Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

Ni ujinga kuamini dhambi iko kwenye macho ya mtu. Dhambi iko moyoni.
Wajue tangu anguko la mwanadamu akili, uelewa, na kila nyanja iko corrupted hakuna jema. Ni Mungu tu ndio hupatikiza moyo mpya kwa anayemuamini Yesu. Ova
Hili hawalielewi wanaamini mwanamke akivaa hijabu ni mtakatifu..kumbe wahuni kila siku tuna walaza miguu juu na hijabu zao.

Suala la imani ni mtu na muumba wake wala sio mwonekano wa nje.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna atayeachwa.Wewe ropoka hapa tu,lakini huko ni mwendo wa kushikishwa adabu.

Ni vigumu kuwanyanya binadamu miaka yote, hata huyo muddy alijaribu kuchinja watu akiwalazimisha dini ila hatimaye akafa na kuiacha dunia.
 
Yaendelee hata miaka 100000 huko.Hakuna kitakacho badilika.Wewe unapoteza muda tu,Uislamu na sheria zake kamwe hazitabadilika.

Sheria za uzombi wa kidini zenyewe hushindwa pale binadamu wanaelimika na kupata muamko......
 
Wasichana warembo wanalazimishwa kufunikwa mitambala mwili mzima yasalie macho tu.
Ni ujuha wa kiwango cha barabara ya matope.
 
Wasichana warembo wanalazimishwa kufunikwa mitambala mwili mzima yasalie macho tu.
Ni ujuha wa kiwango cha barabara ya matope.
Ni utumwa wa kifikra..uzuri jamii kwa sasa zinaelimika na hivyo hizi tamaduni zinazidi kufa mdogo mdogo..ndio mana wale vilaza wanaumia mioyo yao na kuamu kujilipua mana wengi ni zero brain.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Sii kama hivyo unaona wamama wameandamana wapo tayari kufa. Mataliban wanajilipua moaka mmarekani kaondoka mwenyewe. Hawa watu wana kuwa na imani kubwa kwenye kile wanachoamini na udhubutu. Sie hapa tozo tuu tumeshindwa onyesha ujasiri
 
Milambo,mkwawa,kinjekitile hawakuonesha uthubutu!?..tozo ni lazima ziwepo,unapotoa pesa mitandao ya simu inakukata,ukitia ATM card unakatwa,kwa nini tozo za miamala ya simu zisiwepo!?..serikali hupata fedha za kuhudumia watu wake toka kwa haohao watu wake
 
Damn! watoto wametulia kinyama, kama hao jamaa hawataki kuona hizo nywele basi waje Tanzania.
Waungwana wa Tanzania tunataka kuona nywele zote sio za kichwani tu, ni ruhusa.

Mambo ya ajabu kabisa.
 
Back
Top Bottom