Brother Depo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2026
- 593
- 797
- Thread starter
-
- #21
Kama hili hulijui basi hili jukwaa sio lako.nilikuwa nakuelimisha..
Nikujibu tu, US hawana kambi ya kijeshi ya kivita ndani ya Israel..
Umeelewa? Kama ipo itaje, halafu uelezee na askari waliopo, ukubwa wake na hio kambi inajihusisha na nini..
Hapo ndipo utajigindua huelewi chochote kuhusu siasa za mashariki ya kati..🤣
Site 512, negevTaja hio kambi ya kijeshi ya US iliyopo Israel..
Hapo ndipo utajicheka..
Hio kambi ina askari wangapi?Kama hili hulijui basi hili jukwaa sio lako.
Wanayo unaitwa site 512 ipo negev
Hiyo si una google TU unayajua unataka Mimi nikuandikie? Ingia google acha uvivu mwanawane🤣Hio kambi ina askari wangapi?
Ina ndege ngapi za kivita?
Ina vifaru vingapi?
Inahusika na nini?
Jibu hayo maswali ujione ambavyo hufahamu vitu..
Umeona aibu mwenyewe ..Hiyo si una google TU unayajua unataka Mimi nikuandikie? Ingia google acha uvivu mwanawane🤣
Usitafute visingizio, Iran Kwa Nini anaogopa kushambulia hizi Kambi za marekani zilizopo Israel? Wali mtamu? Netanyahu huwa hachekeshi 🤣🤣
Hiyo hapo👇
View attachment 3626042
Kwa hiyo hoyo sio Kambi ya kijeshi ya kivita?Umeona aibu mwenyewe ..
Wewe vingi huvifahamu, ume google huko umeona kituko..
Umekuja na tupicha uchwara eti secret US base...
Ndio maana post namba 19 ukiisoma nilikuuliza kambi ya kijeshi ya kivita..
Nafahamu fika hio site 512 ni kituo cha radar, hakuna ndege vita, hakuna kifaru, na askari ni wachache sana hapo wapo kati ya 100 hadi 300..🤣
Kuwait pekee ina askari wa US zaidi ya 13,000 ...
Kuwait ina base tofauti za US ikiwemo air base ambapo kuna ndege vita za US...
Unashangaa nini Iran kushambulia ndani ya Kuwait..
Bahrain kuna askari wengi wa US, huko Qatar ndipo usiseme..
Sasa hizo unaonyesha hapo ni us base au running way ya ndege iliyopo jangwani🤣
Hio kambi haina ndege vita, haina kifaru, haina missile ashambulie nini?Kwa hiyo hoyo sio Kambi ya kijeshi ya kivita?
Kujua kuwa marekani ana Kambi ya jeshi Israel mpaka nigoogle? Akili ya kawaida TU Mbona Inatisha kung'amua
Bado hujajibu swali langu, kwa hiyo hapo Iran hataki kushambulia?
Kambi gani ya kijeshi ya kivita hakuna hata rpg?Kwa hiyo hoyo sio Kambi ya kijeshi ya kivita?
Kujua kuwa marekani ana Kambi ya jeshi Israel mpaka nigoogle? Akili ya kawaida TU Mbona Inatisha kung'amua
Bado hujajibu swali langu, kwa hiyo hapo Iran hataki kushambulia?
Hio kambi anayosema ni kituo cha radar..Wewe kweli una shida isiyojulikana. Yaani kila mara Iran anaziunguza kambi za kijeshi za Israel ndani ya ardhi ya Israel bila huruma halafu ahofie kuzikaanga kambi za Marekani?
Anazi target kambi zilizo jirani kabisa na mipaka yake maana ndiyo tishio kuliko zilizopo mbali.
Iran amezikaanga sana meli za na ndege za kivita za Marekani tena za gharama kubwa kabisa ulimwenguni halafu ahofie nini eti?
Hormoz ni mambo ya kibiashara tu. Marekani anajichotea mafuta huku Venezuela so hategemei hormoz kama nchi za Africa na Ulaya. Ingekuwa anategemea Hormoz naamini sasa hivi visima vyote vya mafuta vya Iran pamoja na kisiwa cha Kharg vingekuwa majivu kwa akili ya Trump. Kama utabisha bisha tu huu ndio ukweli maana hata kwa Ayatollah mlisema Marekani hawezi kwenda kumfanya chochote kama alichofanya kwa Maduro badala yake yeye ndio yalimkuta mabaya zaidi.Kwani hajawahi ishambulia Israel? Cyprus si kaishambulia zamani sana. In fact kaishambulia Israel kuliko nchi yoyote nje ya gulf sasa hoja yako ni ipi hapa?
We unajua strategy kuliko majenerali wa Iran waliofunga Hormuz na sio Israel wala US wameweza ifungua? Logic ya kawaida tu ni kwamba unapiga threat ya karibu zaidi zikishasalimu unaanza kupiga threat ya mbali hata Israel ilianza na Hamas na Hezbollah then Syria ndio ikaja Iran. We huna unalojua kuhusu vita za Middle east unadhani ni movie ya Hollywood ile?
Usijitoe ufahamu Iran mbona imekua ikirusha makombora kibao Israel mpaka wakati wa ceasefire, ni lini Iran iliwahi ogopa kupambana na Israel?? Unaweza sema hapa? Ukiwa na vita na nchi zaidi ya 3 lazima upige wa karibu kwanza ili hata ukihamia kwa Israel hauna imminent threat.
Ukiskia kuhangaika ndio huku sasa🤣🤣Hio kambi haina ndege vita, haina kifaru, haina missile ashambulie nini?
Uko zako kiwalani unasema hiyo sio Kambi sababu tu Iran anaogopa kushambulia Israel 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kambi gani ya kijeshi ya kivita hakuna hata rpg?
Hivi unaelewa kweli?
Hiko ni kituo cha radar..
Unaweza kueleza kwanini mafuta yamepqnda gharama US baada ya Hormuz kufungwa?Hormoz ni mambo ya kibiashara tu. Marekani anajichotea mafuta huku Venezuela so hategemei hormoz kama nchi za Africa na Ulaya. Ingekuwa anategemea Hormoz naamini sasa hivi visima vyote vya mafuta vya Iran pamoja na kisiwa cha Kharg vingekuwa majivu kwa akili ya Trump. Kama utabisha bisha tu huu ndio ukweli maana hata kwa Ayatollah mlisema Marekani hawezi kwenda kumfanya chochote kama alichofanya kwa Maduro badala yake yeye ndio yalimkuta mabaya zaidi.
1. Sio kweli, unajua USA ina viwanda vingi nje ya Marekani yamejaa India, China, Korea n.k sasa huko kukitokea shida ya mafuta hauoni uchumi wa US una shake pia?Hormoz ni mambo ya kibiashara tu. Marekani anajichotea mafuta huku Venezuela so hategemei hormoz kama nchi za Africa na Ulaya
Anategemea mkuu twende kwa facts, hii graph inajieleza wazi kuwa reserves zilipungua na hapo chini naweka video ya Trump mwenyewe akikiri kuwa vita ikiendelea tena basi US itaishiwa reserve ya mafuta kabisa.Ingekuwa anategemea Hormoz naamini sasa hivi visima vyote vya mafuta vya Iran pamoja na kisiwa cha Kharg vingekuwa majivu kwa akili ya Trump
We mwenyewe imebidi ujicheke tu...Uko zako kiwalani unasema hiyo sio Kambi sababu tu Iran anaogopa kushambulia Israel 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Netanyahu anasema hata msiposhambulia, atawafuata yeye
Mbona huwa mnasema kauli za Trump hazihaminiki?Anategemea mkuu twende kwa facts, hii graph inajieleza wazi kuwa reserves zilipungua na hapo chini naweka video ya Trump mwenyewe akikiri kuwa vita ikiendelea tena basi US itaishiwa reserve ya mafuta kabisa.
View attachment 3626088
View: https://youtu.be/exwtmAi7G04?si=--npIlNhnH2VxEOH
Swali langu, je tukuamini wewe au Rais wa Marekani na takwimu?