Nimekujibu sababu zipo KARIBU. Unaanza kumpiga adui aliye karibu yako ndio unamgeukia aliye mbali. Nimekupa mifano hata Israel ilianza na Hamas, ikaenda Hezbollah na Syria ndio sasa ikavamia Iran. Kama Israel wanatumia strategy hiyo hiyo kwanini isiwe Iran?
Sio kweli, kipindi Israel wanaendelea kuua raia wa Lebanon mbona Iran ilirusha makombora kaskazini mwa Israel? So sio kweli mpaka ishambuliwe na Israel ndio ijibu. Tumia facts sio speculation.
Unajua maana ya proximity? Unarusha ngumi kwa adui wa karibu ndio urushe jiwe kwa aliye mbali. Hao watafikiwa tu kama miaka yote huwa yanaanzia gulf alafu baadae yanakua escalated hadi huko Uturuki, Israel na Cyprus n.k usiwe na haraka