Iran - Nchi inayohofiwa zaidi ulimwenguni na Marekani kuliko Taifa lolote lile duniani

Iran imedumaa kiuchumi kwasababu ya vikwazo vya kiuchumi walivyowekewa.
Israel iko funded na USA na inapokea unconditional financials aids katika bajeti ya serikali na ya jeshi.
Ni sahihi kusema Israel inaishi kimisaada.
 
Ndo tatizo la jukwaa hili kuruhusu kila mtu kujiunga, matokeo yake watu wasiokuwa na elimu kama wewe mnakuja humu kuandika ujinga bila kuweka facts na ushahidi wa kile ulichoandika. Vitabu vya dini na historia vinaonesha kuwa Iran au Persia iliwahi kuwa na Empire zaidi ya miaka elfu 3 iliyopita, waliweza kuwa na nguvu na kutawala eneo kubwa ikiwemo Mashariki ya kati yote, kabla ya Israel, Uyahudi, Farao, Musa, Ibrahim, Yakobo, Yesu na Muhammad kuzaliwa. Alaf wewe leo unakuja kuandika matapishi yako hapa kuhusu Urusi. Wakati wenzako walianza kujitambua na kupigana vita miaka hiyo elfu 3 iliyopita kabla hata haijajulikana kama kuna nchi itakuja kuitwa Urusi, Israel, Saudi Arabia, Marekani nk. Hivyo kila wanachotengeneza na kukifanya hakikuanza leo, ni cha miaka mingi mno iliyopita.

Tukija kwenye vita ya siku 12, hapo ndo unaonesha ulivyo mweupe kichwani. Hivi kiuhalisia Israel anaweza kutawala anga akiwa ndani ya Iran halaf aruhusu jeshi la Iran lirushe makombora katika ardhi yake hadi kupelekea Netanyahu kuomba vita isimame baada ya Tel Aviv kugeuzwa Gaza namba 2?

Look bro wewe unaandika habari zako kishabiki tu bila kuwa na facts yoyote kutoka katika historia au uhalisia.

Unaposema nchi za kizungu huingia kwenye kila vita ya mwenzao hata akipigana na nchi ni uongo. Tumeona juzi Marekani akiienda kufanya mashambulizi Venezuela bila kuwa na backup yoyote kutoka kwenye hizo nchi za kizungu. Ukweli ni kwamba hizi nchi huingilia kati pale tu wanapoona mwenzao anabondwa na kuzidiwa nguvu na Yule anaepambana nae.

Kingine kama Iran haina nguvu ni kwanini inawanyima usingizi Israel, Marekani na nchi zingine za Magharibi?

Israel ni nchi dhaifu sana, na ndiomaana haiwezi kuingia kwenye vita hata na wanamgambo bila kuwa na backup ya nchi za Magharibi zenye nguvu kijeshi. Vita ya siku 12 tu tayar mamia ya waisrael walikuwa wameshakimbia nchi yao, Netanyahu alilia na kushindwa kupata usingizi (picha inajieleza wazi). Je mziki ungeendelea kwa miezi mi3 kuna nyumba au jengo lolote lingekuwa salama kweli Israel?

Na usisahau Iran ipo kwenye vikwazo vya kiuchumi na kijeshi kwa zaidi ya miaka 50, lkn imeihenyesha nchi isiyokuwa na vikwazo hata kimoja tena inayotegemea msaada wa kiulinzi na kiuchumi kutoka Marekani, UK, Ufaransa, Ujerumani, Italy, Uholanzi nk.
 
View attachment 3534929hembu nitolee maelezo kuhusu hili maana sielewi
Pesa ya Italy Lira uki change kwa kutumia Dinar ya kuwait au Dinar ya Baharain au Rial Oman utaibeba kwa magunia tuweke mfano ITL =0.000188071 KWD

Kwa hio Kuwait wako mbali sana kuliko Italy hahaha akili ni mali sana
​
 
Ndomaana nimesema ufanyike utaratibu wa kuchunguza elimu na akili za watu kabla ya kubakwa kujiunga na jukwaa hili.

Wewe unasema eti Israel ina uchumi mkubwa kuliko Iran. Je wewe haujui kama Iran imewekewa vikwazo vikubwa vya kiuchumi na silaha, wakati Israel haina kikwazo hata kimoja. Sasa nchi yenye kikwazo itawezaje kununua au kuuza nje?

Hata katika nchi za Southern Africa Zimbabwe ilikuwa nchi ya pili kwa uchumi baada ya South Africa, lkn baada ya kuwekewa vikwazo vya kiuchumi leo hii inashindwa uchumi hata na Burundi inayotegemea kahawa tu kukuza uchumi wake. Sasa hapo mtu mwenye akili hawezi kushangaa kwa sababu anajua fika kuwa uchumi wa Zimbabwe umeangushwa na vikwazo ila sio uwajibikaji.

Halaf kingine nlichokuona mweupe kichwani, ni kuiweka Uturuki katika nchi za Mashariki ya kati 🤣🤣🤣🤣 🤣

Kwa taarifa yako Uturuki ipo katika mabara mawili. Ambapo kipande kimoja cha Uturuki kipo Ulaya kinapeana mpaka na Bulgaria, Ugiriki, Poland nk, halaf kipande kingine kipo Asia Kaskazini Mashariki ikipeana mpaka na Iran kwa upande wa juu.

Kupigiwa ndani kwako kwa kushtukiza hilo hata Israel limetokea. Baada ya Hamas kuingia Israel kufanya operation iliyochukua zaidi ya masaa 6 bila Netanyahu na genge lake kujua kinachoendelea. Na pia wakafanikiwa kutoka na maelfu ya mateka wakiwemo wana usalama.

So hiyo ni issue ya kawaida. Ninachokushauri, ujifunze kwanza historia au ujuzi wa kile unachokiandika,kuliko kuja humu kuandika vitu vya hovyo ili uonekane na wewe unatetea Israel na genge lake.
 
Huyo jamaa ni mweupe kichwani. Binafsi siwezi kupoteza muda wangu kumfahamisha jinsi Dunia inavyokwenda.
 
Pesa ya Italy Lira uki change kwa kutumia Dinar ya kuwait au Dinar ya Baharain au Rial Oman utaibeba kwa magunia tuweke mfano ITL =0.000188071 KWD

Kwa hio Kuwait wako mbali sana kuliko Italy hahaha akili ni mali sana
​
Huyo jamaa ni mweupe mno kichwani. Akithubutu kuja kujitutumua kukujibu nishtue 🤣🤣🤣
 
Mzee baba mwenye technolojia ya makombora duniani ni Marekani na Urusi pekee....Tena na wao waliiba kutoka ujerumani..unalijua Hilo au hulijui?
 
Mzee baba mwenye technolojia ya makombora duniani ni Marekani na Urusi pekee....Tena na wao waliiba kutoka ujerumani..unalijua Hilo au hulijui?

Teknolojia ya makombora nchi tofauti zilikua nazo. Katizame hata historia ya vita ya pili ya dunia.
Hata Japan waliunda hizo vitu kwa teknolojia yao.
Ila kuna technological advancement ndio tunaizungumzia hapa.
China,Urusi na Iran wameleta mageuzi makubwa katika teknolojia ya makombora. Wamefikia kuunda hypersonic missiles za hadi mach-16 ilhali Marekani ndio kwanza wanafanya majaribio ya hizo hypersonic missiles tena za mach-7.
Nenda hata ka google utaona.
 
Nioneshe kombora ambalo hizo nchi zingine ziliunda au Japan iliunda na kurusha vita ya pili ya Dunia... Nchi ya kwanza kurusha kombora duniani ni ujerumani ya hilter, rejea kombora la V2.. bada ya ujerumani kufeli vita Marekani na Urusi wakaiba wale wanasayansi na wahandishi wa project ya V2 na hivo wakaenda kufanya kazi kwenye nchi zao na ndio maana hizo nchi mbili zimefanikiwa sana kwenye space technology na missile technology.
 
Israel ni nchi dhaifu?
Mkuu kwani lengo la Israel kwa Iran ni lipi? Na lengo la Iran kwa Israel ni lipi?
Tuanzie hapo pengine tutapata jibu zuri
 
Pia
suala la technological advancement ni kawaida technologia yeyote kadiri inavofanyiwa kazi ni lazima itaboreshwa na kujua Sasa we ukitaka makombora ya mwaka sitini ndo Yale hayo hayo Hadi leo?

Pia Iran hajagundua chochote kwenye missile technology we angalia missile zake zote ni copy paste ya urusi anachofanya yeye anapeleka vijana urusi wanasoma alafu wanarudi Iran wanatengeneza makombora yake Yale ya urusi wanabadilisha rangi na jina basi hana Cha zaidi ya hicho huyo muaheji..na nikuulize swali kama Iran ana technologia yake mwenyewe kwa ni I apeleke vijana wake musoma urusi we ushaona urusi inapeleka vijana kusoma china au Iran? Je ushaona makerani inapeleka vijana kusoma urusi au china? Hawafanyi hivo sababu wao technologia wanayo tayari ila wale ambayo hawana ndio wanapeleka vijana wao kusomea kwenye hizo nchi
Iran imedumaa kiuchumi kwasababu ya vikwazo vya kiuchumi walivyowekewa.
Israel iko funded na USA na inapokea unconditional financials aids katika bajeti ya serikali na ya jeshi.
Ni sahihi kusema Israel inaishi kimisaada.
Nioneshe kwenye Pato la taifa la Israel hizo fund na misaada wanayopewa ni asilimia ngapi ya pato lao lote? Unajua mapato ya Israel yanatokana na nini? Una
 
Sa
sa hapa tunaongelea sualaa la uchumi mkubwa naa sio vikwazo..Sasa kamaa Iran uchumi ni Mdogo sababu ya vikwazo Hilo ni suala lake lakini ukweli si unabaki pale pale kwamba kapitwa uchumi au?
Marekani kwenda kumteka Maduro kwani hiyo ni vita asee? Hiyo ni operation ya kawaida tu

Kila saa unasema Israel anategemea misaada huna ata point mpya..ebu niambie ni asilimia ngapi ya misaada anayopata kwenye bajeti yake ya ulinzi?
 
Is
Israel ilitawala anga ya Irani ndege za Israel zilikua zinaenda kupiga Iran na kurudi na hakuna ndege ata Moja iliyoguswa..pia kuhusu suala la kurusha missile ni kwamba Iran missile launcher zake nyingi ziko underground ndo mana alifanikiwa..ila zingekua juu zingemalizwa zote
 
Israel ni nchi dhaifu?
Israel ni dhaifu kwa sababu inategemea bajeti ya ulinzi na uchumi kutoka Marekani na nchi za Magharibi.
Haina tofauti na nchi zetu za shithole ambazo hutegemea misaada kuendeshea nchi.
Mkuu kwani lengo la Israel kwa Iran ni lipi? Na lengo la Iran kwa Israel ni lipi?
Lengo la Iran kutengeneza silaha na kujenga jeshi bora kujilinda na uvamizi wa Marekani na washirika wake ikiwemo Israel kwa lengo la kupachika puppet wao wa kum control na kujichotea mafuta watakavyo.

Na lengo la Israel kwa Iran ni kuhakikisha Iran inakuwa shamba la bibi yani isiwe na silaha zozote za maana ili siku wakijisikia kwenda kuitwanga iwe rahisi. Kitu ambacho Iran kama nchi huru yenye kujitambua haitaki kukisikia.
Tuanzie hapo pengine tutapata jibu zuri
 
Upuuzi mtupu. Haya kakojoe ulale.
 
Uchumi wa Israel ni kupewa kila kitu na wazungu (Marekani)
Yani haina tofauti na nchi zetu za shithole zinazotegemea kila kitu kutoka nje.

Israel ni nchi ambayo inashindwa kukusanya hata bajeti yake ya ulinzi. Halaf wewe unaandika upuuzi hapa.

Angalia wamaoisaidia Israel ambayo unaifananisha na Iran inayojitegemea yenyewe kijeshi na kiuchumi.

Israel nchi ya hovyo inayoishi kwa misaada kama shithole country like Malawi au Burundi tu.
 
Kwahiyo wewe ulitaka ziwe peupe mtaani 😁😁
 
Israel ni nchi dhaifu?
Mkuu kwani lengo la Israel kwa Iran ni lipi? Na lengo la Iran kwa Israel ni lipi?
Tuanzie hapo pengine tutapata jibu zuri
Lengo la Israel ni kuangusha utawala wenye nguvu wa Iran ili Israel ibaki nchi pekee yenye nguvu ukanda wa mashariki ya kati.
Iran haijawahi kuwa na lengo mahususi kwa Israel,bali uchokozi wa Israel unailazimisha Iran iunde uhasama kwa Israel.
Ukitaka kuhakikisha hilo Iran inamruhusu myahudi hata alotoka leo Israel apate uraia Iran. Ila Israel ni MARUFUKU kumpa hata visa mtu asili ya Iran.
 
BRO ubishi wako wa kijinga utanifanya niache kujadiliana na wewe.
IRAN HAIPELEKI WATU WAKE KUSOMA URUSI. Iran ina uhusiano wa kiteknolojia na kielimu na China. Tena huitwa maprofesa wa China kuongeza ujuzi pale pale Iran.
IRAN KWA URUSI IMEJIFUNZA NUCLEAR SCIENCE PEKE YAKE.
Iran ilianza missile and drone production tangu 1990 bila usaidizi wa URUSI.
Hivi unajua kama teknolojia ya HYPERSONIC MISSILE Iran ndio aliyoi advance??
Ndio maana Korea Kaskazini aliwaita wanasayansi wa Iran wawasaidie kuunda hypersonic missile. Kwanini hakuwaita wanasayansi wa URUSI!??
Suicide drone Urusi amejifunza kwa Iran. Shahed drone zina teknolojia anbayo Mrusi hakuwahi kuwaza kama kile kitu kinaweza kufanywa na Iran.
Iran inaunda Air defense system yake ya kwanza Khordak-5 pasi na usaidizi wa Urusi. Urusi wanapeleka s300 inaenda kuwa out-smarted na khordak-5 kiufanisi.
Wachaga ubishi bro.Nenda kasome evolution ya missile technology ya Iran.
Hadi sasa Iran inaunda missile ya mach-17 niambie Urusi ameshaunda hilo kombora la mach-17 hadi sasa!?

Nioneshe kwenye Pato la taifa la Israel hizo fund na misaada wanayopewa ni asilimia ngapi ya pato lao lote? Unajua mapato ya Israel yanatokana na nini? Una
Israel ina fictious economy kama uchumi wa hisa.
Israel inapokea $4 billions annually for millitary budget na more than $30 billions for other government budget.
Nenda GOOGLE andika "USA financial aids to Israel". Isipokuletea nakuwa mkristo leo leo.
Wacha ubishi wa kipumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…