JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Poa sana hao jamaa. Unaweza ona Iraq Kurdistan ilivyo na utulivu. Wanahitaji kupata Taifa lao aisee.Wakurdi inaonekana watu poa sana, sio wa msimamo mkali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa sana hao jamaa. Unaweza ona Iraq Kurdistan ilivyo na utulivu. Wanahitaji kupata Taifa lao aisee.Wakurdi inaonekana watu poa sana, sio wa msimamo mkali
Wana shida sana aisee.They are not happy everywhere
Utaenelea kuteseka tu hakuna namna hiyo habari ipo na ingekuwa kitu cha kufedhehesha kama unavyodhani uislamu ungejifia hapo hapo au hiyo habari ingefichwa .Sikua najua aligegeda mtoto, nimeshangaa sana kwenye hizo habari halafu mnamuabudu, mnakua kama mazombi vile Muhammad Married A Six Year Old Child
Iran ni shithole countryMataifa yanayoongozwa kidini huwa kama mazombi vile, mwanamke anauawa kisa tu hakufunika kichwa, watu wamejeruhiwa kwenye maandamano ya kupinga mauaji hayo.
======
At least 36 people have been injured in the Kurdistan Region of Iran, in the northwest of the country, during protests sparked by the death of a Kurdish woman, Mahsa Amini, who died shortly after being arrested in Tehran for not wearing the Islamic headscarf or hijab properly.
The director of the Hengaw Human Rights Organization, Arsalan Yarahmedi, reported the number of wounded in declarations to the Kurdish-Iraqi television Rudaw and explained that five of the injured "are in critical condition and need surgery". These are individuals injured in Saghez, Amini's hometown, who have been hospitalized in Tabriz.
Hengaw, an organization dedicated to documenting human rights violations in the Kurdish region of Iran using local sources, has warned that some of the injured have not gone to health centers for fear of being arrested for participating in the protests.
Kurdish opposition parties have called a general strike for Monday in Rojhelat, eastern or Iranian Kurdistan, to protest Amini's death.
Amini was buried on Saturday in her home town of Aychi in the Saghez region of Iranian Kurdistan, and the event turned into a protest rally that was broken up by police using tear gas.
On the same day, protests were held in Sanandaj with slogans such as "Death to the dictator!" or "Death to Khamenei!", in reference to the supreme leader of the Islamic Republic, Ayatollah Ali Khamenei, according to the Saudi channel Al Arabiya.
The demonstrators also tore down a poster in memory of Qasem Soleimani, a senior Iranian Revolutionary Guards commander killed in Iraq in a U.S. attack, according to videos posted on social networks.
"Saghez is not alone!" they have also shouted in reference to Amini's home region. In that locality on Friday there were mobilizations and some women removed the hijab as a gesture of protest.
MSN
www.msn.com
Hawapendi ujinga na ndio watu wanaochukiwa na kuwa persecuted na serikali zote za kigaidi na kidikteta ukianzia Ike Iraq ya saadam Hadi ya sasa ,saadamu aliwaua Sana na kuwatesa hawa watu kisa msimamo wao WA kupinga tyranny ,ikija Turkey ni hivyo hivyo ni mikinzano na serikali ya Turkey miaka mingi mpaka wameitwa ni magaidi na serikali ya Turkey kisa wanapigania Uhuru wao kuwa taifa huru na kupinga udikteta ukija Syria ni hivyo hivyo wakapigwa vita Sana na Yule gaidi Asad mpaka alitumia silaha za sumu dhidi Yao .Wakurdi inaonekana watu poa sana, sio wa msimamo mkali
Ukilanja wakukabidhi Nchi wataleban?La kumshukuru MUNGU, ni kuwa kilanja wa dunia ni USA, La sivyo dunia hii ingekuwa sehemu hatari sana.
Dah!umewaza mbali sana yaan Mungu anaweza vyote na bado mpaka unaua kumtetea,[emoji40]hizo dini daah...
Utakuta mtu yuko busy kumtetea huyo Mungu kwa kila namna, wakati huo huo akishiba makande utaskia '' Mungu wetu hashindwi kwa lolote"
Kwani ndiye issa?vipi yule aliyekula misumali ya nchi 6 msalabani alijitetea?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wana kaunafiki ka kudai waislamu wote ni ndugu kwa maana hiyo awe jambazi,gaidi...maadam ni muislamu huyo ni ndugu!Sijui huu mshikamamo ni kwa ajili ya nini.Kwani si ndio mnajinasibu ni ndugu zenu..haya ndugu zenu wameua huko...kisa hijabu.
#MaendeleoHayanaChama
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app