Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

Hiyo sheria ulisoma wapi Mkuu?
Hiyo Sheria inayosisitiza inasemaje, iandike hapa?
 
Amepata inachokitaka kwa US sasa kwenye hizo nchi za middle east hana nguvu baada ya kambi zake zite kulipuliwa, sasa hivi nguvu zote ni kwenye ardhi ya Myahudi na US na nyuma yake Urusi ndio anatoa Intel ,Iran hajipigii.US washaanza kulalamika kwanini Russia anampa Iran Location ya zilipo kambi zake, wanajeshi wake na resources nyingine za kijeshi.

Hii ngoma mbichi,kila target anayo lenga Iran basi tayari anataarifa juu ya hiyo location.
 
S
Sasa Ritz ndani yumba Walokole matumbo joto!!
 
ustaadh Ritz
Kajifungia kwenye handaki nn kimya sanaa
 
LEO NITAIPIGA IRAN HAIJAWAHI KUTOKEA

"Iran, ambayo inapigwa kuelekea KUZIMU, imeomba radhi na kusalimu amri kwa majirani zake wa Mashariki ya Kati, na imeahidi kuwa haitawapiga risasi tena.

Ahadi hii imetolewa tu kwa sababu ya mashambulizi yasiyokoma ya Marekani na Israeli. Walikuwa wanatafuta kutawala na kuongoza Mashariki ya Kati. Ni mara ya kwanza kwa Iran kupoteza, katika maelfu ya miaka, mbele ya nchi zinazoizunguka za Mashariki ya Kati.

Wamesema, "Asante Rais Trump." Mimi nimesema, "Karibuni!" Iran siyo tena "Mnyanyasaji wa Mashariki ya Kati," badala yake wao ni, "WASHINDIWA WA MASHARIKI YA KATI," na watakuwa hivyo kwa miongo mingi mpaka wasalimu amri au, uwezekano mkubwa zaidi, wasambaratike kabisa! Leo Iran itapigwa kwa nguvu sana! Chini ya uzingatiaji mkubwa wa uharibifu kamili na kifo cha uhakika, kwa sababu ya tabia mbaya ya Iran, ni maeneo na makundi ya watu ambayo hayakuwa yakizingatiwa kulengwa mpaka wakati huu. Asanteni kwa usikivu wenu katika jambo hili! Rais DONALD J. TRUMP."

Ameandika kupitia mtandao wake wa truth social media
 
RITZ

WAHUNI KWENGE MAHANDAKI.KAZI INAANZA LEO RASMI
 

View: https://x.com/africandemoc/status/2030248928487096601?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
NJIA YA IRAN KUPINA N HII

BEFORE YOU SLEEP TONIGHT PUT YOUR NAME IN SALT WATER AND SEE NEGATIVE SPIRIT LEAVE YOUR LIFE

If you always have set backs in your life
If you have enemies gather against your name
If you do this salt water they will not succeed and their plan will fail
Your name is tied to your destiny
Break whatsoever that is holding you down
Every yoke ,every setbacks,bloodline curse,generational curse that is holding you down
Break every disappointment
Do this cleansing spiritual and physical
Get sea salt
A plain paper and you write your full name
Get a glass of clean water
Now put the paper in the glass and add salt
Make a wish with the salt water
Say this
With this salt l connect to the universe
I connect this salt water to divine favor
From today my name will start to attract favor
My name will attract good things
Any negative energy that is attached to my name as l put my name in salt water l erase it in spiritual and physical
Pray thoroughly
After the prayer put the water next to your bed for overnight
Tomorrow morning take the water and add it to your bathing water and bath
Take the paper dry it and burn it then blow ashes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…