Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Mambo yako ni ya kunya kunya tu!
Jitahidini muwe wasafi muda wote, na acheni kuigaiga tamaduni za wazungu na mababu zenu za kujipangusia majani, sijui, maboksi mara tishu sijui nini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yako ni ya kunya kunya tu!
Aisee! Bikini tena? Hawa ni watumwa wa dini ya Mud!Na ukivaa bikini itakuaje tena?
Tunawasoma ujinga wenu na kila tunapoweza tunawafundisha ujanja, usiwe na shaka, tusome kwa utii, ujinga utakutoka.Uzuri wake ujingabtuliosomea nyie wajuzi wa mambo bado mnausoma pia hapa jf.
Ujanja wenu tumeupataTunawasoma ujinga wenu na kila tunapoweza tunawafundisha ujanja, usiwe na shaka, tusoime kwa utii, ujinga utakutoka.
Kila lilipotajwa neno hijab ndani ya Qur'an limetajwa kwa wote. Neno hijab kama ulivyosema. Ni stara, sio nguo, stara ni kwa wote si kwa mnamke au mwanamme pekee.
Hijab ndio nini ktk uhai wa watu?Kama hawataki wahame nchi! Wakivua hijab chapeni viboko.!
Ficha upumbavu wako ewe kafirWaarabu wakiona kichwa cha mwanamke wanawaka tamaa.
Mbona wakija huku kwetu lindi wanawake wengi hawafuniki kichwa na wanatulia tu.
Ulaya na amerika kichwa hakifunikwi na maisha yanaendelea.
Ina maana wanaume wa Kiislamu ndio mna njaa sana hadi mna wehuka na nywele za wanawake ?
Waasilamu ni watu wa ajabu sana kwakweli.
Hivi mnapoangalia mechi za mpira wa miguu au riadha au mieleka au basketi za wanawake ndo mnachanganyikiwa sana au.
Maana wanavaa bukta tu.
Hiyo Dini ya Majini inawafikirisha upumbavu tu.