Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Mikwara yote imeidha anatafuta huruma sasa.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779372620011483549?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Subiri muda bado mtakimbia na makobasi yenu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mikwara yote imeidha anatafuta huruma sasa.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779372620011483549?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Ulivyokuwa punguani unadhani Iran ni gaza🤣Ngoja vijukuu vya mtume mpkee kichapo cha haja. Msije mkaanza kuja na vihash tag vyenu vya pray for sijui nini na nini.
Wdww mlokole halafu Muisrael Mweusi umevurungwa unaongea uharo.Subiri muda bado mtakimbia na makobasi yenu!
Ulivyokuwa punguani unadhani Iran ni gaza🤣
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779508839160627492?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Wewe Mlokole unauliza nini si ulikuwa unasema Iran hawana uwezo wa kuwashambulia mabwana zenu tulieni dawa iingie.
Wewe mlokole unaleta uharo gani🤣🤣
🇮🇷🇮🇱 Scott Ritter: Iran ilituma ujumbe mzito kwa Israel na Marekani jana usikuUnataka kusemaje kuhusu waarabu? Funguka!
Sio bikira tena, umefeli mjukuu wa mtume.Pamoja na Bikira Maria?
Ayatolah akipelekewa moto vizuri atasahau hata kilemba.
Walokole wa JF mlikuwa mnasema Iran hana uwezo kupiga Israel, kaipiga🤣🤣Sio bikira tena, umefeli mjukuu wa mtume.
Baada ya maneno haya Iran, Marekani kasema hana nia ya kupigana vita na Iran, unadhani Iran mjinga kusema hivyo?Irani hawawezi kufunga Ghuba ile kwa sababu US navy fleet yote ya Indian Ocean ni zaidi ya mara tano ya jeshi lote la majini la Iran.
Ila ninachotaka ni kuwa US isimsaidie netanyahu hadi watu wake wamchukie na kumwondoa madarakani kwani ana kiburi na ndiye anayekuza mgogoro wa Middle east kwa sababu zake za kisiasa.
Bwana wako anakusubiri akupatie bikira 72. Yani mtachakazwa hadi muanze kuandamana hapo buzaWalokole wa JF mlikuwa mnasema Iran hana uwezo kupiga Israel, kaipiga🤣🤣
Bwana wenu Marekani kaona hawa jamaa nuksi kasema wazi hatuna nia ya kupigana vita na Iran🤣
Mlivyokuwa mapunguani mnadhani Iran kama Gaza🤣
Mlokole kavurugwa 🤣🤣Mkuu, acha kuhangaika na vyanzo feki vya habari. Tuwekee minute-to-minute updates za hili zali kutoka chanzo pekee cha uhakika cha yote yanayojiri chini ya jua kutoka Allah aka Quran.
Iran haiweza kufurukuta mbele ya Marekani; tusijidanganye. Netanyahu hana uhusiano mzuri na Biden na ndiyo maana Biden haonyeshi kutaka kumsadia kwenye vita hiyo. netanyahu alivuruga sana wakati wa utawala wa Obama na trump yeye akajipachika kuwa upende wa Republicans, kwa hiyo democrats hawanam mwamko wowote naye kwa sasa hivi.Baada ya maneno haya Iran, Marekani kasema hana nia ya kupigana vita na Iran, unadhani Iran mjinga kusema hivyo?
Mlokole kavurugwa 🤣🤣
msikilize mwamba kutoka Iran.
View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/1779511604121350469?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw