African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Huu upuuzi unaoendelea pale Mashariki ya Kati, hakuna hata mmoja ambaye anafanya sahihi.Hakuna kitu kinachotokea hapo Iran hawezi jaribu lolote
Kwani Israel alipolipua ubalozi wa Iran na kuua watu, ulitaka apewe pipi ya kijiti ale au apongezwe? Kwanini mnakuwa kama makahaba, misbehaviour lazima iwe punished as a deterent isijirudie!Mnaanzaga vizur kwa furaha baadae mnaanza kusema wanaua watoto dunia iingilie kutetea
Wanaukumbi.
Mambo yanazidi kuwa mazito Israel walikuwa wanadhani Iran ni kama Gaza.
Vyombo vya Habari vya Israeli: Kwa hatua hii, Wairani walituma ujumbe wazi kwa Amerika. Ukiingilia kati kwa niaba ya Israeli, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu.
View: https://x.com/sprinterfactory/status/1779122945136148708?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
UP DATE.
========================
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779237034562879667?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvwb
USHAMBULIAJI WA IRAN KWA ISRAEL
- Zaidi ya ndege 50 zisizo na rubani za Iran zimerushwa kuelekea Israel
- Weka kuchukua saa kadhaa kabla ya kufikia anga ya Israeli
- Shughuli za ndege zisizo na rubani zaonekana juu ya Iraq
- anga ya Iran, Jordan na Israel itafungwa
- Jeshi la Israeli na ulinzi wa anga katika tahadhari ya juu
- Shambulio la kwanza la moja kwa moja la Irani kwenye eneo la Israelic
UP DATE
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779251652496637989?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
sraeli yafunga shule kote nchini, yaweka jeshi katika hali ya tahadhari huku kukiwa na tishio la Iran.
Marekani ashazitungua nyingine
Naiona Waisrael weusi mnajifariji🤣🤣Marekani ashazitungua nyingine
Usiwe punguani Iran yupo level zingine kabisa ogopa nchi ambayo inatengeneza silaha zake mwenyewe mapunguani wengi wanafananisha Iran na Iraq, Iran yupo level za Urusi. korea Kaskazini.🤣Bila ya Ayatolah kung'olewa kama Saddam Magaidi yake yatatuondolea Freedom of Navigation Bahari Nyekundu ndio tunaitegemea kwa sisi wa Afrika Mashariki na Kati.
⚡️Shambulio la Iran lilikuwa kubwa na la mafanikio. Lengo lao lilikuwa airbase iliyopiga ubalozi huo. Ilihitaji makombora 300+ kwa sababu Israeli ina anga iliyolindwa zaidi ulimwenguni :Hakuna GPS zinaenda kuangukia Gaza kwenye Nyumba ya Yahya Sinwar.