Mkuu, ukweli ambao hausemwi kisawasawa ni kwamba makombora 9 yamepenya na matano yameharibu kambi ya jeshi la anga ilioyoko kusini mwa Israeli iitwayo Negat na kuharibu ndege moja ya IDF ya kufanyia mashambulizi.Sijui kati yao nani anasema ukweli maana Israel wanasema wameyadungua yote... wakasema ni kombora moja tu lililomjeruhi mtoto. Lile lililopiga kambi wanasema ni minor damage na ni kambi iko wka desert na wakaachia video kuonyesha bado wanaitumia na dnege ya kviita ikitua aple. Iran wanasema yamesababisha damage. So sijui kati yao nani anasema ukweli maana ni report za pande mbili tofauti.
Ila mimi ni pro Iran sema this time nina mashaka na taarifa hii kwa sababu makombora yamechukua almost saa 8 hadi 9 kufika Israel so yalikuwa yashakuwa tracked kuyadungua ilikuwa ni jambo rahisi. Ndio maana nachelea kusema hawakuwa na lengo la kusababisha damage kwa Israel.
Hahaha hiyo taarifa uliipata msikitini au umeiokota wapi? Katafute taarifa halisi utauona ukweli. Hakuna hata kombora moja limefika Israel au huko msikitina wamesemaje?Drone gani zinatembea masaa kumi!?
Mbona muongo wewe jamaa!?
Drone zilitumia masaa mawili naa na silaha zilizotumika kuanzia Drone mpaka makombora yalikua ya medium range na ujazo wa kawaida.
Je angetumia long range yenye ujazo mkubwa sijui ingekuaje hapo Tel Aviv.
Kheri uulize kistaarabu kuliko kuleta udini.Hahaha hiyo taarifa uliipata msikitini au umeiokota wapi? Katafute taarifa halisi utauona ukweli. Hakuna hata kombora moja limefika Israel au huko msikitina wamesemaje?
Hata ukitumia google unaweza kupata taarifa nzuri tu.
Iran waliwapoza wananchi wao, maana huwa wanawaambia wao ni miamba, wakaulizwa mbona Israel imelipua ubarozi wetu na kuuwa wanajeshi wetu Syria na mmmekaa kimya? ikabidi sasa wafanye show ya kuwa tuliza. Nadhania hata huko Iran watakuwa wamewaambia tumewachakaza Israel haipo kabisa.
Muongezee na hii mkuu,wajuvi wanasema Iran hakutumia Guided missiles kama alizotumia Hizbollah february kulipua kambi ya Israel kaskazini mwa Israel kambi ya Galilee ambayo iligeuka majivu.Mkuu, ukweli ambao hausemwi kisawasawa ni kwamba makombora 9 yamepenya na matano yameharibu kambi ya jeshi la anga ilioyoko kusini mwa Israeli iitwayo Negat na kuharibu ndege moja ya IDF ya kufanyia mashambulizi.
Hii ni moja ya ndege za kivita zilofanya shambulizi lilobomoa na kuvunja jengo la ubalozi wa Iran mjini Damascus nchini Syria.
Kwa mujibu wa AP(Associate Press) Iran ilituma makombora ya balistic 120, UAVs 170 na makombora yanotokea kwenye meli "cruise missiles" 30.
Hakuna anefahamu Iran ina aina ngapi za makombora ya balistic maana kuna aina kama sita hivi yaani air (ya kawaida) , tactical (yaenda hadi maili 186) , Theatre (zaidi ya maili 2000) , short range (zaidi ya maili 600), medium range (zaidi ya maili 2000) na intermediate yenye uwezo wa kusafiri maili 3000.
NI hii miaka ya hivi karibu dunia imeambiwa kuwa Iran wana makombora ya Hypersonic.
Picha hii yaonyesha aina ya makombora ya Iran inotengeneza wenyewe.
Chanzo cha picha: Al-Jazeera
Israeli ipo zaidi ya maili 1100 kutokea Iran kwa njia ya anga hivyo Iran huenda wametuia makombora ya Theatre au Medium Range.
View attachment 2964217
Hivyo mkuu taarifa sahihi itayojikita zaidi kwenye media ya magharibi kwa shingo upande ni kwamba kambi ya jeshi la anga la Israeli imeathirika na makombora hayo.
Hakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.Kheri uulize kistaarabu kuliko kuleta udini.
Kwani ungesema nilete uthibitisho ingekuwia ugumu gani??
BBC wameeleza kuwa makombora matano yalipenya Israel na kulipua Nevatim airbase.
Embu soma huko chini ripoti ya BBC BRITISH BROADCASTING CORPORATION.
Maana ningekuletea ALJAZEERA ungesema hao pro Islam/arab waongo.
Na maelezo yanasema hayakugonga tu barabara ya runway bali yaligonga na maenei mengine ya kambi ya jeshi anga la Israel Nevatim ila bahati nzuri hakukuwa na vifaa vya kivita kwa wakati huo na kama vingekuwepo vingeungua.
Mwisho,sio kila mwenye mtizamo tofauti na Israel au Marekani ukamnasibisha na udini,hili halifai usiwe na akili za kipumbavu hivi jielewe,udini hautakunufaisha lolote.
View attachment 2965951View attachment 2965952
Sasa kati yako wewe wa bonyokwa na BBC nani asikilizwe maneno yake? Acha kujifariji kipigo kimeingia na tayari sasa picha zishaanza kuvujaHakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.
Nahisi unavuta bangi.Hakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.
Fala huyo.Sasa kati yako wewe wa bonyokwa na BBC nani asikilizwe maneno yake? Acha kujifariji kipigo kimeingia na tayari sasa picha zishaanza kuvuja
Je hii nayo vipi??Hakuna lililopenya huo ni uongo. Israel imetakiwa kutokujibu mashambulizi kwasababu hakuna alipodhurika, maana yake hakuna bomu lililo lipukia ndani ya ardhi ya Israel.
Hahaha unahamisha magori, Sasa Hezbollah nayo ni Iran?Je hii nayo vipi??
Hii ni jana tu Hizbollah wameshambulia tena kambi ya Galilee.
IRONE DOME ZILIKUA WAPI??View attachment 2967282View attachment 2967283
Bangi kuvutwa na mimi siyo tatizo, ila ukweli ni kwamba sababu za baraza la usalama la umoja wa mataifa kumzuia Israel kutokulipiza kisasi ni kwamba, Drone 300 zilizorushwa na Iran 99.99% hazikufika Israel hiyo 0.1% wanasema lilidondoka likiwa limeshaisha nguvu, hivyo hakuna madhara yoyote. Hivyo walimuuliza Israel kwanini ulipize na huku athirika?Nahisi unavuta bangi.
KWAHIYO BBC WANADANGANYA!?
BRITISH BROADCASTING CORPORATION WANADANGANYA!?
FALA MMOJA.
Hahaha hizo habari za msikitini kwenu nani ataziamini. Israel akipigwa atajibu. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani alisema Israel itoe taarifa ikitaka kulipiza kisasi, maana wanawajua hawapigi kitoto. Ayatolla utamuaona BUZA kapewa hifadhi.Sasa kati yako wewe wa bonyokwa na BBC nani asikilizwe maneno yake? Acha kujifariji kipigo kimeingia na tayari sasa picha zishaanza kuvuja
Hay mabwana zako badala ya kupiga wamecheza singeliHahaha hizo habari za msikitini kwenu nani ataziamini. Israel akipigwa atajibu. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani alisema Israel itoe taarifa ikitaka kulipiza kisasi, maana wanawajua hawapigi kitoto. Ayatolla utamuaona BUZA kapewa hifadhi.
Hawachelewagi kuanza mara ohh wanapigana na wazee wasiojiweza, wanawake, watoto wadogo, Sijui hizi akili wanatoaga wapi yaani jeshi litumie gharama kubwa huku wamejihami na silaha nzito nzito kwenda kupigana na wazee wasiojiweza na watoto wadogo [emoji848], seriously hata kama ni ushabiki huu ni pro max sasa [emoji16]Msije kuanza kusema Israel anapiga watoto na wanawake wenu mana vita haina macho
"Tunachoonyesha ni kufuta ujinga wa ushabiki wa kipuuzi kwa watu wasiojua siasa za dunia hii.Arrow?
Nadhani wewe huelewi kabisa. Defensive system ya Israel ni ya USA, EU na UK
Nchi hizo zimesema wazi leo kwamba zilikuwa msaada mkubwa licha ya kwamba system zao ndizo zinatumiwa
Hakuna silaha ya kisasa duniani ambayo Israel haijapewa na USA. Msaada wa USA kwa jeshi la Israel ni Bilioni 18 USD Takribani Trilioni 50 za Tanzania. Hivi unadhani hizo ni pesa za send off
Wiki inayokuja congress itapisha msaada zaidi wa silaha kwa Israel. Hivyo tambua kwamba Israel ipo mgongoni
Kama ni mfuatiliaji wa habari za dunia kwa leo ungeona jinsi Israel ilivyokuwa shocked!
1. Kwanza , haikujua drones za nchi yenye vikwazo miaka 20 zinaweza kufika
2. Hawakuwa na uhakika ingawa walijua kupitia proxy wa Iran kwamba silaha zao zina precision ya hali ya juu na siyo Katush za Hamas
3. Iran imeshambulia kutoka kona 4 ikiwa ni ujumbe kwamba wanaweza kupiga kutokea popote na wamefika miji yote mikubwa , Tel Aviv, Jerusalem , Haifa n.k.
Sasa kama unadhani wanaweza peke yao, ndege za UK ni za nini?
Kwanini Jordan na USA waliingilia kati ikiwemo kuzima GPS middle east?
Kwanini makamanda wa USA wapo Israel akiwemo kutoka central command
Lakini pia kumbuka hakuna nchi iliyowahi kupiga Israel tangu Scud la Saddam Hussein.
Tunachosema hapa si nani kashinda nani kashindwa, huo ni upuuzi
Tunachoonyesha ni kufuta ujinga wa ushabiki wa kipuuzi kwa watu wasiojua siasa za dunia hii.
Wengi waliaminishwa Israel ni super power! Israel siyo super power ni Proxy wa super power USA, UK and EU kama ilivyo Houth na Hezbollah kwa Iran. Wanafanyia kazi wakubwa wakiwa mgongoni , wenyewe hamna kitu
Bila msaada wa UK, USA, EU na kwa maelezo ya viongozi wao leo katika TV zao, hamna kitu
Ni lazima uingalie Israel kwa kijiografia, population kwanza kabla hujaanza kubisha.
Ndugu yangu tunazijua siasa za kimataifa!
Hivi umesoma declassified documents za vita ya 1967 ma 1973 Yom Kipur.
Kama hujasoma nenda Library halafu urudi maana nikikusoma unaongozwa na hisia kuliko ukweli.
Wengine hatujui ushabiki wa kipuuzi wa dini.
Sasa assum ndo zingefika mpakani mwa Israeli zikiwea na mchanganyiko huo hiyo defence ingepiga kitu gani na kuacha kitugan hizo ballistic zilizofika hapo Israeli hazifiko hata 50 sasa hiyo defence inashingwa kufanya intercept ya hizo targetMakombora mengi ya ballistic (zaidi ya 100) yamezuiwa na Israel yenyewe kupitia Arrow 2 na Arrow 3 defense systems kwa sababu uelekeo wa msafara wa hayo makombora ni tofauti na drones ama cruise missiles.
Marekani, Uingereza na washirika wengine wa Israel wamezuia zaidi cruise missiles pamoja na drones ingawa Israel pia ilirusha ndege zake za kivita kwenda kufanya interceptions kadhaa nje ya mipaka yake.
Cruise missiles pamoja na drones zinapita usawa wa ndege vita ama chini yake. Ballistic missiles zinasafiri kwa kasi zaidi zikitumia projectile motion, na zinasafiri mpaka anga za juu ama nje kabisa ya atmosphere kabla ya kurejea ardhini kwenye target. Ndio maana idadi kubwa ya ballistic missiles kati ya 120 zilizofyatuliwa na Iran zilifanikiwa kuvuka interceptions za ndege na kukaribia anga la Israel.
Baadhi zilitunguliwa na defense systems za Israel zikiwa outer space kabla hata ya kugeuza uelekeo ili kurudi ardhini. Chache sana ndiyo zilikutana na mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani huko baharini. Huku chache pia zikipenya bila kuleta madhara.
Kwa kifupi, mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel imeonesha uwezo mkubwa dhidi ya hizo ballistic missiles ambazo ndizo zilikuwa hatari zaidi kuliko cruise missiles na drones ukizingatia flight time pamoja na payload delivery. Ni mtu asiyefahamu kinachoendelea kuhusu haya masuala ndiye anaweza kusema Israel haijafanikiwa chochote dhidi ya hayo makombora.
Huja quote vizuri, hayo ni maneno yangu si yakoSA, UK and EU kama ilivyo Houth na Hezbollah kwa Iran. Wanafanyia kazi wakubwa wakiwa mgongoni , wenyewe hamna kitu"
Nimekueleza Iran inatumia Proxy kama Houth na Hezbollah kufanya mashambulizi wanakotaka.Ila hizi akili, yaani unalinganisha Israel as a sovereign state na vikundi vya kigaidi (Houthi and Hezbollah) seriously [emoji848].
Rudi usome nilichokieleza. Lazima utambue kibaraka si mtu hata mataifa yanakuwa vibaraka.Au mi ndio sielewi?, Au kuna nchi duniani ina ubalozi wa Hezbollah na hatujui, tuweni serious basi, mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa Daa aisee ni huzuni
Hapa unaonyesha kiwango duni cha uelewa. USA kutangaza unaamini wala hujiulizi ni kwa vipi.Uliaminishwa na nani wakati historia inaongea mkuu, si walisema bila support hawezi lipa kisasi, mbona USA ameshatangaza kutosupport kama atarespond, na still amerespond kwa nchi tena tatu ikiwemo ile inayoongozwa Na Islamic regime.
Hakuna mahaba tupo hapa kueleza ukweli kwa watu wasioelewa.Mahaba yanaruhusiwa lakini yasizidi Uwezo wa kufikiria sasa [emoji16]
Hahaha hasira za nini, Subiri Israel ikipiga dunia nzima itajua. Mtaleta nyuzi humu kwamba anaua wananwake na watoto.Hay mabwana zako badala ya kupiga wamecheza singeli