Iran wanaonea Bahrain na Kuwait, mbona hawagusi Kambi ya Marekani iliyopo Israel? Wanawaogopa Israel?

Lebanon inapigwa kila leo na Iran haijawahi hata kurusha hata kipande cha kokoto huko Israel waambie Iran waache kunyanyasa waarabu kuna ka nchi kadogo sana kainaitwa Israel Kiboko cha waarabu na waajemi akajipime nguvu huko ili aone kilichomfanya Gaidi Ayatollah Ali Khamenei afe Kibuyu!!!!
 
Israel akishambulia Iran, nayr Iran anarusha makombora Israel.

Kumbuka kuna karibu kilomita elfu 2 kutoka Israel mpaka Iran. Marekani haishambulii Iran kutokea kambi zake za Israel bali anatumia kambi zilizo karibu na Iran, hivyo na Iran anazishambulia hizo kambi ili kudhoofisha nguvu ya Marekani kushambulia ingawa ana teknolojia hata kutokea baharini lakini inakuwa na gharama kushambulia kutokea mbali
 

Mtu yeyote anyeshabikia kuuwawa kwa nafsi, ajue ni wakala wa shetani bila yeye mwenyewe kujijua.
Tumuombe Yesu afungue akili za watu ili wawe na maarifa ya kutambua hilo!
 
Mtu yeyote anyeshabikia kuuwawa kwa nafsi, ajue ni wakala wa shetani bila yeye mwenyewe kujijua.
Tumuombe Yesu afungue akili za watu ili wawe na maarifa ya kutambua hilo!
Uj8nga mtupu unakusumbua Iran na magaidi wa Hamas,Hezbollah na Houth wanavyoua watu hayo huyaoni na hujui lakini unaona tu wanaoshabikia!!!

Huo ni ujinga ulio pitiliza!!!!
 
Kissinger alisema kuwa rafisi wa Marekani ni kujitia kitanzi shingoni ....utakuwa salama ukiwa mpinzania wa US. Baharain hawakumsikilliza Kissinger
 
Upo sahihi mkuu Wakulungwa hawaelewi kitu kuhusu middle east mruhusu agoogle 😂
 
Zile ni radar stations hakuna cha maana zaidi. Hizo kambi hazikujengwa kuhifadhi bombers wala fighterjets.
Lakini zimewahi kushambuliwa na hao hao Iran.

Unaweza kuniambia kwanini zilishambuliwa kama zinaonekana kutokuwa tishio?
 
Hivi umewahi kujiuliza yafatayo
kwa mtu yeyote anayejiunga na hayo makundi Iwe nigeria, Sudani kusini na hata huko middle East analipwa kwa dola tena maelfu kadhaa. Na huko anakutana na silaha za kisasa ambazo hata nchi nyingi za kiafrica hawana
Ujinga mtupu unakusumbua kwa hiyo Magaidi wakiua kwa silaha bora wewe Ina kusaidiwa nini! Au unapata faida gani?
Lakini pia Osama Bin Laden aliwahi kusema; yeye ni mmoja kati ya watu waliokuwa wameandaliwa kwa ajili ya hivyo vikundi ila akaja kuwasaliti walio mtuma (walishindwa kumkamata kwa kuwa walimfundisha wenyewe.)
Ulivyo mjinga na mpumbavu unataka kugeuza maneno na kuwasafisha Magaidi ambao kwa juhudi zako tu huwezi kuwasafisha Magaidi hao!!
Inaonekana wapo watu wenye nia Ovu ya kuchafua na ndio wana anzisha hivyo vikundi na kuvifadhili ili kutimiza azima yao. Ipo siku hata kama ni miaka 100 ijayo mbivu na mbichi zitajulikana
Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwa mtu mwenye maarifa???
Ujinga huu kawadanganye msikitini kwako au wadanganye Wafuga Midevu na Majini wenzako watu wanajua vikundi hivyo vya kiislamu na ndiyo magaidi wenyewe!!!!
 
Kabla kwanza ya kukujibu, naomba kukuuliza Mbona Iran hagusi Kambi ya Marekani Iliyopo Israel??

Issue ya ndege nimekuwekea hapo, stratotanker zinaruka kutoka Israel
Silaha kubwa kabisa hapo ni humuzi anayemiliki humuzi ndo anashikila dunia na masharti yake kwa hiyo vita inabiganiwa hapo humuzi .. israel ataenda kufanya nini .. halafu usa hana kambi pale israel anayo ghala la silha tuu
 
Kwa hiyo hoyo sio Kambi ya kijeshi ya kivita?
Kujua kuwa marekani ana Kambi ya jeshi Israel mpaka nigoogle? Akili ya kawaida TU Mbona Inatisha kung'amua

Bado hujajibu swali langu, kwa hiyo hapo Iran hataki kushambulia?
Usa hana kambi ya jeshi huko analo ghala la silaha tu
 
Hivi kwa nini unapenda kujibu hoja kwa matusi huku ukijifanya mfuasi wa YESU??
Hivi kwa akili ya kawaida Yesu anaweza kuambatana na watu wenye lugha chafu kama wewe?....
JIREKEBISHE LA SIVYO, HUYO YESU UTAISHIA TU KUMSIKIA TU WATU WAKIMTAJA...
 
Hivi kwa nini unapenda kujibu hoja kwa matusi huku ukijifanya mfuasi wa YESU??
Hivi kwa akili ya kawaida Yesu anaweza kuambatana na watu wenye lugha chafu kama wewe?....
JIREKEBISHE LA SIVYO, HUYO YESU UTAISHIA TU KUMSIKIA TU WATU WAKIMTAJA...
Ujinga mtupu unakusumbua hapo Yesu wako anaingiaje? Mjinga wewe?
 
Usa hana kambi ya jeshi huko analo ghala la silaha tu
Wewe unasema ghala, wenzio wanasema ni Kambi ti ya radar. Mnaona jinsi ilivyo ngumu kutetea uongo?

Kama Iran anashambulia Hadi hotel huko Dubai, kwa nn asishamvulie hilo ghala la marekani lililopo Israel?

Kwa kukusaidia nenda google alafu andika site 512 in Israel, utajua ni kitu gani
 
USA wanajua kutumia akili za wajinga kwa kufanya vita isipigane Nchini kwao
Mfano: WAISRAEL wamejiona wajanja kwa kuwekewa kituo cha kijeshi na Maraekani kumbe Marekani inawaona WAJINGA kwa kukubali vita yoyote ya ukanda wa middle East kupigwa Israel badala ya kupigwa Marekani....
Ndio sababu husikii hata siku moja Marekani imepigwa; kwani inatumia akili za wajinga kuweka vituo vyake ili vita ipigiwe huko mbali kwenye vituo na sio nchini kwake....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…