Iran yageuza gia angani, yasema haitalipa kisasi kwa Israel kama wakisitisha vita Gaza

1. Tofautisha uungwana na ujinga. Pia kuutambua utu dhidi ya upumbavu.

2. Gia ipi imebadilika hapo Sasa? Si Israel achague kuendelea na vita Gaza Ili gia isibafilike? Au?

3. Kwamba Israel haitaki suluhu, kumbe kwako ni sifa?

Bure Kabisa!
brazaj za nini hasira mkuu, nchi zinazopigana hata siyo zetu, lakini itoshe tu kusema, Israel kama mlivyoibatiza kwa jina la mtoa roho!

Jina hilo hilo linatosha kukuogofya hata wewe!
 
Braza......si walitoa masaa 48 🤣🤣😋
 
Mavitabu meeengi mbona yahya yumo kwenye handaki hapo hapo Gaza hao wazayuni hawamtoi? vita sio porojo ni field work hamas tu anamtoa jasho hana chakula
Yahaya.....😂😂🤣🤣 juzi alikuepo al shifa.......kumbe anaishi kwenye handaki kama panya buku...🤣🤣🤣
 
Au Ayatolah kapigiwa na Marehemu Kamanda wake kuwa "Mzee,, Mabikra 70 wamenizunguka hapa, wananikanda kanda,acheni kurivenji..." Ayatolah nae akajibu Salalahu wasalaam death to Amrika death to Biden..."😁🤤
 
Ni sahihi.

1. Mafundisho yetu ni ya amani tuwafundishe tunaowadhania kuwa washari Kwa vitendo.

2. Hata Petro alipomkata adui sikio, si kuwa alikumbushwa tu, bali Yesu alilirejesha kama lilivyokuwa.

3. Tupambane dhidi ya ubaya kwa wema.

Au nasema uongo ndugu yangu?
 
Braza......si walitoa masaa 48 🤣🤣😋

1. Kwani kama kwa sadaka ya awaye yote, amani ikirejea popote si jambo la kupongezwa? Kwanini mnapenda vita badala ya suluhu?

2. Mbona Yesu na maguvu yote ya ki Mungu alikuja kufa ili tukombolewe.

3. Zingatia Yesu alifufua wafu, akaponya wagonjwa, akalisha watu zaidi ya 5,000 kwa mikate 5 na samaki 2; wakala, wakashiba na kusaza!

4. Pamoja na #3, lakini akafa kwa ajili yetu.

5. Bado huoni kuwa Iran ni Jembe?!

matunduizi mtumishi wa Mungu nikuombe unilinde.
 
brazaj za nini hasira mkuu, nchi zinazopigana hata siyo zetu, lakini itoshe tu kusema, Israel kama mlivyoibatiza kwa jina la mtoa roho!

Jina hilo hilo linatosha kukuogofya hata wewe!

1. Hizo hasira wazisoma wapi ndugu? Hizo ni sifa, inaitwa "subira."

2. Kuwa na subira si unyonge bali uthabiti uliotamalaki.
 
1. Kwani kama kwa sadaka ya awaye yote, amani ikirejea popote si jambo la kupongezwa? Kwanini mnapenda vita badala ya suluhu?

2. Mbona Yesu na maguvu yote ya ki Mungu alikuja kufa ili tukombolewe.

3. Zingatia Yesu alifufua wafu, akaponya wagonjwa, akalisha watu zaidi ya 5,000 kwa mikate 5 na samaki 2; wakala, wakashiba na kusaza!

4. Pamoja na #3, lakini akafa kwa ajili yetu.

5. Bado huoni kuwa Iran ni Jembe?!

matunduizi mtumishi wa Mungu nikuombe unilinde.
Iran akiingia vitani huku Africa tutaishi kama akhera kiuchumi hata biashara usafirishaji bidhaa hautakuwepo..
Hii vita sio ya kushabikia hata kidogo, hizi Busara za Iran zitaokoa waafrica wote na janga la njaa
 
1. Kwani kama kwa sadaka ya awaye yote, amani ikirejea popote si jambo la kupongezwa? Kwanini mnapenda vita badala ya suluhu?

2. Mbona Yesu na maguvu yote ya ki Mungu alikuja kufa ili tukombolewe.

3. Zingatia Yesu alifufua wafu, akaponya wagonjwa, akalisha watu zaidi ya 5,000 kwa mikate 5 na samaki 2; wakala, wakashiba na kusaza!

4. Pamoja na #3, lakini akafa kwa ajili yetu.

5. Bado huoni kuwa Iran ni Jembe?!

matunduizi mtumishi wa Mungu nikuombe unilinde.
Braza.....masaa 48 bado au 🤣🤣🤣
 
Vita ya Israel na Irani hata ikiahirishwa yenyewe ipo tu! hii vita imetabiriwa katika maandiko (Ezekiel 37-39).Ni vita itakayotumia silaha za kisasa zaidi kuliko vita iliyowahi kutokea,Urusi(gogu) itakuwa nyuma ya Irani na Marekani itakuwa nyuma ya Israel baada ya vita Marekani itafilisika kabisa dollar itaanguka na haitakuwa super power tena.Jumuia ya ulaya ndiyo itakayotawala Dunia kupitia mpinga kristo kimsingi chochoko zote zinalenga hapo.

Iran hii moja iangushe dollar ya Marekani???
 
Netanyahu hapati usingizi ajua muda wowote kichapo kinakuja
Screenshot_20240407_220312_Quora.jpg
 
Back
Top Bottom