Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Unataka kusemaje kuhusu waarabu? Funguka!
🇮🇷🇮🇱 Scott Ritter: Iran ilituma ujumbe mzito kwa Israel na Marekani jana usiku

"Hivi sasa, maafisa wa kijeshi wa Israeli wanaangalia uharibifu uliofanywa kwenye vituo vyao, na wanaelewa yafuatayo: kwamba Iran ilichagua kwa makusudi kutochukua hatua mbaya sana dhidi ya Israeli. Kwamba Iran ilipiga majengo yaliyopangwa kutuma ishara kwa Israeli, na kwa kweli kwa Marekani, kwamba inaweza kufanya kile ilichofanya huko Nevatim, huko Ramona, popote katika Israeli, popote katika Mashariki ya Kati, na hapakuwa na Marekani au kitu chochote. Israel inaweza kujibu."
 
Irani hawawezi kufunga Ghuba ile kwa sababu US navy fleet yote ya Indian Ocean ni zaidi ya mara tano ya jeshi lote la majini la Iran.

Ila ninachotaka ni kuwa US isimsaidie netanyahu hadi watu wake wamchukie na kumwondoa madarakani kwani ana kiburi na ndiye anayekuza mgogoro wa Middle east kwa sababu zake za kisiasa.
 
Sio bikira tena, umefeli mjukuu wa mtume.
Walokole wa JF mlikuwa mnasema Iran hana uwezo kupiga Israel, kaipiga🤣🤣

Bwana wenu Marekani kaona hawa jamaa nuksi kasema wazi hatuna nia ya kupigana vita na Iran🤣

Mlivyokuwa mapunguani mnadhani Iran kama Gaza🤣
 
Baada ya maneno haya Iran, Marekani kasema hana nia ya kupigana vita na Iran, unadhani Iran mjinga kusema hivyo?
 
Walokole wa JF mlikuwa mnasema Iran hana uwezo kupiga Israel, kaipiga🤣🤣

Bwana wenu Marekani kaona hawa jamaa nuksi kasema wazi hatuna nia ya kupigana vita na Iran🤣

Mlivyokuwa mapunguani mnadhani Iran kama Gaza🤣
Bwana wako anakusubiri akupatie bikira 72. Yani mtachakazwa hadi muanze kuandamana hapo buza
 
Baada ya maneno haya Iran, Marekani kasema hana nia ya kupigana vita na Iran, unadhani Iran mjinga kusema hivyo?
Iran haiweza kufurukuta mbele ya Marekani; tusijidanganye. Netanyahu hana uhusiano mzuri na Biden na ndiyo maana Biden haonyeshi kutaka kumsadia kwenye vita hiyo. netanyahu alivuruga sana wakati wa utawala wa Obama na trump yeye akajipachika kuwa upende wa Republicans, kwa hiyo democrats hawanam mwamko wowote naye kwa sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…