Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

Hahahha leo mmebadilika tena🤣🤣

Si mlikuwa mnasema Iran hana uwezo wa kuishambulia Israel baada ya kipigo mmebadilka
 
Bwana wako anakusubiri akupatie bikira 72. Yani mtachakazwa hadi muanze kuandamana hapo buza
Hivi ndivyo unavyoota aisee!?
Kuwa makini amka utakojoa mkuu kitandani,ukiona choo usingizini usikitumie.
Toka 1980 wamemshindwa watamuweza sasa hivi!?
 
Hivi ndivyo unavyoota aisee!?
Kuwa makini amka utakojoa mkuu kitandani,ukiona choo usingizini usikitumie.
Toka 1980 wamemshindwa watamuweza sasa hivi!?
Wamevurugwa Waisrael weusi.

Israel ni mtoto aliedekezwa sana anatukana watu wazima halafu anajificha kwenye migongo wa baba zake Maarekani na Ulayab sasa safari kamchokoza kichaa Iran, kakutana na bakora ambazo hakutegemea baba zake wote wameambiwa wakiingilia nao watachezea kichapo
 
Quran imetabiri nini mkuu?
🚨🇮🇷 IRAN BOMBS:
- Military Targets

🚨🇮🇱 ISRAEL BOMBS:
  • Innocent Civilians
  • Universities
  • Aid Workers
  • Journalists
  • Places of worship
  • Hospitals
  • Businesses
  • Refugee Camps
  • Food Supply
  • Markets
  • Water Supply
  • Homes
  • Infrastructure
  • Libraries
  • Shelter Zones
 
Una bahati mbaya, uko upande dhaifu. Ni kama Kushabikia Madrid vs Lipuli.
Wasikilize watu wenye akili siyo nyie mapunguani

Tumekuwa tukionya kwa miezi kadhaa: Usaidizi wa Marekani/EU kwa Israel unahatarisha vita zaidi. Miezi 6 ya mauaji ya kimbari. Mashambulizi ya mara kwa mara kwa majirani ili kuchochea vita, incl. Ubalozi mdogo wa Iran. Kutokujali kabisa. Hakuna vizuizi. Hakuna matokeo. Ndio maana haya yanatokea. Ili kuepusha vita, acha kusaidia kuisababisha.


View: https://x.com/claredalymep/status/1779521521033056704?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Pale mishoga inapokasirika inapoona base zao zinashambuliwa,tulianza Ukraine sasa tupo kwa mishoga mingine wewe baki na historia yako
 
Hali inazidi kuwa mbaya kwa Israel na washirika wake.
 
Biden na Mawaziri wa Israel wanaropoka tu wanadhani Iran kama vile Gaza unaweza kuingia vifaru anga yote ukaitawala huku wanapiga mabomu shule, Hospital, na kuuwa watoto, Iran tofauti anawajambisha Natenyahu kafichwa kusipojulikana.
hizi nchi umezisahau I.e Iraq , Yemen , Jordan , Egypt , Libyia , Syria na Waarabu wa Palestine , wote hawa waliliwa kiboga
 
Kwanini achape balozi!?
Balozi zimemkosea nini!?
Balozi za hizo nchi ndizo zilizolipua Balozi ya Iran Syria au IDF kutokea Israel ndio imeshambulia Iran consulate!?
Upunguze kuropoka.
Ni sahihi Iran alivyoshambulia directly Israel kwasababu kombora lililolipua balozi ya Iran Syria lilitoka Israel halijatoka katika balozi za Israel mataifa mengine.
 
hizi nchi umezisahau I.e Iraq , Yemen , Jordan , Egypt , Libyia , Syria na Waarabu wa Palestine , wote hawa waliliwa kiboga
Yemeni haijawahi pigwa na Israel usitudanganye.
USA mwenyewe alishindwa kupitia Saudi Arabia kwa kuivamia Yemen.
 
 
Yani unaonesha ulivyo mweupe
 
hizi nchi umezisahau I.e Iraq , Yemen , Jordan , Egypt , Libyia , Syria na Waarabu wa Palestine , wote hawa waliliwa kiboga
Hizo propaganda kawaelezea mashoga wenzako ndiyo watakuelewa media zamani tulidanganywa sana kuhusu Israel kumbe hamna vita vya Gaza ndiyo tumekuja kujua IDF hamna kitu mashoga watupu miezi 6 wameshindwa kujua mateka walipo Gaza yenyewe Kigqmboni kubwa wamebaki kuuwa watoto na kushambulia wagonjwa hospitali, kakutana na Iran 😃
 


😄😄😀😄Utalimia meno kobasi
 
BREAKING: TAMKO RASMI LA IRAN KWA BARAZA LA USALAMA LA UN

"Ikiwa Israeli inataka kuendelea na operesheni zake mbaya, itapata majibu mara kadhaa zaidi.

Hatutasita kujitetea na kufichua sehemu ndogo ya uwezo wetu wa kuzuia.

Tulilenga maeneo ya jeshi la Israeli katika shambulio hilo na hakuna shughuli zingine kwenye ajenda yetu.

Tulichukua hatua ndogo za kuadhibu na kuepuka kulenga vifaa vya kiuchumi na miundombinu."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…