chillo clan conscious
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 850
- 1,567
Audhubillah minayshaitwan rajim,dhama za mwisho hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakufa wewe hizo sheria zitabaki.Hizi tawala zinazojiita za kidini hazina mustakabali mwema huko dunia inakoenda na lazima zitakufa kwa sababu hazina ridhaa ya wananchi zinalindwa tu na dola.
Kwa akili tu ya kawaida, mambo ya mtu kavaaje inamuhusuje mtu mwingine wewe ni mtu gani eti ukiona mwanamke amevaa nguo imembana eti unapatwa na matamanio! Yaani unazidiwa hata na wanyama ambao hata nguo hawana! Bure kabisa.
Sheria za kishetani ndio maana hata wenyewe tu hawazitaki.Utakufa wewe hizo sheria zitabaki.
Siyo wenyewe, ni hao wanawake wapumbavu wachache tu! Na nimeona wanamwagiwa maji ya kuwasha, safi sana kwa serikali. Watataka tu hata kibabe!Sheria za kishetani ndio maana hata wenyewe tu hawazitaki.
Ndio wale wale tuu cha msingi sio waafricaIla hao sio waarabu ni waajemi (Persians).
Hakuna cha mfumo dume, sheria ni lazima zifuatwe. Kama hawataki wahame nchi. Hazitobadilika.Mfumo dume bado sana kuisha uko mashariki ya kati
Hata huku uswahilini sijui kwanini ilifika, imetuharibia mno jamii, na bado inaendelea kuharibu.Sijui waliingiaje mkenge wa hiyo dini ya mwarabu, Persians ni watu wenye akili sana na wangekua mbali sana leo hii isingekua huo uzombi wa kidini.
Hiyo dini ingeachiwa waswahili na waarabu basi...
Hakuna cha mfumo dume, sheria ni lazima zifuatwe. Kama hawataki wahame nchi. Hazitobadilika.
Unafiki ndio msingi mkuu wa wavaakobazi.Kuna jamaangu ni muumun mzuri sana wa hii imani ya wavaa kobazi, Yule jamaa hakuna dhambi mbaya na anayoilaani kama kula kitimoto, yan ni najisi vibaya mno aseee. lakin umalaya sasa anakula adi vitoto vya secondary, ila mkitaka mgombane ihuaishwe kitimoto ktk vyombo vyake. hawa jamaa mim siwaelewagi kwanin ni wanafiki kiasi iki
Sheria yao ngumu. Bia ni dhambi ila wine [emoji485], sigara, na cocaine sio dhambiMamullah wameiharibu saba hii nchi
Wairani sio waarabu, Wairani nji waajemi (Persians)Waarabu bwana wana umoja hatari. Wakiamua jambo lau hawataki ujinga. Sasa hawa ndio super women tunaohitaji kuoa
Wanaume tunatakiwa tuangalie chini na kuacha kuchangamana na wanawake wasio wa familia zetu na kuoa mapema ili kuepuka uzinziHaya mambo haya, Naomba mnisaidie hili wajuzi.
Kama issue ni kujistili kwann na wanaume wasivae hijab ili kuficha Sehemu ya miili yao inayoweza kumsababishia mtu mwingine kushawishika???