Iran: Watu 36 wajeruhiwa katika maandamano kupinga kifo cha mwanamke ambaye alishikiliwa na polisi kwa kutositiri kichwa

Wakurdi inaonekana watu poa sana, sio wa msimamo mkali
Poa sana hao jamaa. Unaweza ona Iraq Kurdistan ilivyo na utulivu. Wanahitaji kupata Taifa lao aisee.
 
Ukiona NGUVU inatumika katìka kutekeleza imani ya DINI hadi dora inatia mkono wake ujue kuna shida mahali.
 
Maandamano bado yanaendelea huko.
Safari hii watoto hawataki ujinga tena.
Kama kujifunika mitambala kuzuri basi jifunikeni wote, waume na wake.

Kumbe watoto wa Kiirani ni warembo hatare [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ilikuwa ni wivu tu kwa waschana wao.

Hakika hii ni dhambi kubwa sana.
 
Iran ni shithole country
 
Wakurdi inaonekana watu poa sana, sio wa msimamo mkali
Hawapendi ujinga na ndio watu wanaochukiwa na kuwa persecuted na serikali zote za kigaidi na kidikteta ukianzia Ike Iraq ya saadam Hadi ya sasa ,saadamu aliwaua Sana na kuwatesa hawa watu kisa msimamo wao WA kupinga tyranny ,ikija Turkey ni hivyo hivyo ni mikinzano na serikali ya Turkey miaka mingi mpaka wameitwa ni magaidi na serikali ya Turkey kisa wanapigania Uhuru wao kuwa taifa huru na kupinga udikteta ukija Syria ni hivyo hivyo wakapigwa vita Sana na Yule gaidi Asad mpaka alitumia silaha za sumu dhidi Yao .
Nawakubali Sana ,kiufupi ni jamii iliyopo ndani ya mataifa manne hapo middle East , Iraq ,Iran ,Turkey ,Syria
 
 

Attachments

  • Screenshot_2022-09-23-10-19-50-76_f9ee0578fe1cc94de7482bd41accb329.jpg
    46 KB · Views: 2
Anaye baka vitoto hapa duniani adhabu yake ni kwenda jela.

Asipo tubu ni final jehanam.

Awe Papa, awe Che mittoga, awe Ayatola awe nani.

Mtu mwenye akili kidogo tu huwezi kutongoza katoto ka miaka sita na kusema kamemkubali.

Hata wazazi wake wakiridhia, wewe inabidi uwaelimishe kuwa tendo hilo ni ubakaji.

Mtume alipewa hako katoto kwakuwa wazazi wake waliona anakamendea na waliogopa kuchinjwa kama hawata tekeleza nia ya m'bora wa mitume ( piece be upon him )

Hata mtoto wake wa kufikia hakuwa na namna bali kumwacha mke wake waliopendana sana baada ya kuona mtume anammendea, kwa kuchelea kuchinjwa.

Sharia ya Kiislamu inasema mke akiachwa anatakiwa akae mwezi mmoja bila kuchukuliwa uchumba na mtu mwingine yoyote.
Kwakuwa mmewe anaweza kumrudia kwa kutangua taraka yake.

Chaa ajabu mtume wa wajinga na Majini siku alipo sikia tu Zayd kamwacha mke wake fasta ali mchukua siku hiyo hiyo kuwa mke wake na Aya ikashuka.

"Usiogope kumwoa huyo aliyeachwa na mwanao maana mabinti wa Kiislamu wote ni halari yako, hii ni kwako wewe tu na sio waislamu wengine"

Allah na mtume lao moja.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Hadi wakeze mtume wakamshtukia na kumwambia.
"Huyo mola wako ni kuwa yupo kwa kutimiza tamaa zako tu za kimwili tu basi"

Halafu uje uniambie mimi mwenye Hekima nyingi.

Eti mchikilize mtume (pieces be upon him) yeye ndio m'bora wa watu wote.

Naye aliwachoka akawachana wazi kabisa.
"Mimi sio kiroja kipya katika mitume na sijui nitakacho fanywa mimi wala nyinyi mnaonisikiliza"

Mimi nikilize na kukiamini KIROJA....!
Tena Kiroja kipya.

Ha...ha...ha
Mmepigwa mchana kweupe pe.

Mwacheni Kiroja atafune vitoto na vibibi vikina Hadija na yeyote atakaye jitoa bure kwa mtume.
Nyinyi ishieni na hao hao wanne.
Mkienda peponi mtapewa wanawali Bikra 72. Kati ya hao mme ambiwa 70 wanatoka katika pit of Hell.

Yaani wanawake 70 mtaopewa ni raia wa Kuzimu.

Shitukeni hayo ni Majini. Ndugu zenu wa Kijini.

Nawasilisha kwa wenye busara na uwezo wa kutafakari.
 
hizo dini daah...

Utakuta mtu yuko busy kumtetea huyo Mungu kwa kila namna, wakati huo huo akishiba makande utaskia '' Mungu wetu hashindwi kwa lolote"
Dah!umewaza mbali sana yaan Mungu anaweza vyote na bado mpaka unaua kumtetea,[emoji40]
 
Kwani si ndio mnajinasibu ni ndugu zenu..haya ndugu zenu wameua huko...kisa hijabu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Wana kaunafiki ka kudai waislamu wote ni ndugu kwa maana hiyo awe jambazi,gaidi...maadam ni muislamu huyo ni ndugu!Sijui huu mshikamamo ni kwa ajili ya nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…