LIVE UPDATES; MBASHARA SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL
UN yaitisha kikao cha dharula cha Baraza la Usalama
Iran yaanza kufunga viwanja vya ndege
Asilimia 99 ya makombora drones & ballistic missiles yaliyorushwa na Iran kuelekea Israel yatunguliwa yakiwa angani
Anga la Israel yafunguliwa masaa 7 baada ya kufungwa
Biden amaliza kikao na kutoa ujumbe huo: " I just met with my national security team for an update on Iran’s attacks against Israel. Our commitment to Israel’s security against threats from Iran and its proxies is ironclad."
IDF kuanza kujibu shambulizi la Iran muda wowote kuanzia sasa
Marakani yaingia rasmi kwenye vita
Makombora drones zaidi ya 100 za Iran zalipuliwa zikiwa angani kabla ya kuingia anga la Israel
Jeshi la Syria lajiweka katika hali ya juu ya tahadhari
Israel yaishambuliwa kila kona
WaHouthi
waishambulia kwa drones kutokea Yemen
Magaidi wa Hezbollah waishambulia kutokea Lebanon
Iran yasema itaishambulia nchi yeyote itakayoruhusu anga lake kutumiwa na Israel
Rais Biden aitisha kikao cha dharula muda huu na washauri wake wa Usalama
Makombora yaliyorushwa kuelekea Israel yafikia 500
Rais Joe Biden asema watailinda na kuiunga mkono Israel
Waziri Mkuu Benjamin Netanyau aongoza Kikao cha dharula cha Baraza la mawaziri kwenye kambi ya kijeshi ya Kirya iliyopo Tel Aviv
Uingereza yalaani shambulizi la Iran
Lebanon yafunga anga lake usiku huu
Anga ya Israel kufungwa kuanzia saa 6:30 usiku kwa saa za Afrika mashariki
Israel yasema jumla ya mashambulizi ya drones 100 yamerushwa na Iran kuelekea Israel
Iran yafanya shambulizi c
yberattack kwenye mfumo ulinzi wa IDF
Iran yathibitisha kuishambulia Israel
Jeshi la Israel ( IDF) limeanza kutungua drones zilizoingia kwenye anga ya Jordan na Syria
Msemaji wa IDF Jenerali Daniel Hagari amethibitisha nchi yake kushambuliwa na iran
Itachukua takribani masaa 9 makombora hayo ( drones) kuifikia Israel
Tayari makombora drones hayo yameshaingia kwenye anga ya Iraq
Mfumo wa GPS "wavurugwa" kuiwezesha Israel kuyanasa au kuyatungua makombora hayo
Ving'ora vya tahadhari vitapigwa mara TU makombora hayo yatakapoingia anga la Israel
Wadau hamjamboni nyote?
Hatimaye Serikali ya Iran imeamua kulipiza kisasi Kwa Israel kwa kuanza kurusha makombora ambayo yapo njiani na yanayorajiwa kuchukua masaa kadhaa kabla ya kutua nchini humo
Taarifa kamili hapo chini
Times of Israel
Report: Iran begins attack on Israel, launching dozens of drones that’ll take hours to arrive
Today, 10:48 pm
Summary
- Iran has launched dozens of drones and missiles at Israel in a retaliatory attack
- Israel has said the attack could take some hours to arrive, while Prime Minister Benjamin Netanyahu said the country is "ready for any scenario"
- Iran had warned that Israel would be "punished" for a strike on its consulate in Syria on 1 April
- Seven Revolutionary Guards, including two generals, and six Syrians were killed in the Damascus attack
- Israel has acknowledged carrying out hundreds of strikes in recent years on targets in Syria that it says are linked to Iran but has not claimed the Damascus strike
- President Biden has promised what he called "ironclad" support for Israel, saying the US will "do all we can to protect Israel's security"
- Iran had avoided direct confrontation with Israel during the Israel-Hamas conflict, but the Damascus attack was seen as a serious escalation
Mungu ibariki Israel
.