Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Raisi Donald Trump wa Marekani hashikiki kwa hasira na kiwewe anatoa majibu yasiyo na mpangilio maalum wala hadhi za ikulu ya White House.
Kisa cha hali hiyo ni kutokana na Iran kuwa na huru wa kupiga maeneo anayotaka bila kizuizi.Maeneo muhimu yaliyopigwa na Israel kukubali kipigo ni pamoja na maeneo nyeti ya kijeshi na hospitali kubwa nchini humo ambayo imebomoka vibaya.
Mawaziri ndani ya Israel nao wamekkuwa wakitoa matamko ambayo yako juu ya vyeo vyao.Kwa mfano waziri wa afya baada ya kupigwa kwa hospitali ya Soroka iliyo kusini mwa nchi amesema sasa Iran imevuka mstari mwekundu kwa kuilenga hospitali hiyo.
Wananchi wa Marekani na viongozi kadhaa wanamsihi raisi Trump awache Israel ipigane na kujitetea yenyewe huku viongozi wa China na Urusi nao wakimuonya kutofanya hivyo wakijua kuwa Iran inaweza ikavipiga kweli vituo vyake vilivyoenea mashariki ya kati na hivyo kufanya vita viingie kila sehemu.