Vita si mpira wa miguu kwamba ukipigwa upande wako nawe unarudisha upande wa mpinzani, yumkini hata mpira wenyewe kuna wakati unaweza kuurudisha kwa golikipa ili mpange mashambulizi upya. HIvo mpaka hapa sijaona kuufyata
 
Let me say this.This scenario is exactly what the Evil Khazarian Tribe,their proxies and morons in the collective West have been waiting for.Now that it has happened exactly how they have planned it,let us now wait for the chain of events leading to the total enslavement and domination of humanity.

In the chain of events,billions of souls will perish paving the way for the NWO,where only 500 million zombies will be allowed to remain.It is anticipated that by 2030, that will have been achieved,so from now on,the Great Reset accompanied by the Great Slaughter,will happen.

Niseme hivi,that is their plan,but God can change their plan.However,because of the evil of the human race,it seems God has agreed to their plan and Revelation 6,9,13,14 &16 shows that, that will indeed happen.I believe God won't tolerate any longer,humanity has become just too evil.

Nabii Isaya anaiweka hali ya Dunia na ghadhabu ya Mungu inayoijia Dunia vizuri sana,anasema hivi,

Isaya 24:3-6;17;19-20
3 Dunia hii itafanywa tupu kabisa, na kuharibiwa kabisa; maana Bwana amenena neno hilo.
4 Dunia inaomboleza, inazimia; ulimwengu unadhoofika, unazimia; watu wakuu wa dunia wanadhoofika
5 Tena dunia imetiwa unajisi kwa watu wanaoikaa; kwa maana wameziasi sheria, wameibadili amri, wamelivunja agano la milele.
6 Ndiyo sababu laana imeila dunia hii, na hao wanaoikaa wameonekana kuwa na hatia, ndiyo sababu watu wanaoikaa dunia wameteketea, watu waliosalia wakawa wachache tu.
17 Hofu, na shimo, na mtego, vi juu yako, Ee mwenye kukaa duniani.
19 Dunia kuvunjika, inavunjika sana; dunia kupasuka, imepasuka sana; dunia kutikisika, imetikisika sana.
20 Dunia inalewa-lewa kama mlevi, nayo inawaya-waya kama machela; na mzigo wa dhambi zake utailemea; nayo itaanguka, wala haitainuka tena.

Katika Warumi 1:18 tunasoma hivi,
18 Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu waipingao kweli kwa uovu.

To me I think God has finally decided to destroy the World and it's inhabitants,there doesn't seem to be a second chance.
 
Wanajeshi wa miguu ndio kifo kwa Israel
Kule Gaza wanakimbia na kurudi.Fikiria siku Iran ikiamua kuwashusha askari wake kutoka milima ya Golan wapi IDF watakimbilia.
Kaskazini kuna Hizbullah,kusini ni Houth na magharibi Hamas wanawasubiri.
 

View: https://youtu.be/fILEjXQHOps?si=Vh2-8qKkPm1Cmdma

No damage at all in Israel, haya Al Jazeera hiyo hapo maana ndio source wanaamini na kutegemea sana
Hii nimerikodi sasa hivi Aljazeera.
Tizama hapo utaona mlango ulioungua katika hiyo video itizame kwa umakini.
Na ionekanavyo taarifa za uharibifu Israel wanaficha.
Kama walivyoficha za kambi ya Galilee North Israel.
Your browser is not able to display this video.
 
Chief chanzo cha habari bila shaka kitakuwa kutoka western media maana zote zina uelekeo wa kiupendeleao kwa israel
 
Jamani mnatakiwa mjue USA haingiagi vitani peke yake bila NATO.Sasa huu mziki wa huko middle East sio mdogo..Iran anatakiwa aangalie sana huu mchezo unaendaje. Mtu ambae NATO wanamhofia ni Lidude Urusi peke yake.😕
 
Hata Iran amepeleka rasharasha tu amesema Isreal ikijibu tu basi atapeleka full dose wainywe vizuri.

Isreal hana ubavu wa kupigana uso kwa uso na Iran huwa anategemea support ya mabwawa zake USA na UK.
Hata Iran kashambulia kwa kushirikiana na nchi nyingine, Iran ni overrated. Iran alipaswa kujibu lile shambulio la Israel ila je, kwa hili Israel atakaa kimya? sidhani, tusubiri tuone.
 
Israel walikifanya ni kama Hamas walichofanya kwao ni vita ya kipuuzi wameianzisha Netanyahu atajutia kuanzisha vita huku akiwa na vita ingine...
 
Walisema Iran Hana Uwezo wakujibu
Saizi Wanaleta Ngonjera Za Kutunguliwa Makombora mara Mwisho wa Iran umefika!!!
Iran Sio Hamas
Ukipiga nawe Utapigwa kweli kweli
ila waislam kuna namna akili mliziacha tumboni , huwa mnaanglia nyuma na sio mbele , baadae mnaanza kulia wanaua watoto mara wanaua bibi zetu wakati rocket zenu zaid ya 100 mmeziona hapo , bila uwezo wa Israel bas zingua raia wengi sana
 


Sikiliza vizuri au wewe kiziwi au hujui lugha ya Malkia, hiyo Al Jazeera ni yako ya Buza


View: https://youtu.be/fILEjXQHOps?si=Vh2-8qKkPm1Cmdma
 
Hii nimerikodi sasa hivi Aljazeera.
Tizama hapo utaona mlango ulioungua katika hiyo video itizame kwa umakini.
Na ionekanavyo taarifa za uharibifu Israel wanaficha.
Kama walivyoficha za kambi ya Galilee North Israel.
View attachment 2963061

Israel kasema far less minor damage occurred unajua maana yake, acha unyoko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…