Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
- #21
Kama hili hulijui basi hili jukwaa sio lako.nilikuwa nakuelimisha..
Nikujibu tu, US hawana kambi ya kijeshi ya kivita ndani ya Israel..
Umeelewa? Kama ipo itaje, halafu uelezee na askari waliopo, ukubwa wake na hio kambi inajihusisha na nini..
Hapo ndipo utajigindua huelewi chochote kuhusu siasa za mashariki ya kati..š¤£
Wanayo unaitwa site 512 ipo negev