Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Negev ndiko kwenye kinu cha nyuklia Israel inakopata umeme wake.Asubuhi ya leo ama Alfajiri ya leo Iran imefanya shambulio la drones,cruise na ballistic missiles kuelekea kambi moja wapo ya anga ya Israel.
Ila hayo mashambulizi yanasemekana kuleta minor damage yani uharibu wa kawaida kwenye kambi hiyo ya jeshi la anga la Negev.
Tusubiri Israel atajibu kwa lipi,Maana Israel akirushiwa hata jiwe hulipiza kisasi kwa mara dufu.
Mathalan aliposhambuliwa na Hizbollah alilipa kwa kuua makamanda wakubwa wa Hizbollah Beirut.
View attachment 2962880View attachment 2962881