Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
wawe wapole tu hivi punde wataijua wasiwe naharaka yakujua mamboUkiona hivyo ujue wanahangaika sana na Iran, yaani hawana raha, Juzi Iran alisema kuwa kuna surprise itavumbuliwa mda so mrefu ndio walihangaika hivyo, vichwani mwao wanajiuliza ni surprise gani? [emoji23]
In response to the cyber & sabotage attacks of #Israel Defense Force & #MOSSAD, #IRGC Cyber Defense Command is now preparing for retaliatory attacks at #Israel's military & strategic sites including Nuclear ones. This is why the #IDF has been on high alert since 48 hours ago! https://t.co/ym8eF9mXSKWayahudi wanaanza kuvaa pedo sasaivi, ninavyomjua Muajemi hatanii
Aliogopa kudhuru watu wasio kuwa na hatia alafu kumbuka ambao wangedhurika sio mayaudi peke yao kumbuka hata waparestina wanatumia maji hayo hayo nadhani hilo ndio lilimfanya asite kufanya hivyo.
Ila iwapo angefanya hivyo ungekuwa ni unyama wa kutisha na wenda unge zusha vita.
Mashia ni maadui wa uislamKwani mashia tunawatesa WAYAHUDI mbna mnatuchukia [emoji23][emoji23][emoji23]
Haha! Kumbe hata huku upo?...Wanakuja na maandazi?
Unajua kuna shadow war going on kati ya iran na israel?mbinu zinazotumika na kushambuliana kwa njia za kimya kimya ili kumaintain denialbility,mfano hapo nyuma hack wa iran wanahisiwa kushambulia mfumo wa maji wa israel mwezi may,,na inasemwa sasa israel wamejibu kwa kushambulia power facilities za iran,,haijawa confirmed,Hivi mbona waajemi wa kwa mtongole mnapindisha uzi ujadili Marekani ilhali issue hapa ni Iran....hehehe
Sasa mbona unateseka? Mimi nimesema kilichotokea wewe unakuja na lugha chafu, kwa maneno haya unaonekana una stress.Sasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
Wee jamaa Kenya huko mnaisha kwa corona kakini we uko bize na mambo ya Iran ambayo hata hayakuhusu .Sasa mbona walirudi nyuma kwenye hilo la chroline, kama kweli walikua na mapumbu wangetekeleza, kutia sumu kwenye maji yanayonywewa na watu wengi ni uhujumu wa kutangaza vita vikali, wangepata majibu ya ajabu.
Vita kamili inawezekana vipi?,,hizi nchi hazipakani,wataendelea hivyo hivyo kuviziana,hit and run ,kutumia watu wengine etc.I like this [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39], naomba itokee vita kamili hapo tujue mshindi nani, tushachoka maneno maneno sasa
Acha ufala na kukurupuka mm nimeandika hayo kutokana na maelezo ya niliye mjibu kwenye koment yake.Acha kutia tia huruma hapa, muajemi alikua hana uwezo wa kufanya hivyo na ndo maana wakasanukiwa mapema
Haha!...Nipo mtumishi wa Mungu mwenye majungu.
Ila ni Mastering wa US [emoji4][emoji4][emoji4]Mashia ni maadui wa uislam
Sasa mbona unateseka? Mimi nimesema kilichotokea wewe unakuja na lugha chafu, kwa maneno haya unaonekana una stress.
Na usiwapangie watu cha kufanya, mbona wakiwapa magaidi mabomu washambulie hamsemi, yani ni ajabu kuona kuna raia wabongo wanaamini Iran inaiogopa Israel.
Iran huyuhuyu aliyeteka meli ya Uingereza mchana kweupe, mbele ya kamera huku akitoa taarifa kwenye vyombo vyote vya habari ndiye aiogope Israel? Kwamba Israel inaishinda UK kijeshi?
Basi tufanye UK ni mtoto kwa Israel, vipi kuhusu kuteka meli ya jeshi la Marekani. Vipi kushambulia kambi yake ya Iraq. Mnaichukulia Iran kama Mbao FC, mna matatizo sana nyinyi hao mnaowaona wababe kila siku wanaishitaki na kuisakama mbele ya mataifa. Wewe ulishawahi kuona WCB wanamdiss Harmorapa? Ni kwa sababu Harmorapa ni negligible, lakini si unawaona wanamdiss Ali Kiba. Ni kwakuwa Ali Kiba anatoa upinzani.
Nasisitiza, Iran akisema atalipiza kisasi ni sawa na kusema jua litazama. Its inevitable hata ulete sarakasi za aina gani. Na hawajibu siku hiyohiyo, wanakuacha utumie gharama nyingi za kujihadhari kisha wanashtukiza.
Ni mbwa wa US [emoji240] [emoji240]Ila ni Mastering wa US [emoji4][emoji4][emoji4]
Ndio maana hua tunamtafuna [emoji4][emoji4][emoji3]Ni mbwa wa US [emoji240] [emoji240]
Hao WAYAHUDI wamefanyaje ?! [emoji4][emoji23][emoji14]Mnasema Iran huwa hawatanii na hawarudi nyuma, kisha mnageuza na kusema walirudi nyuma pale walipotaka kutia maji sumu, hao waajemi wenu kama mnaamini ni wababe basi wafanye kweli.
Mnatafuna kitimoto nyie mambwa wa USNdio maana hua tunamtafuna [emoji4][emoji4][emoji3]
Mnasema Iran huwa hawatanii na hawarudi nyuma, kisha mnageuza na kusema walirudi nyuma pale walipotaka kutia maji sumu, hao waajemi wenu kama mnaamini ni wababe basi wafanye kweli.
Kama unaona tunafaidi nawewe tafuna kitimaji[emoji23][emoji2][emoji12]Mnatafuna kitimoto nyie mambwa wa US
Jamaa mmoja mtaalam wa conspiracy theories kutoka igunga alisikika akisema.Sept 11 ni kujizawadia mwenyewe kama anavyofanya tumbili.