Sasa najuilizaga Marekani anabenefit nini kwa israel mbaka anasahu mambo yake ya ndani
 
Du, wanadamu tuna matatizo. Kanywea tena. Wakati Vita bado haijaanza. Usiombe majibu ya Israel. Hali itakuwa mbaya. Pray for peace. Tutaathirika wote
Jibu la israel ndo tunalo subiri
 
Wanaangalia na aina ya retaliation na damage iliyofanywa na adui kulinganisha na damage walio fanya wao Israel kwa Iran.

Kama Iran hawajafanya madhara yoyote makubwa kwa Israel then hawanahaja ya ku retaliate.

Makombora ya Irani hayaja fanikiwa kusababisha maumivu sawasawa na waliyoyapata kwenye ubalozi wao kule Syria.
Israeli wanapima kiwango cha maumivu walicho mpa Irani nakuona kinamtosha kwamuda huu na bila shaka ndio maana hawana araka ya kulipiza.


Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Tunashabikia Vita halafu maisha yakipanda tunaanza kulaumu chama Cha mapinduzi mnajua kabisa kule middle East ndio kunatoka wese lote tunaloendeshea maisha huku bongo.
 
Muda mwingi Israel ilipiga na kutamba maslahi ya Iran ndani ya Syria na hata Iran kwenyewe.Ilizoea kupiga na kuchukulia Iran ni waoga sana hawawezi kujibu.
Kitendo cha kujibu tena kupiga miji mikuu na kambi za jeshi hata kama hawajaweka wazi madhara kwa sasa.Israel itaiheshimu Iran daima kuanzia sasa.
 
Unaongea ujinga tu ,unajua Iran au Persia imehost mamilioni mangapi ya hao wayahudi feki tangia enzi za dola ijulikanayo kama ya waajemi mpaka leo hii kujulikana kama Iran ?
 
Mkuu kambi kubwa moja wapo ya anga Israel imeharibiwa na mashambulizi ya jana imeharibiwa hivyo kuna makombora yalipenya na kushambulia.

..Good.

..ndio maana nasema kila upande umepata kujua nguvu na mapungufu ya silaha zao.

..kabla ya hili tukio mambo mengi yalikuwa ya kupiga ramli tu.
 
Waongo huwezi tuma drone zinazotumia masaa 9 hadi 10 ukasema eti hyo ni mashambulizi.
Vita gani inapiganwa hivyo?

Yani kwa ulinzi uliopo Israrl unatuma drones, hao wanatafuta covarage ya habari na kudanganya,wananchi wao.

Au nao wanaupiga mwingi ksma sisi, sikutegemea kwa Iran kutuma drone Israel.
 
Sisi zana zetu zitatumia siku ngapi kufika huko?

Kumbuka kwenye vituo vya mafuta harufu ya kukosekana mafuta imesha anza kunukia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…