Iran: Milipuko ilisikika mjini Tehran huku Israel ikithibitisha mashambulizi

Maisha nyuma ya keyboard matamu sana.
Ndio kaka. Wabongo wanajua vita wanapigana maporini yeye hapa mjini ataenda KMC Complex kama kawaida kuangalia Simba wakimenyana na Tabora United.

Nyuma ya keyboard ndipo unapopata ujasiri wa kuandika wapigane kwanza tuone nani mbabe.
 
Waislam hawamwamin Yesu ila wamedokoa habari zake na kuzipachika kwenye Quran ila wakikwamini kikweli kweli lazima wawe wakristo.
The Qur’an states that Jesus is Allah’s β€œword which he cast into Mary, and a β€˜spirit’ from him” (Sura 4:171). Jesus is also called a word from Allah in Sura 3:39, 45. Hivi vitu uwezi kuona kwenye Quran sikuhizi scholarswameweka tafsiri zao za kutetea uislam wao.



Wayahudi hao wamepotea kabisa kuna sehemu bado wamekwama na shida yao wanajiona bado wapo sahihi wakati utukufu ushahamishwa kutoka kwao kuja kwa wakristo
 
Hio picha hapo ni ya mwaka 2021 kwenye kiwanda cha mafuta Iran. Alafu cnn wanaongoza kwa ku fabricate information sio chanzo sahihi cha kuchukua habari na kuziamini. Video na picha za matukio ya mashambulizi ya leo yapo kwenye vyanzo ambavyo havina fake news. Wave ya kwanza ya mashambulizi ya israel ilikua ni drone Iran wametumia autocannon machine gun wame pickup drone zote, wave ya pili na ya tatu ilikua ni air strike ambapo missiles za Israel zilikua pickedup kwa kutumia medium range air defence systems ni misile chache zimefanikiwa kupita. Long range na advanced air defence system za iran wala hata hazikutumika, mashambulizi yote yamezimwa na system za kawaida tu.
 
Kwa kuongezea Tu, kambi ya BONYOKWA KWA KICHWA walisema Iran hawezi thubutu kuishambulia Israel vinginevyo atachakaa.

Iran akarusha makombora Israel kama usemavyo kambi ya TANDALE KWA TUMBO Ikasema hakuna Madhara .

Sasa kambi TANDALE KWA TUMBO Ikasema watalipa kiasi, ila majibu ya kambi ya BONYOKWA KWA KICHWA wakasema Israel kama hajitaki Arusha hata jiwe aone cha Moto.

Kambi ya TANDALE KWA TUMBO imejibu tena kwa kupeleka ndege vita huko huko na koporomosha mabomu.

Majibu ya kambi ya BONYOKWA KWA KICHWA NI Yale Yale kama ya kwa TANDALE KWA TUMBO.

Vita havifai ila watu wanashabikia kama Mpira wa miguu
 
Israel kaishambulia Leo Iran kiuoga uoga sana. Mimi nilitegemea kuona banker buster zikipiga hasa nuclear facilities zilijengwa huko mashimoni Iran. Ninaomba Israel ilirudishe majibu tena mengine yawe makali sana, hasa mpaka Wa Iran watoe Milio yote. Maana Oct 1 Iran alivyoshambulia sote tuliona video. Lakini hii ya Israel naona kama wameipiga kiuoga uoga naomba irudiwe.
 
 
Ndio kaka. Wabongo wanajua vita wanapigana maporini yeye hapa mjini ataenda KMC Complex kama kawaida kuangalia Simba wakimenyana na Tabora United.

Nyuma ya keyboard ndipo unapopata ujasiri wa kuandika wapigane kwanza tuone nani mbabe.
Kweli kabisaa, maisha ni zawadi kwa wote, vita ni uchumi kwa wachache.
Kushangilia vifo vya roho zisizo na hatia ni kukosa utu.

Tafakari tu ile hali ya kiwewe atayokuwa nayo mtoto mdogo akishuhudia hiyo mitikisiko ya mabomu, kushabikia vita Si sawa aisee.
 
Ni sawa tu mkuu. Ayatollah kampiga ngumi ya mbavu Netanyahu, halaf Netanyahu karudisha kwa kurusha tu kibao ambacho kimepanguliwa na Ayatollah.
 
Iran wewe isikie unavyo isikia ni hatari sana.
Kwanza geographia yake ni nzuri sana wanaweza kukotrol ule mkondo wa bahari unaopitisha mafuta ya pale uarabuni na meli yoyote isipite hapo lazima uchumi wa marekani na washirika wake uanguke, pia ana air defence nzuri amewahi take control ya drone za marekani na kuzielekeza Iran pamoja na kuzidungua nyingine, ana cyber force nzuri, ngome zake zipo china ya ardhi, ana makombora hatari mfano hypersonic missiles, ana inteligency nzuri. Ana proxy groups nzuri. Ushirika na urusi, urusi ka deploy communication jammer zake iran, warning radars na air defence. Pia iran ana cheap speed boats nyingi na missile boats nyingi.
 
Israel ni joka la kibisa ambalo halina meno wala uwezo wa kumeza mtu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sijui hizi aibu watazificha wapi mpaa US wanacheka na kumcheka shoga yao. Anatoa tarifa wapi anaenda piga, afu anaomba wasirudishe kipigo sababu kipigo ni kidogo sana.

Yule waziri wa majeshi ya Israel alituambia kipigo watakacho kitoa dunia nzima watashangaa, kweli tume shangaa kumbe ilikuwa kipigo cha kitoto sana.
 
kwahio mdau ulitaka wafe kama watu wangapi hivi?😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Wewe si unaona hata wale wayahudi wenzao wa gongo la mboto wameshindwa kuja kwa wingi ku report shambulio hili.

Wamebakia kuvizia thread za watu halaf ndo wanaingia kuandika ujinga wao. Kama Israel ingefanikiwa kufanya kile walichokikusudia basi hapa JF pangekuwa hapatoshi.
 
Wayahudi wa humu walikuwa hawajui kama Iran ana Air defense.

Hebu wache leo tuwaonyeshe Air defense za Iran ambazo zimetumika kuangusha hizo missiles za Israel na drones


View: https://youtu.be/JPJGv_mqrkE?si=rdif8prKj3RBL8X5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…