Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

Kuruan na juzuu asome saa ngapi vitabu vya kuongeza maarifa kichwani asome saa ngapi?
 
Mavitabu meeengi mbona yahya yumo kwenye handaki hapo hapo Gaza hao wazayuni hawamtoi? vita sio porojo ni field work hamas tu anamtoa jasho hana chakula
 
Ile ya Iran kutoa saa 48 kuanzisha vita na Israel ilikuwa mikwara ya wazi kabisa, wasingeweza kufanya chochote.

Kama kweli walikuwa tayari kuipiga Israel basi wangefanya hivyo bila kutoa condition, kutoa condition ni dalili ya kulegea kimsimamo.
 

1. Mtumishi tangu lini vita vya damu na nyama vikawa tatizo?

2. Si tuliaswa vita vya kuogopa mtumishi? Au?
 
1. Mtumishi tangu lini vita vya damu na nyama vikawa tatizo?

2. Si tuliaswa vita vya kuogopa mtumishi? Au?
Nimeeleza kwa mtazamo wao.
Mimi naamini kila mwanadamu yuko kwenye vita. Na vita hivi havipiganwi kwa silaha za mwili. Vita vinaliganwa kwenye fikra. Vita vya wema na uovu.
Haya tunayojadili ni mayokeo ya vita vya fikra na rohoni ambavyo vimepiganwa muda mrefu hata kabla ya Dunia kuumbwa.
 
Isarael waliishindwa enzi hizo ikijikusanya watu wake kutoka mataifa mbalimbali, wasahau kabisa kuipiga kwa sasa,
Juzi vita ilipoanza walirudi kwenye ndege km dagaa. Ndo hao wanapiga kila kitu huko Gaza
 

1. Mkuu kuna usemi kuwa samaki huishi majini. Kwamba huyo akikwambia majini kuna mnyama mwingine aitwa mamba, naye ana jicho moja; utakuwa mjinga ukikataa.

2. Hapo #1, unadhani ni nani wa kusikilizwa, wewe au wapalestina na hasa wakiwa hawajakwambia haya unayosema hapa?

3. Bila kusahau mafundisho yanatuasa kuitafuta sana suluhu ikiwamo kugeuza na shavu la pili ikibidi.

4. Hapo #3 bila kusahau, "kisasi" ni cha Mungu.

5. Hudhani tuhubiri zaidi "amani" ndugu mtumishi?
 
Wameona hawatamaliza mfungo salama.
 


Tishia nyau ilikuwa, angejaribu tu aone, Iran inaenda kupotea uso wa Dunia like Iraq, Libya, Afghanistan or Syria, ila jua muda si mrefu US & Israel wanaenda kuichakaza Iran sbb bila kufanya hivyo Iran ndio imeharibu Middle East yote kwa ugaidi na kufadhili vikundi vya kigaidi..!!
 
Yaani Iran angejua Jinsi USA anavyomtamani amfanye kama Libya na Iraq asinge tamani kuipiga Isrel- pale milder East Kabaki yeye tu kusambaratishwa
 
Mavitabu meeengi mbona yahya yumo kwenye handaki hapo hapo Gaza hao wazayuni hawamtoi? vita sio porojo ni field work hamas tu anamtoa jasho hana chakula
Soma wewe acha ushabiki maandazi!! Mshike Elimu tena sana!! Kutosoma Elimu Dunia ndo kunawafanya mnatuletea matatizo kila kukicha.
 
Ni sahihi.
 
Waguse waone kifuatacho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…