Wacha ubishi dogo!!Nioneshe kombora ambalo hizo nchi zingine ziliunda au Japan iliunda na kurusha vita ya pili ya Dunia... Nchi ya kwanza kurusha kombora duniani ni ujerumani ya hilter, rejea kombora la V2.. bada ya ujerumani kufeli vita Marekani na Urusi wakaiba wale wanasayansi na wahandishi wa project ya V2 na hivo wakaenda kufanya kazi kwenye nchi zao na ndio maana hizo nchi mbili zimefanikiwa sana kwenye space technology na missile technology.
Hiki kizazi cha siku hizi bana yani wanajifunza kwa kukariri.Huyo jamaa ni mweupe kichwani. Binafsi siwezi kupoteza muda wangu kumfahamisha jinsi Dunia inavyokwenda.
Mkuu umeeleza lengo la Israel, Ila lengo la Iran unasema halipo mahsusi? Iran hana lengo la kuifuta Israel?Lengo la Israel ni kuangusha utawala wenye nguvu wa Iran ili Israel ibaki nchi pekee yenye nguvu ukanda wa mashariki ya kati.
Iran haijawahi kuwa na lengo mahususi kwa Israel,bali uchokozi wa Israel unailazimisha Iran iunde uhasama kwa Israel.
Ukitaka kuhakikisha hilo Iran inamruhusu myahudi hata alotoka leo Israel apate uraia Iran. Ila Israel ni MARUFUKU kumpa hata visa mtu asili ya Iran.
Mkuu USIPENDE KUONGOPA HUFAI KUONGOPA.Mkuu umeeleza lengo la Israel, Ila lengo la Iran unasema halipo mahsusi? Iran hana lengo la kuifuta Israel?
Uchokozi wa Israel ndio unafanya Iran iunde uhasama? Huu uhasama mbona upo hata kiimani zaidi? Israel ni adui wa muislam, hivi ndivyo maandiko ya uislam yalivyo.
Iran na Israel zote raia wanaenda, lakini with high level of screening. Usijiongopee kuwa muisrael kupata visa Iran ni rahisi, hivyo hivyo pia kwa Israel
WaIran waliopo Israel ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran.
Disclaimer: ninajadili haya nikiwa najua hamruhusiwi kuisifia au kuiandika Israel vizuri kwa lolote.
Lakini haizuii mjadala Kama hu kufanyika. Yapo nayojua na wewe pia yapo unayojua hivyo tunabadilishana ideas
Hata kiimani waislam waliwatetea wayahudi toka Makkah na Madina hata dola iliyowaokoa wayahudi wasiuliwe na wababeli ilikua dola ya waajemi.Mkuu umeeleza lengo la Israel, Ila lengo la Iran unasema halipo mahsusi? Iran hana lengo la kuifuta Israel?
Uchokozi wa Israel ndio unafanya Iran iunde uhasama? Huu uhasama mbona upo hata kiimani zaidi? Israel ni adui wa muislam, hivi ndivyo maandiko ya uislam yalivyo.
Iran na Israel zote raia wanaenda, lakini with high level of screening. Usijiongopee kuwa muisrael kupata visa Iran ni rahisi, hivyo hivyo pia kwa Israel
WaIran waliopo Israel ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran.
Disclaimer: ninajadili haya nikiwa najua hamruhusiwi kuisifia au kuiandika Israel vizuri kwa lolote.
Lakini haizuii mjadala Kama hu kufanyika. Yapo nayojua na wewe pia yapo unayojua hivyo tunabadilishana ideas
Mkuu unapinga uongo ikiwa unaandika uongo wazi? Iran ni nchi ya pili kuwa na wayahudi wengu baada ya Israel, unasema wapo laki 8??Mkuu USIPENDE KUONGOPA HUFAI KUONGOPA.
Iran ni nchi ya pili baada ya Israel kuwa na wayahudi wengi.
Sensa inasema Iran kuna raia wa kiyahudi wapatao LAKI NANE.
Je Israel wanafika raia laki nane asili ya Iran!?
Israel haruhusu raia asili ya Iran kuingia kiwepesi kwake.
Iran aliwahi kuwa rafiki na Israel miaka ya nyuma. Katika miaka yote Iran hakuwahi kufikiria kuunda uhasama na Israel. Aliyeanza uhasama alikua Netanyahu miaka ya 1990s akiiundia espionage Iran. Na pale alipoanza kuua wanazuoni wake ndipo uhasama ukazidi zaidi.
Mkuu usipende kuongopa.
Eti "Israel kuna wairan wengi kuliko waisrael walio Iran"!? Be serious. bro.
Mkuu hili niwaulize nyie wenyewe ilikiaje Quran ikawaita wayahudi ni maadui zenu?Hata kiimani waislam waliwatetea wayahudi toka Makkah na Madina hata dola iliyowaokoa wayahudi wasiuliwe na wababeli ilikua dola ya waajemi.
Hilo hata mimi sikubaliani nalo, lakini kipi kifanyike endapo kuna mtawala anaua sana raia wasio na hatia?Tukiacha ushabiki wa kijinga Iran anastahili pongezi sana na kadiri wanavyomwekea vikwazo anatoboa.
Nimekuja kuwa dharau sana U.S na washirika wake tangu nimeufahamu ukweli huwez kuingia nchi kama Venezuela ukamkamat rais hizo ni dharau za kijinga
Acha maneno ya vijiweni, na kwenye maskani zenu za gongo. Wapi na lini Iran ilisema itaifuta Israel?Mkuu umeeleza lengo la Israel, Ila lengo la Iran unasema halipo mahsusi? Iran hana lengo la kuifuta Israel?
Hapo kwenye mambo ya dini mtajuana wenyewe wafia dini. Ila Israel wakristo ni wachache mno ulinganisha na dini nyingine kama Uyahudi na uislam.Uchokozi wa Israel ndio unafanya Iran iunde uhasama? Huu uhasama mbona upo hata kiimani zaidi? Israel ni adui wa muislam, hivi ndivyo maandiko ya uislam yalivyo.
Yah hii nakubaliana na wewe. Ila hii imekuwa hivyo kwa sababu ya maswala ya kiusalama kwa nchi zote mbili.Iran na Israel zote raia wanaenda, lakini with high level of screening. Usijiongopee kuwa muisrael kupata visa Iran ni rahisi, hivyo hivyo pia kwa Israel
Ndiomaana nimesema wewe unaleta maneno ya kwenye vijiwe vyenu vya gongo. Ni nani aliekudanganya kuwa Israel wairani ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran?WaIran waliopo Israel ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran.
Muda mungine unapotaka kuandika mambo usiyoyajua ni vizuri ukaja chemba kutuuliza wakongwe na wafuatiliaji wazuri wa mambo husika tukwambie kila kitu, kisha ndo uje uandike, badala ya kukimbilia kuandika usiyoyajua matokeo yake unabaki uchi unaumbuka mzima mzima mbele ya wasomaji wengine.Disclaimer: ninajadili haya nikiwa najua hamruhusiwi kuisifia au kuiandika Israel vizuri kwa lolote.
Lakini haizuii mjadala Kama hu kufanyika. Yapo nayojua na wewe pia yapo unayojua hivyo tunabadilishana ideas
Nilikuwa sijajua kama ulikuwa ushamjibu huyu jamaa, hivyo nikajikuta nimemjibu hapo chini.Mkuu USIPENDE KUONGOPA HUFAI KUONGOPA.
Iran ni nchi ya pili baada ya Israel kuwa na wayahudi wengi.
Sensa inasema Iran kuna raia wa kiyahudi wapatao LAKI NANE.
Je Israel wanafika raia laki nane asili ya Iran!?
Israel haruhusu raia asili ya Iran kuingia kiwepesi kwake.
Iran aliwahi kuwa rafiki na Israel miaka ya nyuma. Katika miaka yote Iran hakuwahi kufikiria kuunda uhasama na Israel. Aliyeanza uhasama alikua Netanyahu miaka ya 1990s akiiundia espionage Iran. Na pale alipoanza kuua wanazuoni wake ndipo uhasama ukazidi zaidi.
Mkuu usipende kuongopa.
Eti "Israel kuna wairan wengi kuliko waisrael walio Iran"!? Be serious. bro.
Mkuu umekuja kujibu kwa jazba sana alafu umejibu vitu usvyofahamu.nitakujibu kwa usahihiAcha maneno ya vijiweni, na kwenye maskani zenu za gongo. Wapi na lini Iran ilisema itaifuta Israel?
Unaweza kutuwekea ushahidi wa maneno au maandishi ya kiongozi yoyote wa Iran akitamka hayo maneno?
Mimi nina uhakika ushahidi hauna. Wewe ni wale ambao kuchukua maneno ya vijiweni, haswa ya uongo na kuyaleta huku JF mkifikiri kuwa kila alie humu anaweza kulishwa matango pori kama mnavyolishwa nyinyi na watu wenye ajenda zao za hovyo.
Hapo kwenye mambo ya dini mtajuana wenyewe wafia dini. Ila Israel wakristo ni wachache mno ulinganisha na dini nyingine kama Uyahudi na uislam.
Lakini pia mwaka jana Ayatollah Khomeini aliungana na wakristo wa Iran kusherehekea sikukuu ya Christmas. Ila sidhani kama Netanyahu anaweza kupoteza muda wake kuungana na wakristo kusherehekea Christmas.
Yah hii nakubaliana na wewe. Ila hii imekuwa hivyo kwa sababu ya maswala ya kiusalama kwa nchi zote mbili.
Ndiomaana nimesema wewe unaleta maneno ya kwenye vijiwe vyenu vya gongo. Ni nani aliekudanganya kuwa Israel wairani ni wengi kuliko wayahudi waliopo Iran?
Unaweza kuweka ushahidi au ndio unajaribu kutulisha vile ulivyolishwa wewe yani matango pori ya miba?
Kwa taarifa yako Iran ni nchi ya tatu kwa kuwa na wayahudi wengi hapa duniani baada ya Israel, Marekani kisha Iran. Tena ni wazawa na wana haki sawa na raia wengine wa Iran. Ukimgusa myahudi wa Iran hapo umemgusa Ayatollah. Atakushambulia mpaka uombee poo kama Netanyahu.
Nakuwekea ushahidi huo hapo pichani. Sio wewe unaleta habari za kahawani ambazo hazina ushahidi wowote.
Muda mungine unapotaka kuandika mambo usiyoyajua ni vizuri ukaja chemba kutuuliza wakongwe na wafuatiliaji wazuri wa mambo husika tukwambie kila kitu, kisha ndo uje uandike, badala ya kukimbilia kuandika usiyoyajua matokeo yake unabaki uchi unaumbuka mzima mzima mbele ya wasomaji wengine.View attachment 3537697View attachment 3537698
Umejibu vitu usivyivijua. Naamini umeyaelewa majibu yangu kama bado basi tunaweza kuendeleaNilikuwa sijajua kama ulikuwa ushamjibu huyu jamaa, hivyo nikajikuta nimemjibu hapo chini.
Shukran mkuu kwa ufafanuzi wako.
Jibu hoja kama umeishiwa semaUpuuzi mtupu. Haya kakojoe ulale.
Israel's GDP, estimated at over $600 billion in 2025, is heavily driven by its advanced technology sector, which contributes roughly 20% to the total GDP and 56% of exports. The economy is sustained by high private consumption (50.8% of GDP), significant investment (24.6% of GDP), and a high-tech-focused service sector, with 2026 growth forecasted around 4.9%.Uchumi wa Israel ni kupewa kila kitu na wazungu (Marekani)
Yani haina tofauti na nchi zetu za shithole zinazotegemea kila kitu kutoka nje.
Israel ni nchi ambayo inashindwa kukusanya hata bajeti yake ya ulinzi. Halaf wewe unaandika upuuzi hapa.
Angalia wamaoisaidia Israel ambayo unaifananisha na Iran inayojitegemea yenyewe kijeshi na kiuchumi.
Israel nchi ya hovyo inayoishi kwa misaada kama shithole country like Malawi au Burundi tu.
View attachment 3537140
Sasa wewe nimekuambia niletee Hilo kombora alilorusha Japan badala uje na ushahidi unakuja na mipasho? unafikiri hapa tuko buza ..nioneshe Hilo kombora la Japan acha maneno mengi au upo unafanyiwa kitchen party?Wacha ubishi dogo!!
Japan ilishaunda maroketi na makombora ya masafa mafupi kabla hata ya vita ya pili ya dunia.
Google mnazo mbona hamzitumii!?
Na kama haujui miongoni mwa mataifa ambayo yaliendelea kiteknolojia ya kale ya silaha na masuala mbali mbali ni Japan.
Hata sasa Japanese-Americans ndio wanainufaisha sana USA kiteknolojia.
Endelea kukaza fuvu.
BRO ubishi wako wa kijinga utanifanya niache kujadiliana na wewe.
IRAN HAIPELEKI WATU WAKE KUSOMA URUSI. Iran ina uhusiano wa kiteknolojia na kielimu na China. Tena huitwa maprofesa wa China kuongeza ujuzi pale pale Iran.
IRAN KWA URUSI IMEJIFUNZA NUCLEAR SCIENCE PEKE YAKE.
Iran ilianza missile and drone production tangu 1990 bila usaidizi wa URUSI.
Hivi unajua kama teknolojia ya HYPERSONIC MISSILE Iran ndio aliyoi advance??
Ndio maana Korea Kaskazini aliwaita wanasayansi wa Iran wawasaidie kuunda hypersonic missile. Kwanini hakuwaita wanasayansi wa URUSI!??
Suicide drone Urusi amejifunza kwa Iran. Shahed drone zina teknolojia anbayo Mrusi hakuwahi kuwaza kama kile kitu kinaweza kufanywa na Iran.
Iran inaunda Air defense system yake ya kwanza Khordak-5 pasi na usaidizi wa Urusi. Urusi wanapeleka s300 inaenda kuwa out-smarted na khordak-5 kiufanisi.
Wachaga ubishi bro.Nenda kasome evolution ya missile technology ya Iran.
Hadi sasa Iran inaunda missile ya mach-17 niambie Urusi ameshaunda hilo kombora la mach-17 hadi sasa!?
Israel ina fictious economy kama uchumi wa hisa.
Israel inapokea $4 billions annually for millitary budget na more than $30 billions for other government budget.
Nenda GOOGLE andika "USA financial aids to Israel". Isipokuletea nakuwa mkristo leo leo.
Wacha ubishi wa kipumbavu.
Kama unajisifu una air defence isiyopigwa Sasa unazificha za nini?Kwahiyo wewe ulitaka ziwe peupe mtaani 😁😁
Iran anasapoti vikundi vya kigaidi vya hamas na Hezbollah ambavo mashehe wake wametangaza hadharani kwamba wanataka kuiangamiza Israel (kama unabisha sema niwekee ushahidi mi Sina porojo kama wewe naongea kwa data) Iran pia viongozi wake mfano Mahmud Ahmed nejad alishasema hadharani hivo hivo. Sasa ukiangalia hapa mchokozi ni nani?Lengo la Israel ni kuangusha utawala wenye nguvu wa Iran ili Israel ibaki nchi pekee yenye nguvu ukanda wa mashariki ya kati.
Iran haijawahi kuwa na lengo mahususi kwa Israel,bali uchokozi wa Israel unailazimisha Iran iunde uhasama kwa Israel.
Ukitaka kuhakikisha hilo Iran inamruhusu myahudi hata alotoka leo Israel apate uraia Iran. Ila Israel ni MARUFUKU kumpa hata visa mtu asili ya Iran.
Uhasama wa Iran na waarabu wote kwa Israel ni dini acha kupotosha, waarabu wote na waislamu wa hapo mashariki ya kati hawataki uyahudi uwatawale..Mkuu USIPENDE KUONGOPA HUFAI KUONGOPA.