Iran wazidi kuuana wakihofia Majasusi wa Israel ndani yao hali ni mbaya

Iran wazidi kuuana wakihofia Majasusi wa Israel ndani yao hali ni mbaya

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani.

kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa kulionekana mapema tu..
Screenshot_2025-09-29-16-07-59-324_com.facebook.katana.jpg
 
Back
Top Bottom