dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
Ha ha ha! Kwamba ile ilikuwa trailer tu; picha lenyewe bado? Kazi ipo.Minofu ya Magaidi imezagaa huko Gaza na Vita yenyewe ndio inataka kuanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha! Kwamba ile ilikuwa trailer tu; picha lenyewe bado? Kazi ipo.Minofu ya Magaidi imezagaa huko Gaza na Vita yenyewe ndio inataka kuanza.
Amani ya dunia ipi? AmaniKwa amani ya dunia Ayatollah must go! Anajifanya ndiye master of the marine routes middle east nani apite na nani asipite. One of the deadly mistakes hawatamwacha salama.
Maandalizi ya Vita yameanza rasmi wanataka kupiga kichwa cha Nyoka ambaye ni Ayatolah.Ha ha ha! Kwamba ile ilikuwa trailer tu; picha lenyewe bado? Kazi ipo.
Let's wait and see! May be kafir Russia ata-intervene!Amani ya dunia ipi? Amani
Ya dunia Israe anauwa watoto wachanga hiyo ndiyo amani ya dunia?
#BREAKING Iran closes airspace over Tehran FIR.
Ndege yoyote itakayokatiza anatungua.
Mnaanza kulia lia eti amani ya dunia mabwana zenu si taifa la mungu mnaogopa nini sasa.
Let's wait and see! May be kafir Russia ata-intervene!
Hakuna kitu kinachotokea hapo Iran hawezi jaribu lolote
Ayatolah akipelekewa moto vizuri atasahau hata kilemba.
Wanaukumbi.
Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza.
Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu.
View: https://x.com/sprinterfactory/status/1779122945136148708?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE.
========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779237034562879667?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwb
USHAMBULIAJI WA IRAN KWA ISRAEL
- Zaidi ya ndege 50 zisizo na rubani za Iran zimerushwa kuelekea Israel
- Weka kuchukua saa kadhaa kabla ya kufikia anga ya Israeli
- Shughuli za ndege zisizo na rubani zaonekana juu ya Iraq
- anga ya Iran, Jordan na Israel itafungwa
- Jeshi la Israeli na ulinzi wa anga katika tahadhari ya juu
- Shambulio la kwanza la moja kwa moja la Irani kwenye eneo la Israeli
Kumaliza iran ni sawa na kumaliza vatican ukifanikiwa kuvunja imani ya ukatoliki vatican kama state unaivunja na ukifanikiwa kuuvunja uislam wa ushia ya iraq na iran ayatollah na regime nayo utaivunja, kama wanajiandaa wajiandae sana maana kama ni kuipiga Saddam alichapwa akiwa mpweke ,na gaddafi akiqa mpwekeKuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?
Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!
Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?
Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
Unajichekesha mabwana zenu wamejificha kwenye mashimo huko.Ha ha ha! Kwamba ile ilikuwa trailer tu; picha lenyewe bado? Kazi ipo.