Iran yaishambulia Israel kwa makombora
Asubuhi ya leo ama Alfajiri ya leo Iran imefanya shambulio la drones,cruise na ballistic missiles kuelekea kambi moja wapo ya anga ya Israel.
Ila hayo mashambulizi yanasemekana kuleta minor damage yani uharibu wa kawaida kwenye kambi hiyo ya jeshi la anga la Negev.

Tusubiri Israel atajibu kwa lipi,Maana Israel akirushiwa hata jiwe hulipiza kisasi kwa mara dufu.
Mathalan aliposhambuliwa na Hizbollah alilipa kwa kuua makamanda wakubwa wa Hizbollah Beirut.
View attachment 2962880View attachment 2962881
Negev ndiko kwenye kinu cha nyuklia Israel inakopata umeme wake.
 
Fake news
Screenshot_2024-04-14-08-12-23-63_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
 
Negev ndiko kwenye kinu cha nyuklia Israel inakopata umeme wake.
Pia kuna airbase pale ya Israel.
Na madhara yametokea japo wanasema ni ya kawaida hivyo baadhi ya makombora yamepita.
Maana wanasema kiasi kikubwa wamelipua kiasi kidogo yamepenya.
 
Acha kujidanganya. Kuna umbali mkubwa kati ya Iran na Israel, so kwa uwezo wa Marekani yanaweza kushushwa hayo kabla ya kuingia anga la Israel. Hii ni tofauti ya Russia na Ukraine ,ambazo ni majirani.
Sasa kama kuna umbali hivyo vyombo vilivyoteremshwa jana hapo Israel vimefikaje? Kazi ya kuzuia imeanzia Jordan lakini ngoma zimetua israeli chezea Iran wewe
 
IDF said 99% of targets intercepted and Iran has to wait for their response, Iran isubirie kipigo sasa toka Israel, Tehran na miji mingine itakuwa majivu, yaani IDF imeweka wazi hiyo ndio vita rasmi imeanza kuipiga Iran moja kwa moja na Iran itapotea kwenda motoni, the hell is waiting for Iran, najua hamuamini, Iran itakuwa mbaya zaidi kuliko Iraq or Afghanistan or Libya

USA alikuwa anasubiria sana muda huu, sasa umefika
 
Sasa kama kuna umbali hivyo vyombo vilivyoteremshwa jana hapo Israel vimefikaje? Kazi ya kuzuia imeanzia Jordan lakini ngoma zimetua israeli chezea Iran wewe
Aise Muajemi ni kiboko ya Mazayuni na mashoga zake wote. Kashusha vyuma kapiga kila eneo la Mazayuni hadi kina Netanyahu wanajificha kwenye mahandaki.
 
The target was successful hit in israel... hii ni hatari wazee tusiongopeane eti kaintercept 99% ya missiles, muisarael kapigwa for real ... god bless the world[emoji120]
 
IDF said 99% of targets intercepted and Iran has to wait for their response, Iran isubirie kipigo sasa toka Israel, Tehran na miji mingine itakuwa majivu, yaani IDF imeweka wazi hiyo ndio vita rasmi imeanza kuipiga Iran moja kwa moja na Iran itapotea kwenda motoni, the hell is waiting for Iran, najua hamuamini, Iran itakuwa mbaya zaidi kuliko Iraq or Afghanistan or Libya

USA alikuwa anasubiria sana muda huu, sasa umefika
Hahahaaa acha kudanganya umma hakuna mahali hata kidogo Israel amesema atalopiza kisasi wameingiwa uoga na hofu kuona makombora yametua kwenye target licha ya kuanza kudunguliwa Jordan.

Marekani amesema hawezi kujihusisha na kulipa kisasi kwa Iran badala yake atatumia Diplomasia kutatua mzozo huu.

Tupo tunafuatilia Al Jazeera, CNN ,BBC na vyombo vingine vya habari hakuna kauli ya kulipa kisasi aliyoitoa Mzayuni.

Iran amesema hii ni rasharasha anasubiri Mazayuni wajibu mapigo halafu sasa Muajemi ashushe moto kamili.
 
kule Ukraine atamwachia nan ? Russia aliamua kuwadivert West kwa kuwaletea mgogoro wa Israel na wao wameamua kumdivert kumletea hili la Iran , achague kufa na ukraine au syria au iran au afrika maana anasema alijipanga na vita
Mkuu hii vita kama itaendelea ni habari mbaya kwa Ukraine anayetegemea misaada ya USA na wenzake.
 
Back
Top Bottom