Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Kwa amani ya dunia Ayatollah must go! Anajifanya ndiye master of the marine routes middle east nani apite na nani asipite. One of the deadly mistakes hawatamwacha salama.
Amani ya dunia ipi? Amani
Ya dunia Israe anauwa watoto wachanga hiyo ndiyo amani ya dunia?

#BREAKING Iran closes airspace over Tehran FIR.

Ndege yoyote itakayokatiza anatungua.

Mnaanza kulia lia eti amani ya dunia mabwana zenu si taifa la mungu mnaogopa nini sasa.
 
Let's wait and see! May be kafir Russia ata-intervene!
 
Una bahati mbaya, uko upande dhaifu. Ni kama Kushabikia Madrid vs Lipuli.
 
Kumaliza iran ni sawa na kumaliza vatican ukifanikiwa kuvunja imani ya ukatoliki vatican kama state unaivunja na ukifanikiwa kuuvunja uislam wa ushia ya iraq na iran ayatollah na regime nayo utaivunja, kama wanajiandaa wajiandae sana maana kama ni kuipiga Saddam alichapwa akiwa mpweke ,na gaddafi akiqa mpweke
Hapo syria walitaka kumchapa Assad walidhani mpweke muiran kaweke mkono hadi Assad wa Syria bado yupo kama Assad tu wamemshindwa watamuweza muweza muiran how do ypu fight nearly 2million active in total from iran ,afghanistan lebanon ,syria ,iraq ,yemen na palestine and you win iran akianzishiwa vita hizo axis zote zinaingia mzigoni .
 
Ha ha ha! Kwamba ile ilikuwa trailer tu; picha lenyewe bado? Kazi ipo.
Unajichekesha mabwana zenu wamejificha kwenye mashimo huko.
🇮🇱Wakati Israeli yote iko katika hofu, maandamano makubwa ya kumpinga Netanyahu yanafanyika Tel Aviv.

Waandamanaji wa Israel hawako tayari kuhama karibu na Wizara ya Vita

Mzozo katika Mtaa wa Anza wa Tel Aviv karibu na Wizara ya Vita unaendelea na waandamanaji hawako tayari kuondoka barabarani.
 
Buriani Iran

God Bless Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…