Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
History ain't favour anyoneKuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?
Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!
Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?
Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
Hao wote uliowataja hakuna aliyeweza kutengeneza silaha za nuclear. Iran siyo mwarabu ni muajemi ana kili myahudi akasome.1🤣Kuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?
Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!
Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?
Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
Shida unakariri mzee.Kuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?
Yaliyotokea ni historia; dikteta alidakwa mashimoni kama kuku wa mdondo na kuishia kula kitanzi akidhihakiwa na vijana wadogo!
Mnamkumbuka Muamar Gaddafi? Jitu lililoogopeka Afrika yote? Likiishia kusokomezwa vitu vigumu kwenye mitaro na wahuni?
Where is Hosni Mubarak? Who is Ayatollah? Mbona mna akili za kuku hamjifunzi ninyi?
Kwa amani ya dunia Israel iache ubabe wa kifala na USA asiingilie sivereignty ya mataifa mengine.Kwa amani ya dunia Ayatollah must go! Anajifanya ndiye master of the marine routes middle east nani apite na nani asipite. One of the deadly mistakes hawatamwacha salama.
Alisikika Muisael mweusi kule Maji Matitu akaongea kwa sauti hayo maneno.🤣Huyo Iran atapigwa mpaka achakae subirini muone.
Ameyakanyaga mwenyewe.
Sikia vilio vya mabwana zako.Anamchimba nani mikwara.. ukitaka vita uoga weka pembeni.. subiri zamu yako
Ujumbe umeeleweka kabisa..Meja Jenerali Bagheri wa Iran: Operesheni hiyo ilikamilika kwa mafanikio
Sababu ya operesheni hii ni kwamba utawala wa Kizayuni ulivuka mipaka ya Iran.
Tunaona operesheni hii kama matokeo kamili na hakuna nia ya kuendelea na operesheni.
Lakini ikiwa utawala wa Kizayuni utajibu, operesheni yetu ijayo itakuwa kubwa zaidi.
Tulituma ujumbe kwa Merika kupitia ubalozi wa Uswizi kwamba ikiwa itashirikiana na Israeli katika hatua zao zinazowezekana, vituo vyao havitakuwa na usalama wowote na tutashughulikia hilo pia.
Huwa inachanganya sana,Kuna utawala uliogofya Middle East kama Saddam regime na uzao wake katili Uday na Qusay?