Chizi Maarifa JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 14,762 Reaction score 32,386 Sep 30, 2025 #1 Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa kulionekana mapema tu..
Hali ni tete mpaka sasa wameshauawa Watu 10 wakihofiwa ni Majasusi wa Israel Ndani Serikali ya Irani. kile kipigo kiliwaumiza sana Irani. Hawajaweza kukaa wakatulia mpaka sasa. Wanawaza na kuwazua. Tulisema lazima milio itasikika na kuchanganyikiwa. Haikuwa kipigo rahisi. Na kuchanganyikiwa kulionekana mapema tu..
let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,179 Reaction score 9,750 Sep 30, 2025 #2 usikute wanyongaji nao ni Mossad
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,521 Reaction score 46,663 Sep 30, 2025 #3 Wakipigwa kipigo kingine watakamatwa watu wengine kunyongwa