Uongo mbona Israel huwa haifungi viwanja vyake nchi nzima kama Iran?Tumia akili mifumo ya ulinzi wa snga inapo anza kufanya kazi ni lazima anga lifungwe maana ni hatari hata kwa ndege zenu wenyewe na kimataifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongo mbona Israel huwa haifungi viwanja vyake nchi nzima kama Iran?Tumia akili mifumo ya ulinzi wa snga inapo anza kufanya kazi ni lazima anga lifungwe maana ni hatari hata kwa ndege zenu wenyewe na kimataifa
Punguza hasira ww mrokole tuletee video za mashambulizi ya Israel ndani ya Iran acha ngonjera.Msenge niwewe na mamako
Nilikuwa namjibu mjinga mmoja kila siku kazi yake ni kututisha Israel hawez kujibuMbona haueleweki ndugu.
Mara akishambuliwa wanaume wanamalizana nae, mara hawezi kujibu na ishu imeshapita.
Kuwa na msimamo mmoja ueleweke basi, au kaa kimya tu sio lazima uchangie kila kitu.
WanafungaUongo mbona Israel huwa haifungi viwanja vyake nchi nzima kama Iran?
Achana na hiyo takataka mkuu. Hajui chochote jf kila mtu anajifanya anaelewa mambo ya middle east kumbe ni wale wale wa nimemaliza na GPA ya 32. By the way Iran keshafungua anga lake kitambo sana. Reference hii hapaTumia akili mifumo ya ulinzi wa snga inapo anza kufanya kazi ni lazima anga lifungwe maana ni hatari hata kwa ndege zenu wenyewe na kimataifa
Hahahaaaa wapo Ila siyo waarabu. Yeye wakiguswa waarabu ndiyo anaona sawaWe kaa Zanzibar hapo hujitambui. Hiv hapo Sudan kwanini hampasemei au wale sio waislam
Aaaah, kumbe!?maana wajuzi tunaelewa mara nyingi lazima ufiche taarifa kuondoa hofu kwa wananchi.
Leo Netanyahu amewaheshimisha!Nilikuwa namjibu mjinga mmoja kila siku kazi yake ni kututisha Israel hawez kujibu
Machoko yanaumia sana na hali hiiNi Kwanini Israel ikila kisago nyuzi hazisurvive namna kama hii
Israeli ilifanya mashambulizi makubwa dhidi ya Iran Jumamosi asubuhi, kama sehemu ya kisasi chake dhidi ya shambulio la kombora kutoka Tehran mapema mwezi huu.
Shambulizi hilo kutoka kw Iran linaibua hofu kwamba mzozo wa muda mrefu kati ya majeshi haya yenye nguvu unaweza kugeuka na kuwa vita vya kikanda.
Jeshi la Israeli limesema lililenga "maeneo ya kijeshi" ya uhakika nchini Iran, huku vyombo vya habari vya serikali ya Iran vikiripoti milipuko kadhaa.
Chanzo cha jeshi la Israeli kiliiambia CNN kwamba malengo ya kulipiza kisasi hayakujumuisha miundombinu ya nishati. Iran imesema Israeli ilishambulia vifaa vya kijeshi kote nchini humo, na kusababisha “uharibifu mdogo” katika baadhi ya maeneo.
Uamuzi wa Israeli kushambulia kile ilichokiita malengo ya kijeshi ya Iran ulifanywa baada ya wiki kadhaa za mashauriano ndani ya baraza lake la usalama kuhusu aina na upeo wa shambulizi hilo, kulingana na maafisa wa Israeli.
Soma Pia: Israel kuishambulia Iran mapema badala ya kusubiri ishambuliwe, taarifa za kiintelijensia zaendelea kukusanywa
=============
Several loud explosions have been heard in Iran's capital Tehran and Israel has confirmed it has launched strikes on military targets.
The Israeli military said it is conducting "precise strikes" on military targets in Iran in response to what it called "the continuous attacks from the regime in Iran against Israel".
Source: CNN
Sio 0 mkuu -0. NATO aibu yao wenyewe na Malaya wao Jordan Tulia Uone Kitachowapata Soon Muda UtaongeaKWA HII MISHENI ISRAEL KAPATA 0
Za kuambiwa changanya na zako
Iran wamefunga viwanja vyote vya ndege.Jiulize kwa nini iwapi hayo makombora ya Israel hayakuleta madhara yeyote si safari za ndege zingeendelea kama kawaida na viwanja kuwa wazi?
View: https://youtu.be/tvAyK6s0M1w?si=HGUsvcEBpDEikrKb
Umeishiwa akili ya kujua kuwa magaidi wanashambulia wakiwa katikati ya raia? Kama gaidi limejificha katikati ya raia, linapolengwa, kwa nini madhara yasiwapate raia? Mbona ni akili ndogo sana kulijua hilo.Netanyahu anachofanya ni kujitafutia matatizo, hapo alipo kwake amekimbia kwa kukoswa na drone la hezbollah lililopiga nyumba yake, haijulikani anaishi lodge au hostel halafu bado anachokoza tena Tehran.
Lakini IDF waesema wanalenga military targets, hawezi kuleta ule usenge wake kwenda kupiga raia, tena hapo USA kawaambia msithubutu kuua raia yeyote wa Iran, kupiga visima vya mafuta ama nuclear facilities...
Ninasoma muda huu USA inasema haihusiki na mashambulizi nchini Iran...🤣
Hayo makombora 1,000 kwa urushaji ule holela wa Iran, ni upotevu wa hela kwa nchi ambayo wananchi wake walio wengi wananuka umaskini wa kutupwa. Mengi ya hayo makombora yataishia nyikani, kama yale 300 ya mwanzo.Ayatollah amesema askari wajiandae kurusha makombora 1000, sasa hapo kumenoga.
Irani ilipoishambulia IsraelPicha za uongo hizo, weka live stream.
Iliposhambuliwa Israel na Iran tuliona live stream kwa masaa sita.
Au jaribio limezimwa mapema na Waajemi?
Yeye alileta madhara gani. Kapimiwa kipimo alichopima yeye.Tunaposema Iran ndiye mbabe halisi wa mashariki ya kati na dunia kwa ujumla enyi makondoo muwe mnaelewa.
Yaani Israel ameshindwa kujibu shambulizi kibabe hadi akapelekewa vindege na bwana wake Marekani ili viruke vikatupe vimondo kuondoa tu aibu ya kushindwa kulipiza kisasi.
Kwamba Israel hana teknolojia ya kukaa sebuleni kwake akashambulia nchi nyingine kama afanyavyo mbabe Iran isipokuwa anatumia njia ya kizamni za kutuma vindege kweli.😂😂
Marekani wakati anapigana na Japan miaka ya 1940 na Marekani na Vietnam ndiyo mambo ya kutuma ndege yalikuwa yameshamiri.
Dunia ya leo unakaa sebuleni kwako unakunywa kahawa huku unajipigia popote duniani upatakapo.
Sasa hapo ni Israel au ni USA chini ya Israel? Mpaka Blinken aende kutoa kibali na katoka huko jana🤣🤣
Hivi si ulisema Israel imefyata na haitojibu mapigo?
Imekuwaje tena sasa?
Ndege zote zimerudi salamaMifumo ya ulinzi inapokuwa active ni lazima uzuie safari zote za ndege ni hatari hata kwa ndege zako mwenyewe hiyo ni kawaida duniani pote