini Iran.

Huku milipuko mikubwa ikiripotiwa mjini Tehran na karibu na Karaj usiku huu wa giza, Jumamosi. Vyombo vya habari vyenye uhusiano na serikali ya Iran, vikiwemo Fars News, viliripoti milipuko karibu na maeneo muhimu, ukiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Imam Khomeini.

Vyombo rasmi vya serikali ya Iran vimethibitisha Milipuko kadhaa kusikika mjini Tehran, kwa mujibu wa shirika la habari la Fars la Iran. Nalo Shirika rasmi la habari la Tasnim liliripoti kuwa milipuko kadhaa ilisikika magharibi mwa mji mkuu wa Iran. Milipuko hiyo inakuja wakati eneo hilo likijiandaa kukabiliana na malipizi ya Israel kufuatia shambulio la Iran mapema mwezi huu.
Hawa wanaume wanatwangana kimasihara sana. Raia tu ndio wanaumizwa na haya maamuzi ya elite wachache.
 
Neyanyahu ni mwamba kwelikweli, hata wewe hukuamini kama Israel angejibu sasa kaonesha kwa vitendo. Huwezi ruhusu nchi ikushambulie wewe uchukulie poa. Kuanzia sasa Iran atafikiria mara mbilimbili kabla ya kurudia ujinga wake.
Tena alafikilia Mara kumi kumi. Maana kajiandaa Israel asikaje pale na kakanyaga. Alafu yule kiongozi wa hamas Aliuwawa ndani ya Iran na hao Israel. Si lazima ujue huyu ni mtu anayetumia akili kubwa kukusoma
 

ISRAEL ATTACKS IRAN.IRAN TO RESPOND?????​

Hal Turner World October 25, 2024 Hits: 68146
ISRAEL ATTACKS- IRAN   -- UPDATE -- IRAN TO RESPOND ! ! ! ! ! ! !

At 6:57 PM EDT, reports began coming in of several explosions in the Iran capital city of Tehran.
Initial, unconfirmed information says that at least one building belonging to the Iran Ministry of Defense, has exploded.
More as I get it. . .

UPDATES:
Israeli war planes are now crossing the Syria-Jordan Border heading in the direction of Iraq. Video below from the Border area

Residents in Northwestern Iran report hearing Aircraft in the Sky over the Iran-Iraq Border.
Imam Khomenei International Airport Hit by explosions
  • Iran CLOSES all air space.
  • Military correspondent for Israel's channel 13: "Report of explosions west of Tehran. We are going on air on channel 13"
  • 6 explosions in Karaj and 4-5 explosions in Tehran so far. Still unconfirmed.
Images are coming-in CLAIMING they are from tonight, near Tehran. I have NOT yet verified any of these images:



UPDATES:
Towers throughout the Middle East are broadcasting EMERGENCY MESSAGES TO CLEAR AIR SPACE immediately:

UPDATES:
Reports are now confirming there have already been NINETEEN (19) Explosions in Tehran.


Massive explosions in Tehran pic.twitter.com/ObZ2wMtNXC
— OfficialD2thedre (@d2thedre) October 25, 2024

UPDATES:
Air Raid Sirens sounding throughout Iran:

View: https://x.com/gtvkenanbayuk/status/1849953920325648479

UPDATES:
Civilian power plant in Karaj, Iran, reportedly "destroyed."

UPDATES:
Both U.S. and Israeli Officials are now openly stating they expect that the Strikes will warrant a Military Response from Iran.
-Initial reports that the IDF launched a number of airstrikes in Syria against radar installations prior to striking Iran.


Unconfirmed reports CLAIM United States B-2 Stealth Bombers have been seen crossing into Iranian Air Space. If this is correct, and it is as yet UNCONFIRMED, then the U.S. appears to be going after the Iran Nuclear Program.

UPDATES
The Israeli Defense Force has issued an official statement CONFIRMING Israel is attacking Iran.

UPDATES:
Just literally moments ago, live from inside the West Bank "very large number of Fighter Jets and refueling planes in the skies of Palestine, on their way to Iran. The strikes heard in Iran seem to be initial, it seems that the IDF was testing Iran's Air-Defenses before launching its main attack,

UPDATES:
Skies over Tehran are now quiet. No further explosions in past 15 minutes. LIVE UPDATES ARE CONTINUING . . . . New developments as I get them, will appear below.
 

Attachments

  • Israeli-Planes-Cross-Syria-Jordan-Border-toward-Iraq.mp4
    205 KB
Ujinga ni mzigo.
Yalirushwa mengi yamendunguliwa.

Leo nimeona hata wanasambaza video IDF speakman wanasema wamemaliza operation Lebanon kwa sababu ya heavy loss.
Kumbe ni video ya kuedit.

Inawezekana hata hakuna bomu lolote lililorushwa Iran.
Propaganda ni nyingi sana
 
Hahaha mnajifariji, si wangezidungua zikiwa mpakani
Unaujua ukubwa wa nchi ya iran wewe...pia hizo ndege azikuingia deep zilisogea tu maeneo ya mipaka yasiyo na ulinzi na kuvyatua makombora...ili utungue ndege zisizo onekana kirahisi na rada ni lazima ufunge anga kwanza kwa sababu mitambo ya kutungua ndege inatakiwa iwe katika full combat yenye kutungua kila signal ndogo kiasi gani iliyopo angani ...kama hizo ndege zingekuwa siyo zisizo onekana kwa rada wangeweza kuzitungua bila hata ya kufunga anga ...kumbuka USA walivyo pata tabu kutungua puto la china tu ikabidi watumie ndege .
 
Hawana uwezo huo kama watu wanavyojua , wanachowin ni kimoja tu , kutumia mamluki kuwaua viongozi ila hawana uwezo wa kupigana moja kwa moja .

Israel hasa waziri mkuu anapata msukumo kutoka nje ili kulinda heshima ya wale wanaoamini ni taifa la Mungu ...Ila Iran anaweza kuifuta ndani ya lisaa kwa sababu ni sehemu ndogo ila shia sio wajinga kuwaua watu wasiokuwa na hatia .

Kiufupi wanapiga millitary sites wanaonesha kwamba wanaweza kufanya chochote .
Ili uwe mtu wa msikiti sifa ya kwanza lazima uwe MUONGO MZUSHI NA UNAFIKI. Unajitungia tu store kwa kutumia sifa ya UZUSHI
 
Back
Top Bottom