Iran sasa yajipigia tu maeneo ndani ya Israel.Trump hashikiki anataka kuingilia

Iran sasa yajipigia tu maeneo ndani ya Israel.Trump hashikiki anataka kuingilia

Israel alizania kupigana na Iran ni sawa kupigana na wanamgambo wa Hamas

Trump Kwa Sasa anamachaguo mawili na yeye aingize nchi yake katika vita au atulie kimya akiangalia Israel ikigeuzwa majivu
 

Attachments

  • Screenshot_20250620-084823.jpg
    Screenshot_20250620-084823.jpg
    433.4 KB · Views: 17
  • Screenshot_20250620-084846.jpg
    Screenshot_20250620-084846.jpg
    608.3 KB · Views: 25
  • Screenshot_20250620-084816.jpg
    Screenshot_20250620-084816.jpg
    480.8 KB · Views: 14
  • Screenshot_20250620-084836.jpg
    Screenshot_20250620-084836.jpg
    545.1 KB · Views: 13
  • Screenshot_20250619-211457.jpg
    Screenshot_20250619-211457.jpg
    677 KB · Views: 18
Haya mambo wala sio ya kuchagua upande wa kushabikia maana yakipamba moto athari itakuja mpaka kwetu wenye uchumi mkubwa kuliko marekani.
 
Back
Top Bottom