zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Nimekujibu sababu zipo KARIBU. Unaanza kumpiga adui aliye karibu yako ndio unamgeukia aliye mbali. Nimekupa mifano hata Israel ilianza na Hamas, ikaenda Hezbollah na Syria ndio sasa ikavamia Iran. Kama Israel wanatumia strategy hiyo hiyo kwanini isiwe Iran?Hujaelewa hoja zilizopo kwenye tulichojadili. Hoja ilikua kwa Nini Iran Sasa hivi hashambulii Israel kama ambavyo anashambulia Bahrain na Kuwait
Sio kweli, kipindi Israel wanaendelea kuua raia wa Lebanon mbona Iran ilirusha makombora kaskazini mwa Israel? So sio kweli mpaka ishambuliwe na Israel ndio ijibu. Tumia facts sio speculation.Iran anashambulia Israel mpaka pale ambapo Israel awe amewashambulia
Unajua maana ya proximity? Unarusha ngumi kwa adui wa karibu ndio urushe jiwe kwa aliye mbali. Hao watafikiwa tu kama miaka yote huwa yanaanzia gulf alafu baadae yanakua escalated hadi huko Uturuki, Israel na Cyprus n.k usiwe na harakaLakini kwa Bahrain na Kuwait kisingizio ni Kambi za marekani, hapo ndio maswali yangu yalipo kwa nn kisingizio hiko asikitumie kushambulia Kambi ya Marekani Iliyopo Israel?
Suala la gharama za maisha kupanda nchini US baada ya Hormuz kufungwa si suala la kusubiri Trump aseme, hizo ni taarifa za wazi kabisa...Mbona huwa mnasema kauli za Trump hazihaminiki?
Huwa? Usituunganishe mie nimeuliza kwamba tumuamini Trump au wewe? Anyway nimeweka graph nayo ni uongo?Mbona huwa mnasema kauli za Trump hazihaminiki?
Unazani Iran mjinga? Iran anajua anacho kifanya.Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani
Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel??
Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran haigusi Israel badala yake anaenda kuonea Bahrain na Kuwait?? Tulitegemea mtaigusa na Israel🤣🤣
Ritz
zitto junior
100 others
mdogoee
Echolima1
Khaibar
gTurn
Imeloa
Adiosamigo
HIMARS
6 Pack
Crimea
Mwalimu wa tuisheni
MlimaSayuni
dem boyz
Hizi hapa ndege za marekani zinaruka kutokea Israel
View attachment 3625850
Breaking News:We mwenyewe imebidi ujicheke tu...
Ndio nakuuliza ashambulie nini kwenye hio kambi?
Kipi hiko? Maana bado hawajamaliza kuzikaUnazani Iran mjinga? Iran anajua anacho kifanya.
Kona Kona nyingi. Ngoja nikupe breaking News; Israel muda wowote ataamza kuishambulia IranNimekujibu sababu zipo KARIBU. Unaanza kumpiga adui aliye karibu yako ndio unamgeukia aliye mbali. Nimekupa mifano hata Israel ilianza na Hamas, ikaenda Hezbollah na Syria ndio sasa ikavamia Iran. Kama Israel wanatumia strategy hiyo hiyo kwanini isiwe Iran?
Sio kweli, kipindi Israel wanaendelea kuua raia wa Lebanon mbona Iran ilirusha makombora kaskazini mwa Israel? So sio kweli mpaka ishambuliwe na Israel ndio ijibu. Tumia facts sio speculation.
Unajua maana ya proximity? Unarusha ngumi kwa adui wa karibu ndio urushe jiwe kwa aliye mbali. Hao watafikiwa tu kama miaka yote huwa yanaanzia gulf alafu baadae yanakua escalated hadi huko Uturuki, Israel na Cyprus n.k usiwe na haraka
Huna unacho kijua kuhusiana na siasa za middle nyie ndio wale mnao jiita "wapendwa ktk.......". Ningejua hata nisinge comment uzi wako.Kipi hiko? Maana bado hawajamaliza kuzika
Israel hakuna kambi ya kijeshi ya kivita ya US...Bahrain na Kuwait ni soft targets.
Usihame mada, nakuuliza Iran ishambilie hio kambi iliyopo Israel, ilenge kitu kipi?Breaking News:
Baada ya Iran kuogopa kuigusa Israel, Israel inaniandaa kushambulia Iran
Site 512 na Site 883 zenye rada ya AN/TPY-2 X-Band ni kambi za kijeshi za wapi mkuu?Israel hakuna kambi ya kijeshi ya kivita ya US...
Kambi za kivita zipo kwenye hizo nchi ulizotaja, na Qatar, Saudia n.k
Hio site 512 ina ndege vita, ina vifaru, ina ballistic missiles? Naomba jibu..Site 512 na Site 883 zenye rada ya AN/TPY-2 X-Band ni kambi za kijeshi za wapi mkuu?
Haujajibu nilivyo tegemea Mkuu, anyways hicho ni kituo cha rada na ulinzi wa anga.Hio site 512 ina ndege vita, ina vifaru, ina ballistic missiles? Naomba jibu..
Na ina askari wangapi?
Nilikuuliza kambi za kijeshi za kivita..Haujajibu nilivyo tegemea Mkuu, anyways hicho ni kituo cha rada na ulinzi wa anga.
Wanajeshi waliopo nadhani ni kama 100 kikosi cha THAAD, zaidi ya wale wachache wa awali waliokuwa wakiendesha rada tangu 2012.
Nadhani Mkuu utakuwa hauelewi ni kipi unachokitetea hapa, mbona Iran imewahi kushambulia moja kwa moja rada za THAAD.Nilikuuliza kambi za kijeshi za kivita..
Hiko ni kituo cha radar.. ok tuseme ni kambi ya radar..
Hakuna vifaru, ballistic missiles wala ndege vita, sasa Iran ipige kitu kipi hapo? Ambacho ni threat kwake? Je kuna ndege imetoka hapo na kwenda kuishambulia Iran?
Je kuna missiles za masafa zinatoka hapo?
Je kuna vifaru vilitoka hapo vikaishambulia washirika wa Iran mfano Lebanon...
Iran hawapigani vita kama walevi wa gongo.. hawapigani kiushabiki... wanalenga sehemu wakiwa wanaelewa wanachofanya..
Ashambulie hiko kituo wakati hakina threat kwake...Nadhani Mkuu utakuwa hauelewi ni kipi unachokitetea hapa, mbona Iran imewahi kushambulia moja kwa moja rada za THAAD.
Haulifahamu hili?
Kifupi Iran anachoogopa sana hapo ni mkono wa Marekani na kuwavuta NATO, ndiyo maana amechagua hizo soft targets.Ashambulie hiko kituo wakati hakina threat kwake...
Kwani Israel inavyopigwa na ballistic missiles hio site 512 huwa inakuwa wapi kutungua zile ballistic za iran?
Ndio maana nakuambia hio kambi si threat kwa Iran, kambi zote threat gulf zimefikiwa.. kambi za Israel zimelengwq.. kwamba Iran inaogopa kulenga hio kambi?
Hio kambi si ya mashambulizi, ni kituo chaa radar... haina threat kwa Iran.. hata kama wana control mfumo wa THAAD, hio THAAD haijaisadia Israel isifikiwe na ballistic missiles..
Radar nyingi za early warning za US zimepigwa gulf states..
Kama anaogopa mbona kapiga kambi za US zilizopo middle east?Kifupi Iran anachoogopa sana hapo ni mkono wa Marekani na kuwavuta NATO, ndiyo maana amechagua hizo soft targets.
Hoja yako ya kudai kwamba hawezi kushambulia Israel kwa sababu hakuna kambi za kijeshi haijaka kimantiki sana.
Iran wakipigwa na marekani basi haraka haraka wanakimbilia kurusha mafataki Yao huko Bahrain na Kuwait(kwa wanyonge) kwa kisingizio kuwa Kuna Kambi za marekani
Israel Wana Kambi ya Marekani, Mbona Iran hashambulii Israel??
Jana na Leo marekani zipo ndege zao zinaruka kutokea Israel, Mbona Iran haigusi Israel badala yake anaenda kuonea Bahrain na Kuwait?? Tulitegemea mtaigusa na Israel🤣🤣
Ritz
zitto junior
100 others
mdogoee
Echolima1
Khaibar
gTurn
Imeloa
Adiosamigo
HIMARS
6 Pack
Crimea
Mwalimu wa tuisheni
MlimaSayuni
dem boyz
Hizi hapa ndege za marekani zinaruka kutokea Israel
View attachment 3625850