STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,586
Mambo yanaendelea kama kawaida[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] muayatollah wa tandahimba tulia sindano ipenye...maabara yao imegeuka majivu
Hatari Sana pengine ata watetezi wao ni wadhirika wa hayo mamboc wanaunga mkono hizo mambo.....
Wayahudi wanaanza kuvaa pedo sasaivi, ninavyomjua Muajemi hatanii[emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] muayatollah wa tandahimba tulia sindano ipenye...maabara yao imegeuka majivu
Syber ndo nini wewe mwarabu [emoji117]cyberSyber Attack na hakuna damage yyte iliotokea, mradi unaendelea kama kawaida, alaf mtoa mada kaa utulie kwanza thn utafsiri vizuri hio habari sio maneno ya shombo
Spelling mistake dude sorry [emoji120]Syber ndo nini wewe mwarabu [emoji117]cyber
Mwezi jana Iran ilishambulia mifumo ya maji ya Israel, walitaka kuongeza kiwango cha chlorine kwenye maji. Hii ilikuwa ni jibu la shambulizi la network katika bandari ya Iran lililosababisha foleni kiasi. Shambulizi la chlorine lilikaribia kufanikiwa lakini halikumaliziwa, haijulikani kwanini hawakumalizia ingawa si kawaida ya nchi hizi kushambuliana civilian infrastructures. Israel sasa hivi wanafuga samaki kwenye mifumo yao ya maji kumonitor level za chlorine.
Kinachofatia hapa ni shambulizi la kulipiza kisasi. Iran wakisema kitu hawarudi nyuma hata mkeshe mkifanya nini, mkizuia hiki wanaenda kwa kile. Huu utaratibu ni mzuri sana maana adui anaogopa kushambulia.
View attachment 1498175
Mashambulizi ya kimtandao ni jambo la kawaida Bob usihangaikeSasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
Aliogopa kudhuru watu wasio kuwa na hatia alafu kumbuka ambao wangedhurika sio mayaudi peke yao kumbuka hata waparestina wanatumia maji hayo hayo nadhani hilo ndio lilimfanya asite kufanya hivyo.Sasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
Aliogopa kudhuru watu wasio kuwa na hatia alafu kumbuka ambao wangedhurika sio mayaudi peke yao kumbuka hata waparestina wanatumia maji hayo hayo nadhani hilo ndio lilimfanya asite kufanya hivyo.
Ila iwapo angefanya hivyo ungekuwa ni unyama wa kutisha na wenda unge zusha vita.
ss mbna unapovukwa tuache Mashia na Ushia wetu ewe MYAHUDI wa LUSAKA[emoji12][emoji14][emoji12]Niteseke nimekuwa lishia mie! [emoji57][emoji57]
washa anza kubweka bweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]In response to the cyber & sabotage attacks of #Israel Defense Force & #MOSSAD, #IRGC Cyber Defense Command is now preparing for retaliatory attacks at #Israel's military & strategic sites including Nuclear ones. This is why the #IDF has been on high alert since 48 hours ago! https://t.co/ym8eF9mXSKWayahudi wanaanza kuvaa pedo sasaivi, ninavyomjua Muajemi hatanii
majibu makali kutokea wapi ?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
Bakini na ushia wenu ndiyo, na mkome kujiita waislam make mnauchafua uislam na maugaidi yenu [emoji2][emoji2][emoji2]ss mbna unapovukwa tuache Mashia na Ushia wetu ewe MYAHUDI wa LUSAKA[emoji12][emoji14][emoji12]
Kwani mashia tunawatesa WAYAHUDI mbna mnatuchukia [emoji23][emoji23][emoji23]Bakini na ushia wenu ndiyo, na mkome kujiita waislam make mnauchafua uislam na maugaidi wenu [emoji2][emoji2][emoji2]
washa anza kubweka bweka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Navikwazo vyenyewe butu sasa [emoji23] maana toka mwaka 79 mpaka sasa vinaekwa tu ila wajamaa wala hawana habari [emoji4][emoji4][emoji4]Hicho kishambulio cha mitandao ni kidogo sana wala hakijaleta madhara, subir Iran akijibu utaskia vyombo vyote vya habari na vikwazo juu
Navikwazo vyenyewe butu sasa [emoji23] maana toka mwana 79 mpaka sasa vinaekwa tu ila wajamaa wala hawana habari [emoji4][emoji4][emoji4]