Iran na nguvu zake alizonazo ameshindwa nini kuvunja US Naval blockade?

1. USA ana nguvu ya kijeshi kubwa kuliko Iran

2.Iran akiamua kuvuruga blockade ya USA ataudidimiza kabsaa uchumi wake

3. Akishambulia tu atafanya USA aungwe mkono na mataifa mengi duniani kuliko Hali ilivyo sasa
Iran iliishasema hata ziungane nchi zote duniani atazipa stahiqqi zao zinazo ztahiqi
Kuhusiana na kuungwa mkono marekani kwasasa labda vita ile ya Ukraine iishe
Kama ukraine moto unawaka kule sahahu us kuungwa mkono kama kwa iraq libya nk
Safari hii super glue atateseka sanaaaaaaa
 
Sasa inaumiaje wakati ilitaka kujifungia tokea mwanzo
Tuseme sawa marekani inauwezo inangojea nini
Marekani hii vita kama washirika wake wapo busy kule Ukraine kushinda musahau labda atumie nyuklia
 
Dunia ni Marekani na Ufaransa pekee ndio zinaweza kuhamisha kundi kubwa la askari na vifaa kwa jeshi kwa njia ya majini.
Nchi inayokaribia hapo ni China.
 
Iran ilio na vikwazo tokea miaka 70s huko uitishe nini
Endeleeni tu kujidanganya
Kaka unaelewa nilichoandika au umejibu kwa jazba na hisia, sijasema iran hiv au vile , nazungumzia uchumi ila siajataja nchi
 
Anza kujiuliza hili kwanini hormuz haijafunguliwa??
 
Hii ni porojo tu, Ingekuwa hivyo basi Iran isingekuwa inalalamika iondolewe hiyo blockade.
 
Meli huwa zinasogea kubadilisha positions/locations pale radar zinaponasa ujio wa mizinga, tofauti na bases zilizopo huko ambako huwa wanashambulia sana ni vigumu kuzihamisha.

Ili uweze kupiga kitu chenye uwezo wa kufanya manuva ni lazima uwe karibu nacho au utumie mizinga yenye uwezo wa kubadilisha uelekeo zikiwa safarini.

Yes, Iran amebanwa kutumia njia ya maji, ila vipi kuhusu landlocked countries, huwa wanaishi vipi bila bahari ambapo Iran itashindwa?.
 
Pamoja na yote yake Iran kaonyesha umwamba sana!! Mpaka marekani kapoa anataka maridhiano.
Ni vile tu ushabiki ila Iran kakomaa sana apewe heshima yake anashambuliwa na Israel pamoja na marekani still yupo vizuri.
Nawaza endapo project zake za nuclear toka 1970 huko zingefanikiwa sijui ingekuaje maana Israel alijitahidi kuua scientist wote waliokuwa wapo kwenye payroll ya Iran . Lakini pamoja na yote Iran kaonyesha umwamba
 
It is true kajitahidi, US ata Talban waliwadindia, ata Mogadishu Somalia 1994 walichapika,ila haiondoi kuwa US ana strong force
 
Mimi nadhani majibu kashapewa labda namm niongeze maelezo!

Kwanza tufahamu Iranian ni watu wenye kutumia Akili sana

Trump kashaanza kuwaelewa kuwa wanamsindikiza talatibu kwenye Uchaguzi wa November

Kwaiyo ukizungumzia iyo
Blockade lazima kwanza ujue mbinu za watu wenye Akili zaidi usiwaze kijeshi tu waza pande nyingi
Utaelewa msingi kwann Iranian hataki kuwatwanga wale wamepewa kazi ya kuzuiya Meli kutokea Iranian

Iranian kiuchumi wanavikwazo na wanaishi kwa mbinu nyingi kupambana na ivo vikwazo!

Lkn kivyovyote ile Hormuz lazima yupo mnufaikaji mkuu nae ni Marekani na Ulaya %90
Sababu mkumbuke ndio njia kuu ya kupitisha rasilimali mbali mbali kutokea Kuwait Bahrain UAE Qatar Saudi Arabia Iraq

Sasa Iranian.wamefunga
Hormuz โŒ๏ธ

pande nyengine nayo imefunga

Wkt wasasa kuna Vita kubwa ya Uchumi kati ya Marekani Ulaya na China

Je nani mnufaika kama sio China
Mtambuka mwanzoni Iranian ilitaka pesa ya kulipia tozo iwe ya China

Kwaiyo utaona Iranian Russian na China wapo kwenye project kubwa kuisambalatisha Marekani kiuchumi

Ndiomana utaona Iranian hataki kujiingiza kupambana na ile Blockade ya Marekani manake kuwepo kwake pia ni Faida kwa project yao

Ndiomana Iranian kwasasa inatumia iyo Blockade ya Marekani kama Sababu ya wao kuendelea Kufungwa kwa Hormuz

Iranian inasema mpaka kwanza Marekani iyondoe ile Blockade yake ndipo nawao watafungua Hormuz upya kwa masharti ya Iranian yenye kuambatana na TOZO

Sijui kama nimeeleweka
Kiuchumi mwasirika ni Marekani kwakiwango chamwendawazimu manake kule Gulf States wanalilia juani kwasasa.

kumbuka Iranian ilipowekewa vikwazo na Marekani wenyewe awa Gulf States walinufaika sana๐Ÿ‘ˆ

Sasa wapo kama kuku kachinjwa na kuachiwa chini wanapapalika

Upande mwengine Iranian inajua ni kinga pale Umoja wa Mataifa wakitoa Azimio lolote kuusu Iranian kufunga Hormuz๐Ÿ‘ˆ

nawao
watasema tatizo sio sisi ni Marekani wameweka kizingiti

Iranian inayo Caspian kule inafanya biashara zake wana njia nyingi mipaka ya Afghanistan Pakistan Armenia Azerbaijan Uturuki Iraq mipaka ya Ardhi kwa Ardhi manake Biashara zunatembea pande za uko kwa uko

SaudiArabia ilikuwa na njia upande mwengine๐Ÿ‘ˆ

lkn makosa yao wameenda kuwachokoza Houthi kwakuzuia ndege isitue Sanaa kwenye uwanja wa ndege kwa kutoa visingizio vya kijinga
Ile ndege iliwabeba watu muhimu walioenda kumzika Ayatollah wa Irani.

sasa Houthi wamefunga ile njia ya bahari nyekundu ..

Sasa chunguza kwenye MAP utaelewa izi Gulf States lazima wapapalike tofauti kabisa
na Iranian
Manake Iranian jiwe moja ndege kibaoโœ๏ธ
 

Nafikiri swali lako lingekuwa, Marekani inayojitangaza kuwa ndio kinara wa kijeshi Duniani imeshindwaje kufungua mlango wa Hormuz. Binafsi naona Iran imefungua ulimwengu macho kuwa Marekani si chochote kwenye masuala ya kivita. Marekani ikipigana na nchi kama Ujerumani au China itaachwa magofu...Huwa inajipa promo nyiiingi kumbe hakuna kitu

Nakumbuka mwezi July Trump alivyo hudhurika kupokea makumi kama sio mamia ya wanajeshi wa marekani walio uwawa huko Ghuba (Marehemu) katangaza eti, Vita ikiisha Irani itabidi ilipe fidia za wanajeshi wa marekani walio uwawa huko...kama sio kuchanganyikiwa....
 
German hii hii inayotumia ndege za F-16, F-35, F-15 za marekani German hii hiii ambayao Ina wanajeshi 35,000 wa Marekani, German hii inayotegemea mifumo ya Patriots,kujilinda.

Oky America Haina strong military nani ana strong military Russia?

America siraha zake zoote anazifanyia experiment kwenye combat, Ata 1994 Al shabaab walimtandika USA ila haimanishi Al shabaab Ina strong force

Russia kupigana na Ukraine aomba msaada North Korea,Iran na china
 
USA silaha zake ple kamaliza , blockage ipi wakati pale anajisumbua tu , sawa mmoja anazuia meli bagamoyo na mwingine yuko coco beach ili zisifike Bandari ....USA vita kwake imeenda kombo ndiyo mpaka mpaka sasa hajaenda cuba ...Tangu mwezi wa pili , na ground invasions kashindwa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ