Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
Kwa hiyo Iran wanawaogopa Israel?Kwa wewe unapigana na mwenye nguvu au asiye na nguvu
Kwa wewe unapigana na mwenye nguvu au asiye na nguvu
Nmetoa tuu mfano usioegemeaa upande wotowoteKwa hiyo Iran wanawaogopa Israel?
Kabla kwanza ya kukujibu, naomba kukuuliza Mbona Iran hagusi Kambi ya Marekani Iliyopo Israel??Hizo ndege ni za aina gani?
Na zinakwenda wapi? Zinafanya mashambulizi ndani ya Iran zikitumia missiles zipi?
Naomba majibu kabla hatujaendelea na mada..
Anhaa kumbe ni tanker..Kabla kwanza ya kukujibu, naomba kukuuliza Mbona Iran hagusi Kambi ya Marekani Iliyopo Israel??
Issue ya ndege nimekuwekea hapo, stratotanker zinaruka kutoka Israel
Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani
Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel??
Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran haigusi Israel badala yake anaenda kuonea Bahrain na Kuwait?? Tulitegemea mtaigusa na Israel🤣🤣
Ritz
zitto junior
100 others
mdogoee
Echolima1
Khaibar
gTurn
Imeloa
Adiosamigo
HIMARS
6 Pack
Crimea
Mwalimu wa tuisheni
MlimaSayuni
dem boyz
Hizi hapa ndege za marekani zinaruka kutokea Israel
View attachment 3625850
Kwa hiyo zikiwa ni tanker hapo Iran hatakiwi kulipa kisasi kwa nchi zinaporuka?Anhaa kumbe ni tanker..
Je hizo zinazoshambulia zinatokea wapi.. fighter i mean.. kama F15 n.k..
Fact ipi unataka? Swali rahisi sana kwa Nini Iran hashambulii Kambi ya Marekani Iliyopo Israel?Habari zako ni za kishabiki, habari yenyewe ipo nusu nusu..
Hakuna facts, hakuna maelezo yaliyonyooka..
Bado ayatollah hajazikwa subiri kidogoWewe mlokole wa buza inakuhusu nini, wewe pambana ule milo hata miwili kwa siku ndio jukumu lako au unalala jikoni kwa shemeji yako na godoro sakafuni
Fact ipi unataka? Swali rahisi sana kwa Nini Iran hashambulii Kambi ya Marekani Iliyopo Israel?
Wanarusha tanker, sasa tanker inashambulia? Hio tanker imepita juu ya anga la Iran?Kwa hiyo zikiwa ni tanker hapo Iran hatakiwi kulipa kisasi kwa nchi zinaporuka?
Sasa unaanza kupiga threat ya Israel maelfu ya kilomita wakati kambi za US hapo UAE zipo karibu zaidi? Hii ni akili au matope?Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani
Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel??
Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran haigusi Israel badala yake anaenda kuonea Bahrain na Kuwait?? Tulitegemea mtaigusa na Israel🤣🤣
Ritz
zitto junior
100 others
mdogoee
Echolima1
Khaibar
gTurn
Imeloa
Adiosamigo
HIMARS
6 Pack
Crimea
Mwalimu wa tuisheni
MlimaSayuni
dem boyz
Hizi hapa ndege za marekani zinaruka kutokea Israel
View attachment 3625850
Kwa hiyo kumbe anashambulia kambi kulingana na ukubwa? Iran walisema yoyote atayeshirikiana na marekani basi wataishambulia, Mbona kwa Israel maelezo yanakua mengi mengi sana?🤣Wanarusha tanker, sasa tanker inashambulia? Hio tanker imepita juu ya anga la Iran?
Kingine hio kambi ya US iliyopo Israel ni kubwa kama kambi za gulf zenye maelfu ya askari wa US? Kama kambi zilizopo Bhrain, Kuwait , Qatar?
Huelewi vingi sana..
Kambi za US kubwa kabisa ni hizo Iran anashambulia, Israel hakuna kambi za kudumu za US, sanasana kuna installation ya vifaa kama radars kwenye jangwa la Negev, na kuna maghala ya kuhufadhi silaha za dharura.. hakuna kambi ya maana pale Israel ya US ....
Kambi kubwa za US na zinazojitegemea zipo Bahrain, Qatar, kuwait n.k.. hizo kambi zina maelfu ya askari wa US..
Ndio maana nakuambia sielewi mantiki yako hapo...
Hapo ulipo huelewi hata hizo fighter jets zinatokea wapi..
Fuatilia vitu, usikurupuke...
Hoja dhaifu hiyo, kama aliweza kushambulia Cyprus iweje kwa Israel ionekane mbali?Sasa unaanza kupiga threat ya Israel maelfu ya kilomita wakati kambi za US hapo UAE zipo karibu zaidi? Hii ni akili au matope?
US ameanza mashambuliza mengi zaidi kutokea gulf na ndio kuna kambi nyingi zaidi so ukipiga pale unaua threat ya moja kwa moja
Kwani hajawahi ishambulia Israel? Cyprus si kaishambulia zamani sana. In fact kaishambulia Israel kuliko nchi yoyote nje ya gulf sasa hoja yako ni ipi hapa?Hoja dhaifu hiyo, kama aliweza kushambulia Cyprus iweje kwa Israel ionekane mbali?
We unajua strategy kuliko majenerali wa Iran waliofunga Hormuz na sio Israel wala US wameweza ifungua? Logic ya kawaida tu ni kwamba unapiga threat ya karibu zaidi zikishasalimu unaanza kupiga threat ya mbali hata Israel ilianza na Hamas na Hezbollah then Syria ndio ikaja Iran. We huna unalojua kuhusu vita za Middle east unadhani ni movie ya Hollywood ile?Mashambulizi mengi kutokea gulf wapi wewe, Israel Kuna assets za marekani Kuna Kambi za marekani, stratotanker zinaruka kutokea hapo Ben gurion airport, Mbona Iran hagusi? 🤣🤣
Usijitoe ufahamu Iran mbona imekua ikirusha makombora kibao Israel mpaka wakati wa ceasefire, ni lini Iran iliwahi ogopa kupambana na Israel?? Unaweza sema hapa? Ukiwa na vita na nchi zaidi ya 3 lazima upige wa karibu kwanza ili hata ukihamia kwa Israel hauna imminent threat.Najua mnajua wale watu huwa hawatanii ndio maana Iran wenu anakua defensive, ila kwa wale wanyonge anageuka kuwa offensive
Hujaelewa hoja zilizopo kwenye tulichojadili. Hoja ilikua kwa Nini Iran Sasa hivi hashambulii Israel kama ambavyo anashambulia Bahrain na Kuwait?Kwani hajawahi ishambulia Israel? Cyprus si kaishambulia zamani sana. In fact kaishambulia Israel kuliko nchi yoyote nje ya gulf sasa hoja yako ni ipi hapa?
We unajua strategy kuliko majenerali wa Iran waliofunga Hormuz na sio Israel wala US wameweza ifungua? Logic ya kawaida tu ni kwamba unapiga threat ya karibu zaidi zikishasalimu unaanza kupiga threat ya mbali hata Israel ilianza na Hamas na Hezbollah then Syria ndio ikaja Iran. We huna unalojua kuhusu vita za Middle east unadhani ni movie ya Hollywood ile?
Usijitoe ufahamu Iran mbona imekua ikirusha makombora kibao Israel mpaka wakati wa ceasefire, ni lini Iran iliwahi ogopa kupambana na Israel?? Unaweza sema hapa? Ukiwa na vita na nchi zaidi ya 3 lazima upige wa karibu kwanza ili hata ukihamia kwa Israel hauna imminent threat.
nilikuwa nakuelimisha..Kwa hiyo kumbe anashambulia kambi kulingana na ukubwa? Iran walisema yoyote atayeshirikiana na marekani basi wataishambulia, Mbona kwa Israel maelezo yanakua mengi mengi sana?🤣
Taja hio kambi ya kijeshi ya US iliyopo Israel..Hujaelewa hoja zilizopo kwenye tulichojadili. Hoja ilikua kwa Nini Iran Sasa hivi hashambulii Israel kama ambavyo anashambulia Bahrain na Kuwait?
Iran anashambulia Israel mpaka pale ambapo Israel awe amewashambulia. Lakini kwa Bahrain na Kuwait kisingizio ni Kambi za marekani, hapo ndio maswali yangu yalipo kwa nn kisingizio hiko asikitumie kushambulia Kambi ya Marekani Iliyopo Israel?