Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
51,303
Reaction score
40,190
Wanaukumbi.

Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza.

Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu.

View: https://x.com/sprinterfactory/status/1779122945136148708?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

UP DATE.
========================

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779237034562879667?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwb

USHAMBULIAJI WA IRAN KWA ISRAEL

- Zaidi ya ndege 50 zisizo na rubani za Iran zimerushwa kuelekea Israel

- Weka kuchukua saa kadhaa kabla ya kufikia anga ya Israeli

- Shughuli za ndege zisizo na rubani zaonekana juu ya Iraq

- anga ya Iran, Jordan na Israel itafungwa

- Jeshi la Israeli na ulinzi wa anga katika tahadhari ya juu

- Shambulio la kwanza la moja kwa moja la Irani kwenye eneo la Israelic
UP DATE

View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779251652496637989?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

UP DATE

View: https://x.com/suppressednws/status/1779478174637633539?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Ha ha ha ha kama vile waasi wa houth walivyo ifunga bahari nyekundu
Biden na Mawaziri wa Israel wanaropoka tu wanadhani Iran kama vile Gaza unaweza kuingia vifaru anga yote ukaitawala huku wanapiga mabomu shule, Hospital, na kuuwa watoto, Iran tofauti anawajambisha Natenyahu kafichwa kusipojulikana.
 
Kuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?

Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!

Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?

Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
 
Wewe punguani kweli halafu ufahamu vitu vingi ndiyo maana unaleta huu uharo.

Hosni MubaraK alikuwa na nini? Zaidi ya kibaraka wa Ulaya na Marekani unajua kama familia yake ni Waingereza na unajua kwa serikali yake baada ya Israel wanafuata Misri kwa misaada ya kijeshi na fedha kutoka Marekani.

Saddam, naye alikuwa mtu wao wakageukana silaha zote alikuwa anauziwa na Marekani na Ulaya, alikuwa na nini zadi ya Makombora ya Scud? Alikuwa hana hata uwezo wa kutengeneza hata makombora kama ya Hamas.

Iran, anatengeneza silaha zake mwenyewe na anauza pia ana makombora ya sumu usidhani Maraekani na Israel wanavyojambishwa hawamjui Ilan. Kwa taarifa yako Ilan anaweza kupiga mji wowote Israel na makombora.
 
Bila ya Ayatolah kung'olewa kama Saddam Magaidi yake yatatuondolea Freedom of Navigation Bahari Nyekundu ndio tunaitegemea kwa sisi wa Afrika Mashariki na Kati.
 
Wewe punguani kweli halafu ufahamu vitu vingi ndiyo maana unaleta huu uharo.

Hosni MubaraK alikuwa na nini? Zaidi ya kibaraka wa Ulaya na Marekani unajua kama familia yake ni Waingereza na unajua kwa serikali yake baada ya Israel wanafuata Misri kwa misaada ya kijeshi na fedha kutoka Marekani...
Sawa; endelea kuamini ujinga! Msije kujiliza kama kawaida yenu.
 
Bila ya Ayatolah kung'olewa kama Saddam Magaidi yake yatatuondolea Freedom of Navigation Bahari Nyekundu ndio tunaitegemea kwa sisi wa Afrika Mashariki na Kati.
Kwa amani ya dunia Ayatollah must go! Anajifanya ndiye master of the marine routes middle east nani apite na nani asipite. One of the deadly mistakes hawatamwacha salama.
 
Back
Top Bottom