zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Punguza ujuaji si uingie hata google, Iran ilishaanza pigwa blockade tokea 1950s na baada ya blockade wakawekewa vikwazo basically tokea 1979 mpaka leo wamezuiwa kuuza mafuta yao na bidhaa zao popote pale duniani.Kwamba blocked Ina miaka zaidi ya 40 ila haya mahaba, Iran ikipigwa Naval blockade Kwa miezi 6 sijui itakuwaje Leo Iran wanataka US aondoe blocked Ili na wenyewe wafungue Hormuz
Hatari kivipi wakati inapitisha mizigo kama kawaida kutumia false flag ships na pia reli inafanya kazi kama kawa lakini pia Iran inaproduce vitu kibao ndani kwahiyo inajitegemea sio kama nchi zetu hizi ambazo tunategemea imports mpaka za toothpick.Narudia Iran ikiwekewa Naval blockade Kwa 6 months sijui Hali itakuwaje wenyewe Leo wanataka US blocked iondoke na wenyewe wafungue Hormuz, Navy blockade ni hatari yaaani ni hatari kuliko ata kurusha mabomu
Anyway umeshinda 🚶Punguza ujuaji si uingie hata google, Iran ilishaanza pigwa blockade tokea 1950s na baada ya blockade wakawekewa vikwazo basically tokea 1979 mpaka leo wamezuiwa kuuza mafuta yao na bidhaa zao popote pale duniani.
Kwahiyo kwa miaka zaidi ya 50 wana operate kwa black market na ndoo mbinu wanayotumja mpaka leo kuuza mafuta na kuingiza bidhaa na nimekuwekea hapo documentary za mwaka huu unachobisha ni nini? Kabla ya kuandika hizi speculation ulikua unajua kuwa kuna reli ya kutoka Tehran mpaka China? Au hujui China ni moja ya trade partners wakuu wa Iran?
Ni vizuri uwe informed kabla ya kuandika mada.
All their fleet still zipo operational, hawajapoteza meliUS kabakiwa na meli ngapi ?
Hii kitu ni more than vita yenyewe ni uchumi ulipo nyuma ya hio mvurigano but yet wabongo wengi hawaelewi1. USA ana nguvu ya kijeshi kubwa kuliko Iran
2.Iran akiamua kuvuruga blockade ya USA ataudidimiza kabsaa uchumi wake
3. Akishambulia tu atafanya USA aungwe mkono na mataifa mengi duniani kuliko Hali ilivyo sasa
mzee aliyetakiwa kuvunja blockade ya mwenzie ni USA si IRAN,yeye IRAN kaweka block hapo USA kaja kumsaidia kublock hiyo sehemu before USA kumsaidia IRAN hiyo blockade,USA a.k.a SUPERPOWER SIJUI KIRANJA WA DUNIA alitoa countdown na vitisho vizito sijapata kuona kwamba IRAN atoe blockade yake la sivyo atakipatapata,mwisho wa siku kaunga mkono harakati za IRAN za kuifunga hormuz...SWALI KATI YA HAO WAWILI NANI ANA NGUVU NA NANI KASHINDWA KUVUNJA BLOCKADE YA MWENZIE...IRAN kashaonesha haopgopi chochote kuhusu yeyote kwenye hii dunia kitu anachoogopa ni unyonge tu mbele ya PEDOPHILES...kuwaogopa PEDOPHILES NI DHAMBI KUBWA SANA kwa MUNGU BABA
Wewe ng'weng'we ndio umjibie huyo mtoa mada kilaza kuwa kwanini US na usupapawa wake wote ameshindwa kuifungua Hormuz, bali kaleta michezo ya kitoto ya kublock meli kama Itran akiamua kufungua,Wewe kweli ulienda shule, mbona hujibu swali..!!!???
Hili swali la ukilaza wa hali ya juuIran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.
Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.
Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??
Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??
Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.
Mto wa Mbu
USA
Mfano wa kipuuziFikiria kwa Namna hii.
Ww una nyumba na geti lako na umejifungia ndani.
Na mtu wa nje akasema sawa. Basi kaa ndan maana Hauruhusiwi kutoka nje.
Tarajia fix km ilivyo kawaida yaoUS kabakiwa na meli ngapi ?
Asipokuelewa hapa basi ana utindio wa ubongo.Mfano wa kipuuzi
Huu ndio mfano halisi:
Mtaani kwenu njia ni moja tu yakutokea, halafu Iran Nyumba yake iko karibu ya mwisho wa mtaa, akaamua kuufuga mtaa, wote mnatokea na kutaka kupita mnakula kichapo na kurudi mlikotoka.
Halafu mpumbavu mmoja anajiita US anaenda kusimama mwisho kabisa wa mtaa halafu anasema hapitui mtu, sasa hapo amezuia nini zaidi kuungeza kizuizi kingine
Kwanini US asifungue mtaa kila mtu apite ?
Mfano wa kipuuzi
Huu ndio mfano halisi:
Mtaani kwenu njia ni moja tu yakutokea, halafu Iran Nyumba yake iko karibu ya mwisho wa mtaa, akaamua kuufuga mtaa, wote mnatokea na kutaka kupita mnakula kichapo na kurudi mlikotoka.
Halafu mpumbavu mmoja anajiita US anaenda kusimama mwisho kabisa wa mtaa halafu anasema hapitui mtu, sasa hapo amezuia nini zaidi kuungeza kizuizi kingine
Kwanini US asifungue mtaa kila mtu apite ?
Usiweke udini hapa ww matako.Hili swali la ukilaza wa hali ya juu
Yaani Iran afunge Hormuz mpaka ukoo wako uliouucha kule sitimbi wanaipata fresh kwa mfumuko wa bei halafu unabadilisha uhalisia kuwa Iran kafungiwa na US, hivi huu ulokole huwa mnaambiwa mjitoe akili ndio utafikia uzima wa milele
Choxo wa kilokole huwa mnakuwa vilaza sijui kwaniniUsiweke udini hapa ww matako.
Hii vita ni ya kiuchumi.
Low IQ brain deadMfano wa kiduwanzi.
Aliyeanza kufunga mtaa ni Iran.
kwann anaomba sasa aruhusu watu wapite ili na yeye afunguliwe?.
Aendelee tu kufunga.
Anza kuhesabu miezi tokea waekewe hio blockedKwamba blocked Ina miaka zaidi ya 40 ila haya mahaba, Iran ikipigwa Naval blockade Kwa miezi 6 sijui itakuwaje Leo Iran wanataka US aondoe blocked Ili na wenyewe wafungue Hormuz
🤣🤣🤣 safari hii mutajamba sanaaaaaaa yaaniNarudia Iran ikiwekewa Naval blockade Kwa 6 months sijui Hali itakuwaje wenyewe Leo wanataka US blocked iondoke na wenyewe wafungue Hormuz, Navy blockade ni hatari yaaani ni hatari kuliko ata kurusha mabomu