Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

History ain't favour anyone

Who knows,may be the new history is gonna be written

Endelea kuwaza kushabiki hivohivo,watu wataendelea kupambana hata uue nani sababu America hatoshinda siku zote ipo siku ya kupoteza/kushindwa kwake
 
Huyo Iran atapigwa mpaka achakae subirini muone.
Ameyakanyaga mwenyewe.
 
Hao wote uliowataja hakuna aliyeweza kutengeneza silaha za nuclear. Iran siyo mwarabu ni muajemi ana kili myahudi akasome.1🤣
 
Shida unakariri mzee.
Hiyo Iraq alioifanya iogopeke ni USA.
Kuanzia bastola mpaka risasi zilikua za USA made.
Wakati huo huo wa utawala wa Iraq Iran ilikuwepo na ilikua mfupa mgumu ambao Iraq yenyewe iliushindwa.
Iran inaunda silaha zake yenyewe na kujitegemea yenyewe na ina mshikamano.
Usiifananishe Iran na Iraq au Libya.
 
Kwa amani ya dunia Ayatollah must go! Anajifanya ndiye master of the marine routes middle east nani apite na nani asipite. One of the deadly mistakes hawatamwacha salama.
Kwa amani ya dunia Israel iache ubabe wa kifala na USA asiingilie sivereignty ya mataifa mengine.
 
Huyo Iran atapigwa mpaka achakae subirini muone.
Ameyakanyaga mwenyewe.
Alisikika Muisael mweusi kule Maji Matitu akaongea kwa sauti hayo maneno.🤣

Soma hii…..
🇮🇷 Kamanda Mkuu wa IRGC, Jenerali Hossein Salami:

Tumeamua kuunda mlingano mpya. Iwapo utawala wa Kizayuni utashambulia maslahi, mali, watu na raia wetu, tutapambana na ardhi ya Iran. Operesheni ‘Ahadi Iliyotimizwa’ ilikuwa mfano mzuri wa hilo.

Kushinda mifumo ya ulinzi ya Kizayuni na Kiamerika katika eneo na kufikia malengo maalum haikuwa rahisi, hata hivyo mipango ya nje ilikuwa ya ubunifu na tuliweza kupenya safu za mifumo yao ya ulinzi na ile ya washirika wao.

Operesheni zetu zilikuwa chache na ilikuwa jibu tu kwa shambulio la ubalozi wetu huko Damascus.

Operesheni hiyo ilifanikiwa sana na ilizidi matarajio yetu.
 
BREAKING: AMERICA IMETUMIA $1.1 BILIONI KUITETEA ISRAEL USIKU WA LEO

Hii wakati Wamarekani hawana uwezo wa kulipa bili zao.
 
BREAKING: MEJA JENERALI WA IRAN HOSSEIN SALAMI TAARIFA RASMI

"Tumepitisha mlingano mpya na chombo cha Kizayuni, ambacho ni kujibu shambulio lolote kwa upande wake moja kwa moja kutoka kwa ardhi ya Irani.

Mipango yetu ilikuwa ya ubunifu na iliweza kupenya safu za mifumo ya ulinzi ya Kizayuni na washirika wake wa Marekani na Ufaransa.

Operesheni zetu zilikuwa chache na zilipunguzwa ili kujibu shambulio la shirika la Kizayuni kwenye ubalozi wetu huko Damascus.

Operesheni hiyo ilifanikiwa sana na ya juu kuliko matarajio yetu. Jumuiya ya Kizayuni lazima ijifunze somo kutokana na kile kilichotokea.”
 
Duru za Israel zimethibitisha kuwa Iran imepiga kambi ya anga ya Nevatim kusini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu na makombora 15 mapema Jumapili.

Vyanzo viliripoti kuwa kufuatia shambulizi hili, msingi huu uliharibiwa vibaya na sasa hauwezi kufanya kazi.

Kambi ya anga ya Nevatim iko kusini mwa maeneo yanayokaliwa kwa mabavu katika eneo la jangwa la Negev na karibu na mji wa Be'er Sheva ambao ndio kituo kikuu cha wapiganaji wa F-35 wa serikali.

Jeshi la Wanahewa la IRGC lilikuwa limefanya shambulio la kombora kwenye mfano wa kuigwa wa kituo hiki cha anga mwaka jana. Msingi huu uko umbali wa kilomita 1100 kutoka kwenye mipaka ya magharibi ya Iran.
 
Hakuna Taifa la Kiislam linaliweza kuitisha Marekani, hili halina mjadala. Hii sio vita ya Iran na Israel bali vita kati ya Urusi na Markani ktk ardhi ya Iran.
 
Ujumbe umeeleweka kabisa..
 
Huwa inachanganya sana,

Kwanini ambao wapo kinyume na USA ama Israel ama taifa lolote ambalo ni washirika wa hao wanaitwa Magaidi

Na Ambao wanawafuata Israel ama USA na washirika wao si Magaidi

Hali yakuwa hao Israel ama USA na washirika wao wanatenda kinyume na haki za kibinaadamu katika mataifa ya wenzao..??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…