Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Mtafute FaizaFoxy atakuwa na maelekezo yaliyoshiba kulijibu hili swali lako.Haya mambo haya, Naomba mnisaidie hili wajuzi.
Kama issue ni kujistili kwann na wanaume wasivae hijab ili kuficha Sehemu ya miili yao inayoweza kumsababishia mtu mwingine kushawishika?