Strongh force Kwa mabwege huko sio Kwa Iran , USA walitaka kujaribu kuleta ambacho kimemkuta atakaa asumulie mpaka wajukuu zao wa kizazi Cha Saba kijachoStrong force anayo , ila Iran nae apongezwe maana ni mwanaume haswa! Sio wendawazimu wale Venezuela rais anachukuliwa kama kuku na mwewe
😀😀😀😁 Pro USA Kuna wakati wanapinga mpaka maneno ya trump na fact za majemedari wa zamani wa USA sometimes huwaga nahisi nati Moja kichwani ime loseMleta mada inaelekea umesahau Trump alivyotoa ushuhuda jinsi Iran ilivyotembeza kichapo kwa MV Ford huku akishuhudia live kwenye Runinga
Mbona hujiulizi hivyo Kwa USA pia dhidi ya Iran na dhidi ya AfghanistanSasa kama Russia ana jeshi Bora zaidi si ashinde vita na Ukraine
Ila hatujawazidi ninyi vilaza wa grade ya juu kabisaKobazi siku zote hawajielewi, wafuasi wa mudi ni empty set.
Ingekuwa una akili ungejiuliza Trump anatangaza kuwa hormuz papo wazi na meli hazipiti kwanini zisipite??Kobazi siku zote hawajielewi, wafuasi wa mudi ni empty set.
Kwani blockade ya USA ipo Iran ama maji ya mbali huko? Ingekua Iran Hana Nguvu basi hizo Meli za USA zingeenda kufungua Hormuz pale.Hujajubu swali langu, why Iran hasivunje US Naval blockade???
US katoka mbaliiiiiiii kapiga kufuli bandari za Iran then unasema US ndo ivunje kwanza blockade ya Iran
Ja Leo Iran wanasema US aondoe blocked yake ndo Hormuz ifunguliwe
Naval blockade ya US haipo kwenye mipaka ya Iran nakusudia kwenye bahari ya Iran, ipo international waters, na huko ni haki ya kila mtu kuko huru na US hawasubutu kusogelea maji ya Iran. Iran ni mwamba ameweza kuishi kwenye vikwazo vya ulimwengu kwa miaka 47 na mziki wake ndo unauona ule.Iran ana nguvu za kijeshi according to some people, andiko langu sijaja kuzungumza ilo. Iran alifunga mlango bahari wa Hormuz kama kete ya kuiadhibu Dunia. Na alidhani Dunia itamnyenyekea. Iran ilidhani yenyewe na allies wake ndo wangetumia mlango bahari wa Hormuz.
Marekani alipiga calculation ya Hali ya juu Kwa kuweka Naval blockade Kwa bandari za Iran. Hii Naval blockade ni hatari yaani ni hatari kuliko ata kurusha bomu. Iran amejikuta hawezi tumia malango bahari wa Hormuz completely, so yeye alifunga na US kamfungia.
Swali langu ni je nguvu alizonazo Iran ameshindwa ku bleach US naval blockade??
Ana makombora ya kutosha ana Drone lakini US kapaki meli zake hapo Hormuz na hakuna meli ya Iran inayokatiza. Je meli za USA ni unsinkable??
Leo Iran inasema itafungua Hormuz kama US itaondoa Naval blockade.
Mto wa Mbu
USA
US ana reserve ya miaka takriban 100 ya mafuta.Mwisho wa siku tunaoteseka ni sisi nchi maskini, hao wanaopigana wana mbinu za kuendelea na maisha hata kwenye hiyo hali ngumu.
Mtu anaweA shambulia hadi Rais wako alipo na akamuua, anapiga kambi yoyote ndani ya nchi ya Iran na kuondoka salama. Anarun operation ya kumuokoa Pilot wake na anafanikiwa bila changamoto yoyote, aiseee US iko mbali sana kuliko Iran.Fikiria kwa Namna hii.
Ww una nyumba na geti lako na umejifungia ndani.
Na mtu wa nje akasema sawa. Basi kaa ndan maana Hauruhusiwi kutoka nje.
Hapa nani anaumia zaidi?.
Huyu wa nje hana shida. Anasubiria ww udhoofike ili utoke nje kuomba msaada.
Ishu ilikuwa kudondosha Dola ya Iran. Imeshindikana. Bas sasa ni kuweka vikwazo had Serikali ije mezani na USA wahakikishe Wanayotaka yanafanyika.
Pia naona kuna mgawanyiko. Spika wa Iran vs Jeshi hawako sawa sawa
.na ndio maana unaona sarakasi haziishi.
Ila uwezo wa USA kuipiga Iran na miundo Mbinu yao inayo.
Unataka kusema USA wanashindwa kulipua hizo bandari?.
kipind cha mashambulizi ya kwanza na ya Pili. Iran iliweza kuyazuia?.
Mbona anakokoreka bas kuhusu Homourz, Ni hivi..US ana reserve ya miaka takriban 100 ya mafuta.
Ila chakushangaza kwao mafuta yamepanda bei kama kenya na tanzaniaUS ana reserve ya miaka takriban 100 ya mafuta.
Rubani alo okolewa yuko wapi anaitwa naniMtu anaweA shambulia hadi Rais wako alipo na akamuua, anapiga kambi yoyote ndani ya nchi ya Iran na kuondoka salama. Anarun operation ya kumuokoa Pilot wake na anafanikiwa bila changamoto yoyote, aiseee US iko mbali sana kuliko Iran.
Naomba kwa heshima unlike huo mfano upya kwa herufi kubwaMbona anakokoreka bas kuhusu Homourz, Ni hivi..
US pamoja na reserve aliyonayo ni kwamba yeye atalazimika awe ni supplier mkubwa hivyo stock yake itapungua kwa kasi sana, jeuri aliyonayo ni kwamba kuna vyanzo vyengine duniani ikiwemo hiyo njia kuu ya Hourmoz ambayo 25% ya mafuta duniani hupita hapo, zile nchi ambazo zitakosa kupitia Hormoz watalazimika kununua US ambako nako haitoshi kwa ulimwengu mzima kununua tu stock ya US
Ndio maana US wako buzy sana kutoka Hormoz ifunguliwe au kwa garama yoyote ile kama vita au Diplomasia lakini mlango uwe wazi, Ndio mana Iran wanalijua hilo na ule mlango ndio karata yao muhimu sana kutia adabu nchi za Marekani na aila zake, ni kama vile mtu amekubana mapumbu huwezi kusimama wala kukaa kitako
Marekani akizuia huo mtaa iran yeye haumii ?Mfano wa kipuuzi
Huu ndio mfano halisi:
Mtaani kwenu njia ni moja tu yakutokea, halafu Iran Nyumba yake iko karibu ya mwisho wa mtaa, akaamua kuufuga mtaa, wote mnatokea na kutaka kupita mnakula kichapo na kurudi mlikotoka.
Halafu mpumbavu mmoja anajiita US anaenda kusimama mwisho kabisa wa mtaa halafu anasema hapitui mtu, sasa hapo amezuia nini zaidi kuungeza kizuizi kingine
Kwanini US asifungue mtaa kila mtu apite ?
They are emptiness.Kobazi siku zote hawajielewi, wafuasi wa mudi ni empty set.
Kutumia nchi kavu kulingana na jiografia ya Iran na sehemu ilipo ina maana gharama za bidhaa kutoka nje zitakuwa ghali mara nne na itapelekea uchumi wa Iran kusambaratika kabisa.Meli huwa zinasogea kubadilisha positions/locations pale radar zinaponasa ujio wa mizinga, tofauti na bases zilizopo huko ambako huwa wanashambulia sana ni vigumu kuzihamisha.
Ili uweze kupiga kitu chenye uwezo wa kufanya manuva ni lazima uwe karibu nacho au utumie mizinga yenye uwezo wa kubadilisha uelekeo zikiwa safarini.
Yes, Iran amebanwa kutumia njia ya maji, ila vipi kuhusu landlocked countries, huwa wanaishi vipi bila bahari ambapo Iran itashindwa?.
Anaumia na nini?Marekani akizuia huo mtaa iran yeye haumii ?
Ila hawajakuzidi wewe na safari hii wazayuni wa jf mutajamba sanaaaaaaaThey are emptiness.