Negev ndiko kwenye kinu cha nyuklia Israel inakopata umeme wake.Asubuhi ya leo ama Alfajiri ya leo Iran imefanya shambulio la drones,cruise na ballistic missiles kuelekea kambi moja wapo ya anga ya Israel.
Ila hayo mashambulizi yanasemekana kuleta minor damage yani uharibu wa kawaida kwenye kambi hiyo ya jeshi la anga la Negev.
Tusubiri Israel atajibu kwa lipi,Maana Israel akirushiwa hata jiwe hulipiza kisasi kwa mara dufu.
Mathalan aliposhambuliwa na Hizbollah alilipa kwa kuua makamanda wakubwa wa Hizbollah Beirut.
View attachment 2962880View attachment 2962881
Fake news
Kike?Kwani umeona nimeandika neno lina uke hapo?Acha mawazo kama umevaa kaptula ndefu/kipedo.Achana na mipasho ya kike.Israel kapigwa za uso na mbavu kwa pamoja
Au siyo Mr. CIANegev ndiko kwenye kinu cha nyuklia Israel inakopata umeme wake.
Pia kuna airbase pale ya Israel.Negev ndiko kwenye kinu cha nyuklia Israel inakopata umeme wake.
Kama yameshushwa na haya ni yapi au unadhani dunia ya sasa hivi unaweza kuficha ukweli?99% ya makombora yameshushwa. Hakuna tofauti na makombora ya Iraq ya scard.
USA huyu dhaifu aliepigana Afghanistan miaka 20 kuiondoa Taliban madarakani na baada ya miaka 20 kakimbia na kuwaacha Taliban madarakani?Muda ukifika wa USA kuingilia moja kwa moja utayajua. Akiingilia kimya kimya pia utayajua. Kuwa na subira!
Pray for Iran!? 😂😂😂😂
Pray for the WORLD!
Furaha yako uanze pray for AyatollahNajua sana.Lakini kwa vile mnavyotuaminisha kuhusu manguvu ya Israel na wenyewe walisema hivyo,tulidhani muda huu moto umeshawaka kote Iran.
Mimi siyo muyahudi. Wayahudi wamepitisha sheria ya kuwafunga wakristo wanaoeneza injili ndani ya israeli. Israeli ni taifa la hovyo kuwahi kutokea duniani.hujielew , unatetea wanaodai ww hupaswi kuwepo duniani
Sasa kama kuna umbali hivyo vyombo vilivyoteremshwa jana hapo Israel vimefikaje? Kazi ya kuzuia imeanzia Jordan lakini ngoma zimetua israeli chezea Iran weweAcha kujidanganya. Kuna umbali mkubwa kati ya Iran na Israel, so kwa uwezo wa Marekani yanaweza kushushwa hayo kabla ya kuingia anga la Israel. Hii ni tofauti ya Russia na Ukraine ,ambazo ni majirani.
Aise Muajemi ni kiboko ya Mazayuni na mashoga zake wote. Kashusha vyuma kapiga kila eneo la Mazayuni hadi kina Netanyahu wanajificha kwenye mahandaki.Sasa kama kuna umbali hivyo vyombo vilivyoteremshwa jana hapo Israel vimefikaje? Kazi ya kuzuia imeanzia Jordan lakini ngoma zimetua israeli chezea Iran wewe
JerusalemSawa mkuu ijapo swali langu linahitaji kujua ikulu ya Israel iko mji gani kati ya hiyo miwili ambayo iko mataifa mawili tofauti.
Hahahaaa acha kudanganya umma hakuna mahali hata kidogo Israel amesema atalopiza kisasi wameingiwa uoga na hofu kuona makombora yametua kwenye target licha ya kuanza kudunguliwa Jordan.IDF said 99% of targets intercepted and Iran has to wait for their response, Iran isubirie kipigo sasa toka Israel, Tehran na miji mingine itakuwa majivu, yaani IDF imeweka wazi hiyo ndio vita rasmi imeanza kuipiga Iran moja kwa moja na Iran itapotea kwenda motoni, the hell is waiting for Iran, najua hamuamini, Iran itakuwa mbaya zaidi kuliko Iraq or Afghanistan or Libya
USA alikuwa anasubiria sana muda huu, sasa umefika
Mkuu hii vita kama itaendelea ni habari mbaya kwa Ukraine anayetegemea misaada ya USA na wenzake.kule Ukraine atamwachia nan ? Russia aliamua kuwadivert West kwa kuwaletea mgogoro wa Israel na wao wameamua kumdivert kumletea hili la Iran , achague kufa na ukraine au syria au iran au afrika maana anasema alijipanga na vita