Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

Nimeona USA wame post pone kutuma escort ya jeshi kwaajili ya kusindikiza hizo meli za mafuta I think wameona mkong'oto the way ulivyo heavy
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-04-08-16-14-068.jpg
    94.1 KB · Views: 15

Huyu ndugu yako alikufa kikatili sana.
Kwa nini hukutoa hata salamu za pole?
Na kwa nini Allah ameshindwa kumsaidia asife?
 
Daah tena wana lalamika hiyo genocide ni Kwa Israel means wanaona the way waisrael wanavyo kufa kinyama

Hao jamaa itakuwa walikuwa na plan za kupiga Hela kwenye silaha na mafuta ya Iran so wame mkuta muajemi yupo kamili gado so kina walamba now
kwa nini allah ameshindwa kumkinda gaidi ayatollah asife?
 
Watu hufa
Saivi imekuwa watu hufa tena?
wakali alisema ataifuta israel kwenye ramani ya dunia kwa usaidizi wa Allah.
cha kushangaza haohao israel ndio wamemfuta yeye kwenye ramani ya dunia
hivyo tusema Allah ni muongo au vipi?
 
Kwa Akili zako unadhani kwamba Kila mtu ni mpuuzi wa ufuasi wa dini kama ulivyo !?

Mimi na masuala hayo ya Imani Imani wapi na wapi ??
Mpuuzi ni wewe mjinga ambao unaleta matusi badala ya kujibu,kama huna akili nitolee ujinga uliokujaa kwenye kichwa chako kama pumbu.
 
Acha ushabiki maandazi, Jeshi la Iran lishakatwa miguu na mikono.

Kilichobakia kwa maaskari wao ni kuvaa Hijabu na kujilipua sehemu ya mikusanyiko.
1. Jeshi la Majini - kwisha, jamaa wamebaki na vi speed boats.
2. Jeshi la Anga - kwisha ndege za ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ na Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ zinatamba anga lao usiku na mchana.
3. Maghala ya Silaha - 60% kwisha
4. Launchers za makombola - Kwisha
5. Launchers za drones-kwisha Kamikaze zipo mochwaree
6. Mawasiliano from command center - kwishaa

Sasa ni taahira pekee tu ndiyo anafikiri US inaweza kupigwa na Iran.

Mafuta yatapita hata kama haitakuwa na kiasi kama zamani ila yatapita.
By the way washamzika mzee wao. Poleni kwa msiba mzito - waliosema vita haina macho hawakukosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ